Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Acha kua na fikra za kijinga, Ilikua Auditing Ya CAG haijapita, ndio kamat ya waziri mkuu ilichukua hatua kulingana na taarifa walizopata.
Most likely zimechotwa mara baada ya Magufuli kufariki ndiyo maana alikuwa hajafanya utaratibu wa kuzificha!

Moja ya watu waliokuwa wanakingiwa kifua na ikulu awamu iliyopita.

Siku serikali ikiamua kupambana na ufisadi kwa dhati kabisa ndo tutasonga mbele.
 
Wewe unadhan huyo lissu angeweza kufanya aliyoyafanya Raisi wetu Magufuli, lazma ujue serikali ilikua inaphase out ufisadi na ilikua inefanikiwa kwa kiwango kikubwa, except bado majizi kama huyu yapo na yatashughulikiwa
Haya yamefanyika katika utawala wa rais mzalendo. fyoko fyoko fyoko. tuliwaambia wanaiba mkatuona hamnazo
 
Nchi huliwa na wenye meno, wewe kibogoyo shauri yako.
 
Hajakingiwa kifua ili aibe, ni uelewa mbovu wa watu kama nyie, CAG auditing Mzee kafa hajaipokea ndio maana kamati iliundwa, ingekua anakingiwa kifua, unajua Amri ya kuunda kamat ilitoka wap??
Moja ya watu waliokuwa wanakingiwa kifua na ikulu awamu iliyopita.

Siku serikali ikiamua kupambana na ufisadi kwa dhati kabisa ndo tutasonga mbele.
 
Wajinga ni wengi.Unachota hela kwa Magufuli au Samia?Anastahili yatakayo mkuta kwa ujinga wake.
 
Moja ya watu waliokuwa wanakingiwa kifua na ikulu awamu iliyopita.

Siku serikali ikiamua kupambana na ufisadi kwa dhati kabisa ndo tutasonga mbele.
Hiyo ni hadithi ya kubuni tu! Alikingiwa kifua wapi? Kuna ufisadi alioshiriki ukaeleweka na akakingiwa kifua? Tusiumbe maelezo ya kijinga kuwafanya watu waone watendaji wote walioteuliwa na Magufuli ni wezi. Yaani unajisahaulisha wizi wa kubeba pesa kwenye viroba!
 
Uko sahihi sana! Kama ni kushambuliana kisiasa, hakika Vyama hivi vya akina Lissu tungetaka kujua ruzuku ziko wapi, zimefanya nini? Wao wenyewe wezi halafu wanazomea kukamatwa mtendaji wa serikali. Lissu aliyekuwa anawatoza wenzake milioni 20 kama gharama ya uwakili, leo hii anazomea!
 
Ninaamini kabisa hio ripoti ya CAG angepokea bwana yule mwendazake basi hio hasara tuliyotangaziwa juzi ingekuwa virse verser is true,ATCL mpaka na kutoa mgao serikalini?!... [emoji19][emoji19][emoji19]
 
Naamini atakuwa amesoma kwenye gazeti na msemaji wa TAKUKURU kathibitisha. Au?

Hakuna gazeti hata moja limeandika hii habari. Watupe chanzo chao cha habari badala ya kujadili fununu alizojiandikia mtu akiwa msalani.
 
Reactions: BRB
Kuna watu wako kwenye denial ya hali ya juu humu, mara wanaquestion chanzo cha taarifa, which is good, mara wanasema jamaa ameiba kijinga, wengine ameiba kidogo. Nyie semeni msemavyo lakini sisi tuko hapa kuwakumbusha kuwa mlichokuwa mnakisifia zamani sivyo kilivyokuwa. Kwa kufahamu mliamua kutupotosha kwa kuwa mnahusika kwa namna moja au nyingine, au kwa ujinga mlikuwa fooled ama tu hamna lolote zaidi ya bendera fuata upepo.

Mkatutukana na kutuita majina, huku mkiendekeza ule uzalendo wenu feki wa kufoka foka na kuvaa bendera ya taifa. 😂 Mtu anayeminya uhuru wa habari toka lini akawa msafi!?
 
Moja ya watu waliokuwa wanakingiwa kifua na ikulu awamu iliyopita.

Siku serikali ikiamua kupambana na ufisadi kwa dhati kabisa ndo tutasonga mbele.
Tuliwaambia Mara kadhaa kwamba Mahakama ya Mafisadi ilinyimwa wateja na walioianzisha,wakawashtaki wasiohusika na ufisadi ili ionekane kuna mashtaka ya ufisadi na mafisadi wakalindwa na system. Mambo yaliyotendwa na awamu ya jiwe yanafuta hata sifa kidogo ilizostahili.
Watu walipewa rushwa ya vyeo na wengine wakalipwa kuunga mkono juhudi hizo kuwazuga walioitwa wanyonge badala ya kuitwa waajiri wa wanasiasa.
Fedha za Watanzania zikafujwa kununua Mabombadier na Madreamliner kwa fedha taslim ambazo zinaendelea kutafuna hazina ya Taifa.Je,hapakuwa na ukiukwaji wa Sheria ya manunuzi ya Umma?
 
Hata wewe ni mwizi tu maana utetezi wako tu ni wa kiwizi. Magufuli Hakumtumbua sababu mwizi hawezi kutoa mwizi mwezake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…