Acha kua na fikra za kijinga, Ilikua Auditing Ya CAG haijapita, ndio kamat ya waziri mkuu ilichukua hatua kulingana na taarifa walizopata.
Most likely zimechotwa mara baada ya Magufuli kufariki ndiyo maana alikuwa hajafanya utaratibu wa kuzificha!
Moja ya watu waliokuwa wanakingiwa kifua na ikulu awamu iliyopita.
Siku serikali ikiamua kupambana na ufisadi kwa dhati kabisa ndo tutasonga mbele.