Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Naweka ndani nachimba shimo nasakafia na zege. Natoa ninazohitaji kila baada ya miaka miwili.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app

"Hapana huo ni uongo, hizo taarifa za kukutwa na fedha nyumbani kwake sio sahihi, ni watu nadhani pengine ni maadui zake wanajaribu kutengeneza hoja za kuonyesha alikuwa na hizo hela, KAKOKO anashikiliwa na sisi TAKUKURU hilo halina ubishi" Brigedia Generali Mbungo, Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU
 
Haya yamefanyika katika utawala wa rais mzalendo. fyoko fyoko fyoko. tuliwaambia wanaiba mkatuona hamnazo

"Hapana huo ni uongo, hizo taarifa za kukutwa na fedha nyumbani kwake sio sahihi, ni watu nadhani pengine ni maadui zake wanajaribu kutengeneza hoja za kuonyesha alikuwa na hizo hela, KAKOKO anashikiliwa na sisi TAKUKURU hilo halina ubishi" Brigedia Generali Mbungo, Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU
 
Moja ya watu waliokuwa wanakingiwa kifua na ikulu awamu iliyopita.

Siku serikali ikiamua kupambana na ufisadi kwa dhati kabisa ndo tutasonga mbele.

"Hapana huo ni uongo, hizo taarifa za kukutwa na fedha nyumbani kwake sio sahihi, ni watu nadhani pengine ni maadui zake wanajaribu kutengeneza hoja za kuonyesha alikuwa na hizo hela, KAKOKO anashikiliwa na sisi TAKUKURU hilo halina ubishi" Brigedia Generali Mbungo, Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU
 
Sasa atasababisha wenzake wazimwage barabarani kwa kiwewe , maana wakiweka ndani moto wakipeleka benki hatari, watatembea nazo kwenye V8 mpaka wapagawe.

"Hapana huo ni uongo, hizo taarifa za kukutwa na fedha nyumbani kwake sio sahihi, ni watu nadhani pengine ni maadui zake wanajaribu kutengeneza hoja za kuonyesha alikuwa na hizo hela, KAKOKO anashikiliwa na sisi TAKUKURU hilo halina ubishi" Brigedia Generali Mbungo, Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU
 
"Hapana huo ni uongo, hizo taarifa za kukutwa na fedha nyumbani kwake sio sahihi, ni watu nadhani pengine ni maadui zake wanajaribu kutengeneza hoja za kuonyesha alikuwa na hizo hela, KAKOKO anashikiliwa na sisi TAKUKURU hilo halina ubishi" Brigedia Generali Mbungo, Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU
 
Sasa ndugu unafikiri akiwekwa Lissu au Mbowe hapo ndio hawataiba??

TAKUKURU yakanusha kukuta kiwango kikubwa cha fedha cha Dola milioni 1 na laki 6 wakati wa upekuzi kwa Mkurugenzi wa TPA Bw. Deusdedit Kakoko na kusema taarifa hizo hazina ukweli wowote.

Amesema Taasisi hiyo ilikuta kiasi cha Dola Elfu 3 na fedha za Kitanzania Milioni 1 na nusu.
 
Sasa kama kakanusha kwanini ashindwe kuweka hadharani sababu za kumuweka lupango? [emoji15]

TAKUKURU yakanusha kukuta kiwango kikubwa cha fedha cha Dola milioni 1 na laki 6 wakati wa upekuzi kwa Mkurugenzi wa TPA Bw. Deusdedit Kakoko na kusema taarifa hizo hazina ukweli wowote.

Amesema Taasisi hiyo ilikuta kiasi cha Dola Elfu 3 na fedha za Kitanzania Milioni 1 na nusu.
 
Kumpakua iwe fundisho then kumnyonga

TAKUKURU yakanusha kukuta kiwango kikubwa cha fedha cha Dola milioni 1 na laki 6 wakati wa upekuzi kwa Mkurugenzi wa TPA Bw. Deusdedit Kakoko na kusema taarifa hizo hazina ukweli wowote.

Amesema Taasisi hiyo ilikuta kiasi cha Dola Elfu 3 na fedha za Kitanzania Milioni 1 na nusu.
 
Ushamba huo unaitwa

Ova

Uchoyo umempoza hakula na Nduguze na Rafiki wangemsaidia kumfichia. Dollari uchagoni.

Hii ndio sahihi sio ile yakusema kahamishia bank.
 
Aibu gani hii kwa Kibwetere?
 
CCM hakuwezi toka msafi, Ndio maana mlisema jiwe kiboko ya mafisadi, tukahuzunika how corrupt our mind is

Mungu mwenyewe alishindwa kuzuia dhambi, ndio iwe Magu azuie watu kuiba??

Alichojaribu ni kupunguza tu rushwa na ubadhirifu, kuumaliza ni kitu kisichowezekana. Au we unafikiri Lissu na Chadema wakishika nchi ndio wataondoa Ufisadi?? Chadema hawa waliokuwa wananunuliwa na Bashite na Polepole??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…