Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha




DRAWING CONCLUSION ON A WRONG PREMISE
 
Habari za uhakika,

Chahali/kigogo
===
TAKUKURU yakanusha kukuta kiwango kikubwa cha fedha kwa Aliyekuwa Mkurugenzi wa TPA.

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo amewataka wanachi kupuuza taarifa zinazosambaa mitandaoni.

Your browser is not able to display this video.

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo amethibitisha kumshikilia kwa mahojiano Mkurugenzi Mkuu wa Bandari Tanzania (TPA) Deusdedit Kakoko. Pia Brigedia Mbungo amekanusha picha na video zinazosambaa mitandao zikionyesha fedha ikidaiwa zimekutwa nyumbani kwa Injinia Kakoko.

Brigedia Mbungo amesema; "Hapana huo ni uongo taarifa za kukutwa na Pesa nyumbani kwake sio sahihi ni watu nadhani ni maadui zake wanajaribu kutengeza hoja ya kuonyesha alikuwa na hizo fedha,

Kakoko anashikiriwa na sisi(TAKUKURU) hilo halina ubishi na tunamshikiria kwa sababu za Kiuchunguzi kwahiyo tunaufanya uchunguzi lakini tunahitaji na yeye awepo, Unajua kwa mfano unapokwenda kumpekua mtu ni zoezi la uchunguzi, sasa huwezi kumpekua wakati yeye hayupo lazima awepo"
 
Huenda unaongea kutokana na uelewa wako au uzoefu wako, kwa mjibu wa sheria ni kosa kuihifadhi kiasi kikubwa hivyo cha fedha nyumbani
 
Hivi ulizusha ili iweje? Weka na hii kama hakuwa na nia mbaya
 

Attachments

  • IMG_3119.MP4
    14.6 MB
Palo mwongo anapo sahau Vichwa vya treni
Hili halina tofauti huo ni mgao wa kisheri haki ya aliye mpangi tatizo ameondoka kabla ila mgawo upo pale pale hata hivyo Magu hakuwa anaingiza mfukoni kwake bali azigawa tea
 
Aliweza kuzichimbia kabla nini, maana rumaz zilienea sana kitaa hizo fedha ni kama milioni 7 zote hata mimi mtoto wa mchungaji tunapata katika makusanyo ya sadaka. Da! inamaana kachomoa soo?
 
Kitendo cha kukutwa tu basi mchezo ushafanyika.
Mimi tu ambae Sina wadhifa huwezi kukosa mil 1 ndani kwaangu. Huyo DG wa bandari anaanzaje kukosa mil 9 ndani? Hiyo mil 9 ni nusu ya mshahara wake kwa mwezi.
Inawezekana kapiga hela nyingi, Ila hiyo taaarifa sijui kakutwa nazo ndani ni UONGO uliopitiliza
 
Tunarudi pale pale.. Kumaliza uwizi ni ngumu. Sawa tufanye waliiba, ila ukweli kazi aliifanya.

Ndio maana nasema hata angepewa Mbowe au Zitto bado wangeiba tu na maswaiba zake. JK aliiba na rafiki zake, Mkapa aliiba na shemeji na rafiki zake, hakuna ambaye asingeiba.

Alafu hiyo kauli ya watendaji chapeni kazi sijui mjomba ayupo kaisema wapi?
 
Kitendo cha kukutwa tu basi mchezo ushafanyika.
Mimi tu ambae Sina wadhifa huwezi kukosa mil 1 ndani kwaangu. Huyo DG wa bandari anaanzaje kukosa mil 9 ndani? Hiyo mil 9 ni nusu ya mshahara wake kwa mwezi.

Inawezekana kapiga hela nyingi, Ila hiyo taaarifa sijui kakutwa nazo ndani ni UONGO uliopitiliza
 
Utakasilika sana lakini unachotakiwa kufahamu Mama ameamua kumwaga mafuta ya taa chumbani sasa nyoka wote watatoka huyo ni mmoja tu,nakuwekea nukuu moja kwa philip mpango mapema leo bungeni ,kasema "watendaji chapeni kazi mjomba hayupo"
Acha upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…