Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,658
- 6,700
Kuna watu wako kwenye denial ya hali ya juu humu, mara wanaquestion chanzo cha taarifa, which is good, mara wanasema jamaa ameiba kijinga, wengine ameiba kidogo. Nyie semeni msemavyo lakini sisi tuko hapa kuwakumbusha kuwa mlichokuwa mnakisifia zamani sivyo kilivyokuwa. Kwa kufahamu mliamua kutupotosha kwa kuwa mnahusika kwa namna moja au nyingine, au kwa ujinga mlikuwa fooled ama tu hamna lolote zaidi ya bendera fuata upepo.
Mkatutukana na kutuita majina, huku mkiendekeza ule uzalendo wenu feki wa kufoka foka na kuvaa bendera ya taifa. 😂 Mtu anayeminya uhuru wa habari toka lini akawa msafi!?
DRAWING CONCLUSION ON A WRONG PREMISE