Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Hakuna lolote, hao walikuwa wanabebwa na mfumo wa dikteta lakini hawana lolote na hawajui chochote
 
huenda unaongea kutokana na uelewa wako au uzoefu wako, kwa mjibu wa sheria ni kosa kuihifadhi kiasi kikubwa hivyo cha fedha nyumbani
Kuanzia shilingi ngapi ndo kosa?

Btw, hizo habari za yeye kukutwa na hayo mahela ni uzushi.
 
Ni kama vile kuna concerted effort ya kutaka kumchafua tu.

Lakini ukweli ni kwamba ni vigumu sana kuufuta ufisadi.

Hata Marekani ufisadi upo. Hata Uingereza upo. India upo.

Cha muhimu ni je, inapodhihirika kuna ufisadi umefanyika, hatua gani zinachukuliwa?

Kuna mtu kasimamishwa kazi. Uchunguzi tumeambiwa unafanyika.

Fair due process.

Na jamaa si kwamba keshapatikana na hatia.

Mpaka sasa anahesabika bado yuko innocent....
 
Wewe akili zako zipo matakoni kabisa! Pumba tupu umeandika humu! Sasa bosi wa PCCB ameagizwa na Mkuu wa nchi, aogope au apindishe nini na kwa faida ya nani?
Duh

Ova
 
Wewe akili zako zipo matakoni kabisa! Pumba tupu umeandika humu! Sasa bosi wa PCCB ameagizwa na Mkuu wa nchi, aogope au apindishe nini na kwa faida ya nani?

You're just a Wasted Sperm and Foolish.
 
BODI ya TPA pia Kbla ya Kuvunjwa wajumbe wake wachunguzwe kwa kina.

tunaomba vikosi vyetu vifanye kazi kwa
uzalendo.

maaana nakumbuka mwaka 2016 Bodi ya

TPA ilivunwa kisha ikaundwa nyingine

ambayo ndio hii iliyopo na kwa mara nyingine

tena tumeshuhudia Ubadhirifu wa kutisha!! na bodi ipo!!

wajumbe wa bodi wachunguzwe wote, huenda baadhi yao wanahusika ktk ubadhirifu huu wa billioni 4.
 
Duuh, mkuu unataka Mzee Mkinga arudi benchi na kuanza kuzunguka kwenye TV station na ajenda zake za Nasaco na mapato kupotea.
 
Duuh, mkuu unataka Mzee Mkinga arudi benchi na kuanza kuzunguka kwenye TV station na ajenda zake za Nasaco na mapato kupotea.
ni aibu kuendelea kukaa kwenye Bodi wakati amechafuka, Tena ingekuwa nchi za wenzetu alipaswa ajiuzulu mapema kabla hata bodi haijavunjwa.

yaaani hii nchi mtu asipo kuwa na cheo anakuwa muongeaji na mchambuzi wa mambo vizuri sana lkn ngoja apewe nafasi .....kimyaaa, nadhani ulaji umemfanya afunge bakuli.

BODI YA TPA haina usafi wa kimaadili wa kuendelea kuwepo...imapaswa ivunjwe na kabla ya kuvunjwa kwanza wachunguzwe.
 
Kumchukia mwenye pesa hakufanyi wewe uwe na pesa. Watanzania tutafute pesa tuache makasiriko yasiyo na msingi.

Watu wanafurahi kusikia mwenye nacho anapata shida.

Mama Samia oyeeee
Pesa haramu unafananisha na chuki walionayo wananchi, mtu apate hela kihalali na sio kiwizi,
 

Anaziweka ndani za nini, Watanzania kwa kutetea uwizi
 
Kuna namna watanzania tunashindwa hata kutumia akili ya kawaida kabisa kwenye mambo madogo kama haya. Dola 1.6 ni zaidi ya bilioni 3.5 za kitanzania,sasa inakuaje mtu apokee rushwa kubwa mkononi halafu akazitunza chumbani kwake!
Kinazuia nn na nidola kwani ilikua hayo makapi yenu ,kama nitaamua kujichimbia chini au kujiwekea ndani shida iko napengine najiwekea kilamwaka kilamwezi ,vile navoaamua mimi

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…