MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!
Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.
MSIWE NA PAPARA MKAMUHUKUMU MTU KUMBE HANA HATIA. NGOJENI UCHUNGUZI UISHE NDIO MNAWEZA KUTOA HUKUMU.
MNAKUMBUKA KESI YA MASAMAKI WA TRA? SI ILIKUWA HIVI HIVI ETI OO KAKAMATWA NA NDOO ZIMEJAA $$ NYUMBANI KWAKE! KWENDA MAHAKAMANI MASAMAKI HAKUTOA HATA SAUTI AKAACHIWA!!!
ANATOA MAELEKEZO AKIWA WAPI?Nimecheka Kigogo “anatoa” maelekezo ya nani akamatwe
Wewe ndo unajua hivyo.!Ukaguzi wa CAG ulikuwa haujatoka wakati huo; kwa hiyo kuna habari ambazo Majaliwa hakuweza kuzijua mara moja.
Ukiwa Boss Mkuu TPA Umasikini haupo!
Billion 2 na M za kutosha.hivi hizo ni sawa sawa na shilingi ngapi za kitanzania?
ANATOA MAELEKEZO AKIWA WAPI?
Ni kweli kabisa pengine usemayo,tatizo langu ni kutoamini kuwa kakutwa na pesa Cash ndani kiasi chote hicho. Huyu hakuwa mjinga kihivyo.Tangu alipotumbuliwa yale masaa yalitosha kabisa kwa yeye kuweza kuficha hizo pesa,unless wakati anatumbuliwa alikwisha kamatwa siku moja kabla.
Yaani jamaa kweli anaweka mahela yote hayo kwenye begi au sijui gunia, nyumbani kwake?Porojo za Kigogo na Chahali hizi. Hivi kama kweli alikuwa na pesa ndani akae nazo tu tangu JPM afariki? Unadhani yeye alikuwa hajui kuwa watu wamempania? Tutadanganywa sana hiki kipindi cha mwezi mmoja,baadae tutarudi kule kwa kumdhihaki tena SSH kama kawaida yetu.Ni swala la muda tu mbona.
Nimecheka Kigogo “anatoa” maelekezo ya nani akamatwe.
Who does that in this day and age?!!
He must be the dumbest [if true] to be caught lacking like that.
Amateur hour.
Paliponishangaza mimi ni kuziweka hizo hela nyumbani.Kama ni kweli huu uwizi ni wa kishamba sana
Hela yote hiyo unaipiga ya nini na unataka
Kuifanyia nini ,sema nachojua mwanadamu pesa haimtosholezi kabisa
Ova
Wewe ni mtutsi?Huyu jamaaa na afungwe tu alifanya bandari Kama mradi wake yeye na marehemu.
Bado na yule ndyamukama wa airport ni watu wezi Sana walijiona wao ndio wao kwa kuwa walifanya kazi pamoja na mhutu mwenzao walipokuwa tanroads
Mama Samia anatakiwa kudeal nao Sana Hawa wahutu wa jiwe ambao aliwapa madaraka
Picha kwanini "bureau de change" zilifungiwa linaanza kuonekana...Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!
Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.
Walitumbuliwa vidagaa tu huyo DG aliipetaTPA iliwahi kuchunguzwa na Majaliwa wakati ule wa Magufuli, kukawa na heka heka sana nusra jamaa huyu apoteze madaraka.
Yaani jamaa kweli anaweka mahela yote hayo kwenye begi au sijui gunia, nyumbani kwake?
Kama ni kweli huyo jamaa atakuwa bonge moja la zuzu!
Ila, twende taratibu maana mihemuko ni mingi sana sasa hivi.
Mimi naihifadhi kwanza hukumu yangu.
Ni matumaini kwa Sasa Kama uchunguzi utaendelea kwa viongozi mbali mbali hasa waliokua na kiongonzi yule watakamata pesa nyingiNimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!
Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.