Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!

Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.

Ukiwa Boss Mkuu TPA Umasikini haupo!
 
MSIWE NA PAPARA MKAMUHUKUMU MTU KUMBE HANA HATIA. NGOJENI UCHUNGUZI UISHE NDIO MNAWEZA KUTOA HUKUMU.
MNAKUMBUKA KESI YA MASAMAKI WA TRA? SI ILIKUWA HIVI HIVI ETI OO KAKAMATWA NA NDOO ZIMEJAA $$ NYUMBANI KWAKE! KWENDA MAHAKAMANI MASAMAKI HAKUTOA HATA SAUTI AKAACHIWA!!!

Kwani hata wana muda basi,wataanza hapa hapa kumkejeli Rais.Sisi tutafukua tu hizi Thread zao kuwakumbusha.
 
Ukiwa Boss Mkuu TPA Umasikini haupo!

Ni kweli kabisa pengine usemayo,tatizo langu ni kutoamini kuwa kakutwa na pesa Cash ndani kiasi chote hicho. Huyu hakuwa mjinga kihivyo.Tangu alipotumbuliwa yale masaa yalitosha kabisa kwa yeye kuweza kuficha hizo pesa,unless wakati anatumbuliwa alikwisha kamatwa siku moja kabla.
 
Sura yake tu inakuonyesha ni Mwerevu?
 
Porojo za Kigogo na Chahali hizi. Hivi kama kweli alikuwa na pesa ndani akae nazo tu tangu JPM afariki? Unadhani yeye alikuwa hajui kuwa watu wamempania? Tutadanganywa sana hiki kipindi cha mwezi mmoja,baadae tutarudi kule kwa kumdhihaki tena SSH kama kawaida yetu.Ni swala la muda tu mbona.

Nimecheka Kigogo “anatoa” maelekezo ya nani akamatwe.
Yaani jamaa kweli anaweka mahela yote hayo kwenye begi au sijui gunia, nyumbani kwake?

Kama ni kweli huyo jamaa atakuwa bonge moja la zuzu!

Ila, twende taratibu maana mihemuko ni mingi sana sasa hivi.

Mimi naihifadhi kwanza hukumu yangu.
 
Kama ni kweli huu uwizi ni wa kishamba sana
Hela yote hiyo unaipiga ya nini na unataka
Kuifanyia nini ,sema nachojua mwanadamu pesa haimtosholezi kabisa

Ova
Paliponishangaza mimi ni kuziweka hizo hela nyumbani.

Ila ngoja nisihukumu kwanza as far as the bigger picture is concerned.

Nasubiri nipate taarifa zaidi...
 
Huyu jamaaa na afungwe tu alifanya bandari Kama mradi wake yeye na marehemu.
Bado na yule ndyamukama wa airport ni watu wezi Sana walijiona wao ndio wao kwa kuwa walifanya kazi pamoja na mhutu mwenzao walipokuwa tanroads
Mama Samia anatakiwa kudeal nao Sana Hawa wahutu wa jiwe ambao aliwapa madaraka
Wewe ni mtutsi?
 
Screenshot_20210330_061538.jpg

Someni wenyewe. Afu zee lilijisifu sana "kwenye utawala wangu hakuna fisadi atatokeza" bora alivyokufa tu mana tungezidi kupigwa na tusingejua
 
Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!

Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.
Picha kwanini "bureau de change" zilifungiwa linaanza kuonekana...
 
Yaani jamaa kweli anaweka mahela yote hayo kwenye begi au sijui gunia, nyumbani kwake?

Kama ni kweli huyo jamaa atakuwa bonge moja la zuzu!

Ila, twende taratibu maana mihemuko ni mingi sana sasa hivi.

Mimi naihifadhi kwanza hukumu yangu.

Baada ya mwezi mmoja tu hapa,utaona mwelekeo wa Thread kwa Mama Samia.

Upo sahihi kabisa kutokuhukumu haraka,watu hapa wanaendeshwa na mihemuko ya kule twitter,baada ya muda watageuza gia angani.
 
Tuliandika mara kadhaa humu "Mkulu awatazame vema fisi na manyang'au waliomzingira mezani pake!" Huku wakimsifia na kumpamba ilhali wamemziba maskio. SASA MAMBO HADHARANI... R.I.P JPM
FAGIO LA CHUMA LIPITE ILI UCHAFU SUGU UPUNGUE..
 
Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!

Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.
Ni matumaini kwa Sasa Kama uchunguzi utaendelea kwa viongozi mbali mbali hasa waliokua na kiongonzi yule watakamata pesa nyingi
Chunguza wakurugenzi wote ,makatibu wakuu, wakuu wa mikoa na wilaya, watu wezi Sana ,alafu utasikia mbwewe za watu wale hawana hii majizi yamebanwa, na Hawa mapapa yanatoka wapi,
 
Back
Top Bottom