Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Huyu jamaaa na afungwe tu alifanya bandari Kama mradi wake yeye na marehemu.

Bado na yule ndyamukama wa airport ni watu wezi Sana walijiona wao ndio wao kwa kuwa walifanya kazi pamoja na mhutu mwenzao walipokuwa tanroads.

Mama Samia anatakiwa kudeal nao Sana Hawa wahutu wa jiwe ambao aliwapa madaraka
 
Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!

Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.
Hii nchi ndiko ilikuwa ikienda.

Dagaa ndiyo wanaoshikwa na yale mapapa, yanaachwa yakitamba!
 
TPA iliwahi kuchunguzwa na Majaliwa wakati ule wa Magufuli, kukawa na heka heka sana nusra jamaa huyu apoteze madaraka.
Swali la msingi ni kwanini Majaliwa katika uchunguzi wake, akawatumbua "vidagaa" na kumuacha "papa" Kakoko aendelee kutamba?

Ndiyo utambue kuwa enzi za Hayati Magufuli, nchi alikuwa ikiendeshwa kwa mtindo wa "double standards" wa hali ya juu sana!
 
Kasema Chahali....
Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!

Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.
 
Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana!

Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti" vingi sana hujo Jersey au Switzerland kama yule mzee.
Hivi hizo ni sawa sawa na shilingi ngapi za Kitanzania?
 
Back
Top Bottom