Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,205
Mie nahisi zilichotwa wakati wa Magufuli, na alikuwa ana kinga flani sasa Magufuli amefariki watu wamemchoma.Most likely zimechotwa mara baada ya Magufuli kufariki ndiyo maana alikuwa hajafanya utaratibu wa kuzificha!
Ufisadi uko kila awamu sema watu wanalindana tu.