and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Pesa ya maana jamani. Wanyonge tunaliaZaidi ya bilioni 3.7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa ya maana jamani. Wanyonge tunaliaZaidi ya bilioni 3.7
Surprise visit gani wakati alijua anachunguzwa.ni mjinga huyu muhangazaUnajua maana ya suprise visit? Labda kama kawekewa ila kama sivyo unakuta pesa zilikuwa in transit kuhifadhiwa ghafla usiku watu hawa hapa wanataka kukukagua.
Biharamulo tunaliaMnyambo wa Biharamlo huko Kagera. Alikuwa darasa moja pale UDSM na James Mbatia Civil Engineering! Alimaliza 1992.
Ukiweka benki wanachukuaEeh 3.7 B, home?
Nadhani alikwepa mkono wa Sharia kuziweka bank
This is very very likely. Re-auditing might reveal more that the stated 3.6B in the CAG Report.Duh! Hii ni hatari kubwa maana zinazidi hata zile walizogundua CAG officers kwenye ukaguzi wao! Basi hapo bandari wakague tena wanaweza kukuta ni fedha mabilioni mengi zaidi!
Umenikumbusha wimbo wa uzalendo na wanyongeMh. Rais anza na Wizara ya Fedha mtoe yule mtoto kwanza. Maana ndiyo mpitishaji wa deals. Chunguzeni na zile the so called pesa za kununua vifaa vya matibabu ya mwendazake. Tumeibiwa kwa kudanganywa na maneno ya kishindo machozi pa watanzania ila chini chini wizi wa kutisha wa mnyonyoro wa pipe lililokuwa linasambaza kwa wengi.
Fukueni makaburi. Hizo zilikuwa ndiyo conduit pipes. Mtu unathubutu kusimama eti napambana na mafisadi kumbe ni kupambana na wabaya wako kwa kuwabambikiza kesi uchwara ili umma ukusifu. Majizi makubwa. Yatafumuliwa yote. Mungu mlinde Rais wetu mpya. Rais wa matumaini na Tanzania mpya.Kaanza kuiba way before na ndo maana kamati iliundwa lkn yeye hakuguswa. Juulize aliwezaje kuiba hlf asitumbuliwe. Tulivyokua tunamuelewa jiwe yaani pawe na ubadhirifu halafu mkurugenzi apone kweli? Kuna report ya CAG Assad ilishasema yule aondolewe na afilisiwe jumla ya mali zake dola laki 9. Aliondolewa? Jiulize kwanini?
Hakika Mkuu huu n ulafi wa ajabu Sana 1.6USDs daah afu kuna wnanchi wanasota na maisha wengine wanaponda lifeDah Mungu ni wetu wote. Huu ni uroho uliopitiliza.
Sio mnyambo wala sio wa biharamuro.ni muhangaza wa ngara nimesoma nae rulenge sekondariMnyambo wa Biharamlo huko Kagera. Alikuwa darasa moja pale UDSM na James Mbatia Civil Engineering! Alimaliza 1992.
Raisi wa WanyongeHaya yamefanyika katika utawala wa rais mzalendo. fyoko fyoko fyoko. tuliwaambia wanaiba mkatuona hamnazo
Vijana wa sikuhizi. Kila mnachokiona mnataka kukishirikisha na habari zenu za vijiweni. Wengine tunatoa taarifa tunazoziona kwa macho. Wewe jazia nyama. Kama upo sehemu husika. Who is kigogo by the way?JamiiForums yetu yani mtu chanzo cha Habari ni kigogo
Ukumbuke ametoka kuishi kwenye kulindwa na system, ghafla bin vuu system ndo inakutafuta. Saa ngapi unajifunza skills za kujilinda bila system inayofahamu uozo wako nje ndani? Mwenye uelewa asingekuwa nchini. Angejificha nje pale tu mzee alipoondoka ili asome upepo unaendaje.Surprise visit gani wakati alijua anachunguzwa.ni mjinga huyu muhangaza