Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

Unajua maana ya suprise visit? Labda kama kawekewa ila kama sivyo unakuta pesa zilikuwa in transit kuhifadhiwa ghafla usiku watu hawa hapa wanataka kukukagua.
Surprise visit gani wakati alijua anachunguzwa.ni mjinga huyu muhangaza
 
Ukiwa madarakani ukiruhusu Uwazi na uhuru wa kukosolewa kama walivyofanya Mwinyi na Jakaya utaishi kwa amani ukistaafu lakin ukificha ficha mambo lazima uumbuke ukistaafu


Samia ana uhuru wa kuchagua ama kuchochea uhuru wa Habari ili atumie kama kioo cha kujirekebisha au ajigeuze Mhariri wa kila habari inayotoka ili asifiwe lakin ajipange kwa madongo siku akitoka

Jk na Mwinyi baada ya kustaafu kwao kulikuwa hakuna Breaking news kuhusu Utawala wao kwa kuwa kama ni kashfa kama ni matusi kama ni uzushi vilishafanyika sana wakiwa Madarakan kiasi kwamba hapakuwa na jipya la kuwahabarisha watu

Lakin Mkapa baada ya kustaafu kwake 2005 tuliokuwa na kumbukumbu tutakumbuka alivyoandamwa hadi Jk akaomba Mzee aachwe apumzike na tunayoyaona sasa ni muendelezo wa theory ile ile
 
Mh. Rais anza na Wizara ya Fedha mtoe yule mtoto kwanza. Maana ndiyo mpitishaji wa deals. Chunguzeni na zile the so called pesa za kununua vifaa vya matibabu ya mwendazake. Tumeibiwa kwa kudanganywa na maneno ya kishindo machozi pa watanzania ila chini chini wizi wa kutisha wa mnyonyoro wa pipe lililokuwa linasambaza kwa wengi.
 
Chumaaa...chumaaa....!!

Kuwasema tawala zilizopita kumbe na yeye alikuwa anafuga wezi na mafisadi....a rest zake in hell,Chuma hiyo kwiyooo!
 
Mh. Rais anza na Wizara ya Fedha mtoe yule mtoto kwanza. Maana ndiyo mpitishaji wa deals. Chunguzeni na zile the so called pesa za kununua vifaa vya matibabu ya mwendazake. Tumeibiwa kwa kudanganywa na maneno ya kishindo machozi pa watanzania ila chini chini wizi wa kutisha wa mnyonyoro wa pipe lililokuwa linasambaza kwa wengi.
Umenikumbusha wimbo wa uzalendo na wanyonge
 
Kaanza kuiba way before na ndo maana kamati iliundwa lkn yeye hakuguswa. Juulize aliwezaje kuiba hlf asitumbuliwe. Tulivyokua tunamuelewa jiwe yaani pawe na ubadhirifu halafu mkurugenzi apone kweli? Kuna report ya CAG Assad ilishasema yule aondolewe na afilisiwe jumla ya mali zake dola laki 9. Aliondolewa? Jiulize kwanini?
Fukueni makaburi. Hizo zilikuwa ndiyo conduit pipes. Mtu unathubutu kusimama eti napambana na mafisadi kumbe ni kupambana na wabaya wako kwa kuwabambikiza kesi uchwara ili umma ukusifu. Majizi makubwa. Yatafumuliwa yote. Mungu mlinde Rais wetu mpya. Rais wa matumaini na Tanzania mpya.
 
Mnyambo wa Biharamlo huko Kagera. Alikuwa darasa moja pale UDSM na James Mbatia Civil Engineering! Alimaliza 1992.
Sio mnyambo wala sio wa biharamuro.ni muhangaza wa ngara nimesoma nae rulenge sekondari
 
Sasa waliosema serikali ya awamu ya tano ilikuwa ni safi, hakuna rushwa na wala haiibiwi njooni hapa!! Hizi ni cha mtoto tu - kuna mambo yanakuja mtatamani ardhi ipasuke mjizikemo!!
 
JamiiForums yetu yani mtu chanzo cha Habari ni kigogo
Vijana wa sikuhizi. Kila mnachokiona mnataka kukishirikisha na habari zenu za vijiweni. Wengine tunatoa taarifa tunazoziona kwa macho. Wewe jazia nyama. Kama upo sehemu husika. Who is kigogo by the way?
 
Surprise visit gani wakati alijua anachunguzwa.ni mjinga huyu muhangaza
Ukumbuke ametoka kuishi kwenye kulindwa na system, ghafla bin vuu system ndo inakutafuta. Saa ngapi unajifunza skills za kujilinda bila system inayofahamu uozo wako nje ndani? Mwenye uelewa asingekuwa nchini. Angejificha nje pale tu mzee alipoondoka ili asome upepo unaendaje.

Unaweza kuta aliwasiliana na mtu wa system anayemuamini akamwambia ficha nyumbani mpaka huu msala uishe, hatuna mpango wa kukupekua zaidi ya kukuhoji tu.
 
Back
Top Bottom