Sakata la Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lajengwa usiku kucha kuwahi kulimaliza

Hayo makanisa ya kilokole yanapewa kibali chaujenzi hata katika viwanja vya makazi ya watu sijui nani yuko nyuma ya hayo makanisa (tena itakuwa ananguvu za kiuongozi).Sie Lindi mjini wakati huo lilijengwa kiwanja cha makazi ya watu tukatoa malalamiko yetu wakasitisha kwa muda baada ya wiki likaendelezwa na mdundo mkubwa siku ya ijumaa kuamkia jumamosi watu hatulali na wala maongezi ya stara hatuyapati.Ile nyumba nikatafuta mgeni nikaiuza now sipo Lindi tena kikazi.Kiufupi kama ni kanisa la kilokole hamtawaweza kwa utawala huu,inaonekana wananguvu kubwa.
 
Nataka Tanzania iwe kama Urayaaa !!! Si ni kweri ndugu zanguuuuuuu7 ????
 
Mi
Misikiti yenu ya Tabora imetengewa eneo la wapi?
 
H
Hiyo ni barabara inatoka Westland primary school upande wa kusini mwa shule kutoka magharibi kwenda mashariki inatokea barabara inayokwenda shule ya msingi itetemia na hapa ndio walipoziba njia .
 
Halafu hawa walokole uchwara ni vichaa kabisaaa kasoro kuvua nguo unaweza kuongea habari za kuandaa mwanamke mbele ya watoto spika zikiwa wazi ?
 
Kwa hilo unaonyesha chuki yako kwa walokole, hivi tatizo lako hasa ni nini: kanisa kujengwa barabarani au walokole wapumbafu wasiosoma?
Kwasababu nyie ni walokole uchwara ndio mjenge barabani ?
 
Kwa hilo unaonyesha chuki yako kwa walokole, hivi tatizo lako hasa ni nini: kanisa kujengwa barabarani au walokole wapumbafu wasiosoma?
Acheni upumbafu salini kwa staha acheni kelele , muziki kapigeni vyumbani kwenu ? Karibu na hapo kuna makanisa matatu kwanini hayasemwi hayo mengine ila nyinyi tu ? Hamuoni kama mna matatizo ? Kwanini mlifukuzwa Cheyo Mwanga Shop ? Kwasababu ya ujinga wenu huuhuu , mtamponza Deo shauri yenu .
 
SHIDA YENU KUBWA WANYAMWEZI NI KUKOSA ELIMU,MAJUNGU,HUSDA,FITINA NA CHUKI. HII NDO INAWAUMIZA SANA.
 
NAKUSHAURI KAMALIZE TOFAUTI ZAKO WEWE NA HUYO MCHUNGAJI. USIKIMBILIE HUKU SABABU YEYE HAYUPO. KAMALIZANE NAYE NA UKIJA NEXT TIME UANDIKE UZI " NASHUKURU NIMEMALIZA UGOMVI WANGU NA MCHUNGAJI SASA SINA TENA CHUKI NA HUSDA KWAKE.NIMEACHA KUMPIKIA MAJUNGU" SAWA. HAYA NENDA MTAFUTE LEO MMALIZANE NAYE. UJE UTUPE MREJESHO.
 
Aise hii ya mziki inaboaga sana lkn Mtu akijitokeza kusema utashangaa watu wanamhusisha na mtu asiyejua dini, mtaa wote hamskilizani wengne wametoka job za night kiwandani hapati mda wa kulala kwa kelele hizo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…