Sakata la Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lajengwa usiku kucha kuwahi kulimaliza

Hayo makanisa ya kilokole yanapewa kibali chaujenzi hata katika viwanja vya makazi ya watu sijui nani yuko nyuma ya hayo makanisa (tena itakuwa ananguvu za kiuongozi).Sie Lindi mjini wakati huo lilijengwa kiwanja cha makazi ya watu tukatoa malalamiko yetu wakasitisha kwa muda baada ya wiki likaendelezwa na mdundo mkubwa siku ya ijumaa kuamkia jumamosi watu hatulali na wala maongezi ya stara hatuyapati.Ile nyumba nikatafuta mgeni nikaiuza now sipo Lindi tena kikazi.Kiufupi kama ni kanisa la kilokole hamtawaweza kwa utawala huu,inaonekana wananguvu kubwa.
 
Nataka Tanzania iwe kama Urayaaa !!! Si ni kweri ndugu zanguuuuuuu7 ????
 
Mi
Kusema watu wamejenga katikati ya barabara ni majungu ? Kusema watu wanapiga muziki kwa sauti kubwa sana kwenye makazi ya watu ni majungu ? Uhuru wa nchi ulitafutwa na kupiganiwa Sana na wanatabora , mwaka 1958 wakafanya uamuzi wa busara , vipi nyie msiokuwa na majungu mlifanya nini? Eneo lililotengwa kwa makanisa lipo , ndipo kanisa la RC kariakoo lilipojengwa .
Misikiti yenu ya Tabora imetengewa eneo la wapi?
 
H
Aombe kubadili matumizi kwenye barabara? Yaani itoke barabara na iwe kiwanja halafu kijengwe kanisa?😄😄😆

Lakini mkuu, ni kweli kuna barabara au ni kinjia tu kisicho rasmi lakini kilichozoeleka kinachopita kwenye kiwanja cha mtu?? Mkurugenzi ndio mtoa vibali vya ujenzi, ameshindwa kujua kama alipitisha au la kibali cha ujenzi huo? Au hata siku mtumbuaji akifika eneo hilo Mkurugenzi atapoulizwa swali atamuita afisa mipango miji kujibu?
Hiyo ni barabara inatoka Westland primary school upande wa kusini mwa shule kutoka magharibi kwenda mashariki inatokea barabara inayokwenda shule ya msingi itetemia na hapa ndio walipoziba njia .
 
Hayo makanisa ya kilokole yanapewa kibali chaujenzi hata katika viwanja vya makazi ya watu sijui nani yuko nyuma ya hayo makanisa (tena itakuwa ananguvu za kiuongozi).Sie Lindi mjini wakati huo lilijengwa kiwanja cha makazi ya watu tukatoa malalamiko yetu wakasitisha kwa muda baada ya wiki likaendelezwa na mdundo mkubwa siku ya ijumaa kuamkia jumamosi watu hatulali na wala maongezi ya stara hatuyapati.Ile nyumba nikatafuta mgeni nikaiuza now sipo Lindi tena kikazi.Kiufupi kama ni kanisa la kilokole hamtawaweza kwa utawala huu,inaonekana wananguvu kubwa.
Halafu hawa walokole uchwara ni vichaa kabisaaa kasoro kuvua nguo unaweza kuongea habari za kuandaa mwanamke mbele ya watoto spika zikiwa wazi ?
 
Kwa hilo unaonyesha chuki yako kwa walokole, hivi tatizo lako hasa ni nini: kanisa kujengwa barabarani au walokole wapumbafu wasiosoma?
Kwasababu nyie ni walokole uchwara ndio mjenge barabani ?
 
Kwa hilo unaonyesha chuki yako kwa walokole, hivi tatizo lako hasa ni nini: kanisa kujengwa barabarani au walokole wapumbafu wasiosoma?
Acheni upumbafu salini kwa staha acheni kelele , muziki kapigeni vyumbani kwenu ? Karibu na hapo kuna makanisa matatu kwanini hayasemwi hayo mengine ila nyinyi tu ? Hamuoni kama mna matatizo ? Kwanini mlifukuzwa Cheyo Mwanga Shop ? Kwasababu ya ujinga wenu huuhuu , mtamponza Deo shauri yenu .
 
Wiki iliyopita ililipotiwa hapa jukwaani kuhusu wakazi wa Kariakoo Tabora kata ya Kitete wakilalamikia kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24

Sakata limeingia sura mpya baada mchungaji Jackson wa kanisa hilo kuonyesha jeuri na kuwaweka viongozi wote wa mkoa mfukoni, hasa afisa mipango miji na afisa utamaduni baada ya usiku wa leo kukesha usiku kucha akijenga kulimalizia kanisa hilo na nyumba ya mchungaji katikati ya barabara huku akitamba kuwa hawawezi kumfanya kitu chochote licha ya kujenga kwenye makazi ya watu, mchungaji huyu ameziba barabara kutoka shule ya msingi Westland kusini mwa shule kutoka magharibi kwenda mashariki

Kali kuliko Leo kanisani mchungaji na waumini wanamuombea mabaya aliyeleta taarifa hizi mtandaoni.

NB: Afisa mipango miji hebu lipeleke hilo kanisa eneo maalum lililotengwa kwa ajili ya makanisa. Halafu afisa mipango miji kwanini toka uagizwe na mkurugenzi kuangalia uhalali wa shughuli zinazoendeshwa na kanisa kama ni halali na zina vibali husika wewe na afisa utamaduni hujafanya hivyo toka November mwaka jana, tukisema mchungaji Jackson kakuweka mfukoni kama anavyosema tutakuwa tunakosea?

Anyway ibada inaendelea kama kazi muziki kama wote. Mnataka wananchi wafanye nini ndio mchukue hatua.
SHIDA YENU KUBWA WANYAMWEZI NI KUKOSA ELIMU,MAJUNGU,HUSDA,FITINA NA CHUKI. HII NDO INAWAUMIZA SANA.
 
NAKUSHAURI KAMALIZE TOFAUTI ZAKO WEWE NA HUYO MCHUNGAJI. USIKIMBILIE HUKU SABABU YEYE HAYUPO. KAMALIZANE NAYE NA UKIJA NEXT TIME UANDIKE UZI " NASHUKURU NIMEMALIZA UGOMVI WANGU NA MCHUNGAJI SASA SINA TENA CHUKI NA HUSDA KWAKE.NIMEACHA KUMPIKIA MAJUNGU" SAWA. HAYA NENDA MTAFUTE LEO MMALIZANE NAYE. UJE UTUPE MREJESHO.
 
Wiki iliyopita ililipotiwa hapa jukwaani kuhusu wakazi wa Kariakoo Tabora kata ya Kitete wakilalamikia kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24

Sakata limeingia sura mpya baada mchungaji Jackson wa kanisa hilo kuonyesha jeuri na kuwaweka viongozi wote wa mkoa mfukoni, hasa afisa mipango miji na afisa utamaduni baada ya usiku wa leo kukesha usiku kucha akijenga kulimalizia kanisa hilo na nyumba ya mchungaji katikati ya barabara huku akitamba kuwa hawawezi kumfanya kitu chochote licha ya kujenga kwenye makazi ya watu, mchungaji huyu ameziba barabara kutoka shule ya msingi Westland kusini mwa shule kutoka magharibi kwenda mashariki

Kali kuliko Leo kanisani mchungaji na waumini wanamuombea mabaya aliyeleta taarifa hizi mtandaoni.

NB: Afisa mipango miji hebu lipeleke hilo kanisa eneo maalum lililotengwa kwa ajili ya makanisa. Halafu afisa mipango miji kwanini toka uagizwe na mkurugenzi kuangalia uhalali wa shughuli zinazoendeshwa na kanisa kama ni halali na zina vibali husika wewe na afisa utamaduni hujafanya hivyo toka November mwaka jana, tukisema mchungaji Jackson kakuweka mfukoni kama anavyosema tutakuwa tunakosea?

Anyway ibada inaendelea kama kazi muziki kama wote. Mnataka wananchi wafanye nini ndio mchukue hatua.
Aise hii ya mziki inaboaga sana lkn Mtu akijitokeza kusema utashangaa watu wanamhusisha na mtu asiyejua dini, mtaa wote hamskilizani wengne wametoka job za night kiwandani hapati mda wa kulala kwa kelele hizo!
 
Back
Top Bottom