3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Mkuu
Mkuu sasa magari yanapitaje tena hapo 😷😷Amejiridhisha kanisa kuwepo katikati ya barabara ? Mbona hajawapa kibali cha ujenzi ? Mbona wajazi wa enough hili hatujaona kibao kinachoomba kubadili matumizi ya eneo husika kuwa kanisa kama sheria inavyotaka ? Kwahiyo afisa mipango miji ndio anawatuma wapige muziki mkubwa sana huku sisi tukiwa na wagonjwa ? Huyuhuyu Deo .