Sakata la Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lajengwa usiku kucha kuwahi kulimaliza

Mkuu
Amejiridhisha kanisa kuwepo katikati ya barabara ? Mbona hajawapa kibali cha ujenzi ? Mbona wajazi wa enough hili hatujaona kibao kinachoomba kubadili matumizi ya eneo husika kuwa kanisa kama sheria inavyotaka ? Kwahiyo afisa mipango miji ndio anawatuma wapige muziki mkubwa sana huku sisi tukiwa na wagonjwa ? Huyuhuyu Deo .
Mkuu sasa magari yanapitaje tena hapo 😷😷
 
Wiki iliyopita ililipotiwa hapa jukwaani kuhusu wakazi wa Kariakoo Tabora kata ya Kitete wakilalamikia kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24

Sakata limeingia sura mpya baada mchungaji Jackson wa kanisa hilo kuonyesha jeuri na kuwaweka viongozi wote wa mkoa mfukoni, hasa afisa mipango miji na afisa utamaduni baada ya usiku wa leo kukesha usiku kucha akijenga kulimalizia kanisa hilo na nyumba ya mchungaji katikati ya barabara huku akitamba kuwa hawawezi kumfanya kitu chochote licha ya kujenga kwenye makazi ya watu, mchungaji huyu ameziba barabara kutoka shule ya msingi Westland kusini mwa shule kutoka magharibi kwenda mashariki

Kali kuliko Leo kanisani mchungaji na waumini wanamuombea mabaya aliyeleta taarifa hizi mtandaoni.

NB: Afisa mipango miji hebu lipeleke hilo kanisa eneo maalum lililotengwa kwa ajili ya makanisa. Halafu afisa mipango miji kwanini toka uagizwe na mkurugenzi kuangalia uhalali wa shughuli zinazoendeshwa na kanisa kama ni halali na zina vibali husika wewe na afisa utamaduni hujafanya hivyo toka November mwaka jana, tukisema mchungaji Jackson kakuweka mfukoni kama anavyosema tutakuwa tunakosea?

Anyway ibada inaendelea kama kazi muziki kama wote. Mnataka wananchi wafanye nini ndio mchukue hatua.
Mpaka rais aseme!!!!
 
Walokole uchwara Tena ni wapumbafu Sana wanajifanya kila kitu wanajua , wakati mchungaji mwenyewe wa kikozi Cha Biblia Cha miezi mitatu , halafu kaishia darasa la pili .
[emoji3][emoji3]
 
Hebu malizeni fitina zenu na Huyo mchungaji ndo uje, inaonekana lipo tatizo kati yenu.
Fitna ndio zimemtuma ajenge katikati ya barabara na kupigia watu kelele wagonjwa wanaumia , watoto wanashindwa kusoma we unasema fitna ? Hebu use common sense .
 
Serikali kama haielewi, muhujum huo mradi.... Sisi tulifanya hivo tulichukua hatua mkononi
 
NB: Afisa mipango miji hebu lipeleke hilo kanisa eneo maalum lililotengwa kwa ajili ya makanisa. Halafu afisa mipango miji kwanini toka uagizwe na mkurugenzi kuangalia uhalali wa shughuli zinazoendeshwa na kanisa kama ni halali na zina vibali husika wewe na afisa utamaduni hujafanya hivyo toka November mwaka jana, tukisema mchungaji Jackson kakuweka mfukoni kama anavyosema tutakuwa tunakosea?
Naibu Waziri wa Ardhi amelizungumzia sana hili la kutozingatia maeneo kwa ajili ya nyumba za ibada na bar, lakini yaelekea hao mipango miji hawamwelewi
 
Huu utani! Hiyo barabara iko wapi!?
Angalia vizuri
IMG_20210222_132427_1.jpg
 
S
Wiki iliyopita ililipotiwa hapa jukwaani kuhusu wakazi wa Kariakoo Tabora kata ya Kitete wakilalamikia kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24

Sakata limeingia sura mpya baada mchungaji Jackson wa kanisa hilo kuonyesha jeuri na kuwaweka viongozi wote wa mkoa mfukoni, hasa afisa mipango miji na afisa utamaduni baada ya usiku wa leo kukesha usiku kucha akijenga kulimalizia kanisa hilo na nyumba ya mchungaji katikati ya barabara huku akitamba kuwa hawawezi kumfanya kitu chochote licha ya kujenga kwenye makazi ya watu, mchungaji huyu ameziba barabara kutoka shule ya msingi Westland kusini mwa shule kutoka magharibi kwenda mashariki

Kali kuliko Leo kanisani mchungaji na waumini wanamuombea mabaya aliyeleta taarifa hizi mtandaoni.

NB: Afisa mipango miji hebu lipeleke hilo kanisa eneo maalum lililotengwa kwa ajili ya makanisa. Halafu afisa mipango miji kwanini toka uagizwe na mkurugenzi kuangalia uhalali wa shughuli zinazoendeshwa na kanisa kama ni halali na zina vibali husika wewe na afisa utamaduni hujafanya hivyo toka November mwaka jana, tukisema mchungaji Jackson kakuweka mfukoni kama anavyosema tutakuwa tunakosea?

Anyway ibada inaendelea kama kazi muziki kama wote. Mnataka wananchi wafanye nini ndio mchukue hatua.
Sisi sote ni wapendwa wa mwenyezi mungu,ila kuna madhehebu hayajali usiku wala mchana kelele saa 24 viongozi wapo dheria ipo lakini hakuna kinachoendelea sijui ni RUSHWA au vipi?Hapa Masasi eneo la machinjioni hiyo hali ipo!
 
Rushwa itakuwa naona , hivi Sasa yapo haya mapumbavu yanapiga kelele kweli hata watoto hawawezi kusoma hapa itetemia shule ya msingi .
 
Huyu mchungaji na vidawa vyake vya kutoka kwa mayunga Bariadi anajiona mjanja .
 
Wiki iliyopita ililipotiwa hapa jukwaani kuhusu wakazi wa Kariakoo Tabora kata ya Kitete wakilalamikia kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24

Sakata limeingia sura mpya baada mchungaji Jackson wa kanisa hilo kuonyesha jeuri na kuwaweka viongozi wote wa mkoa mfukoni, hasa afisa mipango miji na afisa utamaduni baada ya usiku wa leo kukesha usiku kucha akijenga kulimalizia kanisa hilo na nyumba ya mchungaji katikati ya barabara huku akitamba kuwa hawawezi kumfanya kitu chochote licha ya kujenga kwenye makazi ya watu, mchungaji huyu ameziba barabara kutoka shule ya msingi Westland kusini mwa shule kutoka magharibi kwenda mashariki

Kali kuliko Leo kanisani mchungaji na waumini wanamuombea mabaya aliyeleta taarifa hizi mtandaoni.

NB: Afisa mipango miji hebu lipeleke hilo kanisa eneo maalum lililotengwa kwa ajili ya makanisa. Halafu afisa mipango miji kwanini toka uagizwe na mkurugenzi kuangalia uhalali wa shughuli zinazoendeshwa na kanisa kama ni halali na zina vibali husika wewe na afisa utamaduni hujafanya hivyo toka November mwaka jana, tukisema mchungaji Jackson kakuweka mfukoni kama anavyosema tutakuwa tunakosea?

Anyway ibada inaendelea kama kazi muziki kama wote. Mnataka wananchi wafanye nini ndio mchukue hatua.
Nilivyoposti sasa hivi yanapiga kelele ndio yameacha .
Mashtaka mpaka lini kwa mtu mpuuzi kama huyo? Mzukieni muda mzuri arambe bakora za kutosha! Tia moto banda analoita ni kanisa, basi!
 
Mbona waislamu wanapiga makelele na spika zao kila mahali katika nchi lakini hampigi kelele? Utakuwa na mapepo wewe.
 
Back
Top Bottom