Sakata la Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lajengwa usiku kucha kuwahi kulimaliza

Sakata la Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lajengwa usiku kucha kuwahi kulimaliza

Mjinga mmoja wewe ambaye natamani nikutie vibao. Shika jembe ukalime uokoe familia yako na umasikini acha kuwa obsessed na dini za kuletewa. Nakuona fala Sana kushupalia Imani za watu
We utakuwa kichaa mimi nishupalie dini za kuletewa au nyie wajinga mnaokesha mnapiga mamiziki yasiyo na kichwa wala miguu , mnasabibisha watoto washindwe kusoma na kusumbua wagonjwa , maskini ni nyie wajasilia dini mnaotegemea kuishi kwa sadaka .
 
*****! Wachawi hamtaisha hapa Tanzania
Nyie wachungaji uchwara mnaoenda kwa waganga kuchanjwa , kupewa mapepo na madawa ya kutolewa mapepo , vitambaa vyeupe na pete sio wachawi ? .N B mganga wenu wa Congo anayeotesha mti unaota siku hiyohiyo mtaenda tena .
 
Mungu wa kweli anaanza kujibu maombi ya wakazi wa Kariakoo baada ya mvua ya upepo ya Jana kusasambua na kupeperusha viturubai vya kanisa uchwara , tulieni Mungu awaonyesha nyinyi walokole uchwara mnamzihaki Mungu kwa kutumia nguvu za giza huku mkitaja jina lake .
 
Mjinga mmoja wewe ambaye natamani nikutie vibao. Shika jembe ukalime uokoe familia yako na umasikini acha kuwa obsessed na dini za kuletewa. Nakuona fala Sana kushupalia Imani za watu
mkiambiwa nyie walokole uchwara ni vichaa mnakataa , mnaona Kama mnaonewa sasa utampiga mtu makofi mtandaoni ? Kwa kosa lipi? Kuwaambia mmejenga barabarani , mnapiga muziki kwa sauti kubwa sana mnawaumiza wagonjwa na watoto wanashindwa kujisomea ? Hivi huu mkoa hauna RC ,DC ,DED , OCD , RPC , afisa mipango miji , afisa utamaduni ? Hebu kawapimeni akili hawa walokole uchwara .
 
Amejiridhisha kanisa kuwepo katikati ya barabara ?

Hivi huu sio umbea na majungu ya mji wa Tabora kweli?

Inawezekanaje kanisa lijengwe na kuwepo "katikati" ya barabara lenyewe tu kama mbwa aliyegongwa na gari na kuachwa hapo?

Huu ni uongo. Ukisema limejengwa katikati ya makazi ya watu, hapo nitakuelewa...

Hata hivyo, kanisa au msikiti ni huduma za kiroho zinazopaswa kuwa katikati ya makazi ya watu. Kanisa siyo kiwanda cha kemikali kuwa ulitenge porini mbali na watu....

Na ktk utaratibu wa mipango miji sidhani kama kuna eneo maalumu hutengwa kwa ajili ya kujengwa makanisa au misikiti yote....

Ni kwa sababu, huwezi kuyarundika makanisa au misikiti yote mahali pamoja unless uwe unayekuja na mpango huo uwe unataka kusababisha vurugu miongoni mwa waumini wa madhehebu au dini hizo. ..

Kwa kesi yenu hapo Kariakoo, mnachotakiwa kufanya ni kujaribu kudhibiti kelele kwa kuongea na uongozi wa kanisa hilo kuwakumbusha kuwa HAKI na UHURU WAO WA KUABUDU usitumike vibaya ku - violate UHURU na HAKI za wengine. Hilo ni kosa na wanastahili kuchukuliwa hatua za kisheria...

Kama furaha yao iko katika kujipigia muziki mkubwa kwa sauti ya juu, sheria inawataka kuweka "SOUND PROOF" kwenye jengo ili kuzuia sauti kupaa na kutoka nje kusumbua watu wengine...

It's simple like that. Hayo mengine mnayoandika ni fitna na chuki tu isiyo na sababu. Kasoro pekee ni "sauti ya juu ya muziki wao wanaopiga usiku kucha". Kama hili ni la kweli, basi hili ndilo tatizo la kutatuliwa. Na hii haipo Tabora tu. Tatizo hili liko maeneo karibu yote Tanzania...

Hata maspika ya waislamu waliyoyatundika juu ya misikiti yao na usiku na alfajiri kuwashwa na kuanza kupiga kelele, nalo laweza kuwa tatizo pia...!!

Kama wao wanao Uhuru na haki ya kuabudu na kusali usiku kucha, basi wakumbuke watu wengine na majirani zao nao wana hakiki ya kutopigiwa kelele za muziki ambao hauwahusu, wana haki ya kuishi ktk mazingira tulivu na yenye amani...

Asante...
 
Inawezekana uko sahihi lkn kachumvi ndio kana haribu kila kitu. Et 24hrs!! Inawezekenaje jambo hili?.
Cha msingi tuvumiliane tanzania sio nchi ya kidini ila inathamini sana dini.
 
Nashukuru kwa mchango wako mzuri kwa maana constructive , suala la majungu Tabora kama mnavyosema sijui yanafanywa na nani labda mtuambie ? Hapa ishu inajieleza wazi na kielelezo ni barua ya wakazi wa eneo husika kulalamika na ikathibitishwa na mwenyekiti wa mtaa na mtendaji wa kata , angalia barua attached kwenye uzi na posti namba 69 , angalia komenti zao kwenye kupitisha barua uone . Pili barabara unayotajwa inatoka kusini mwa shule ya Westland primary school kutoka magharibi kwenda mashariki imezibwa sasa mnaopinga mnapinga nini ? Kwanini tuandikie mate na wino upo ? Tatu kwanini watu wajenge bila kibali cha manispaa ? Kwanini watu wapige muziki mkubwa sana kama vichaa ? Taratibu za kujenga nyumba za ibada na starehe ziko wazi unaomba kubadilishwa matumizi ya kiwanja husika , unaweka na kibao kwa siku tisini ili kama kuna wanaopinga wapinge hili halikufanyika ? Vilevile kama nyumba ya ibada itaruhusiwa kujengwa kwenye makazi ya watu kibali chake kina maelekezo (description)yake ikiwemo kupiga muziki na mahubiri kwa volume isiozidi 20 , vilevile inamwisho muda maalum wa kusimamisha hizo ibada sio masaa ishirini na nne au zaidi ya saa sita usiku . Mita mia toka hapo wanapoita kanisa upande wa kusini mashariki kuna Itetemia shule ya msingi , mita mia toka hapo upande wa magharibi kuna Westland primary school hebu fikiria watoto watasomaje ? Watapumzikaje ? Hamna mtu anayekataa wasisali lakini kama hawawezi kupunguza sauti wafuate ushauri wako wafunge sound proof ?wajipigie muziki humo wenyewe ?, sasa kanisa lenyewe liko maturubai matupu sound proof itafanya kazi ? Wajiheshimu , watumie akili , hakuna asie mjua Mungu wana haki ya kusali lakini na majirani wana haki ya utulivu , amani na watoto kujisomea na wagonjwa kupumzika . Jirani na eneo hilo kuna makanisa matatu kwanini hayasemwi hayo ? Kabla ya kuja Kariakoo walikuwa Cheyo Mwanga Shop wakafukuzwa kwa sababu hiihii huoni kama hawa wana matatizo ? Kwa kifupi , Asante .
 
Wau wa Tabora kwa Tanzania wanashika nafasi ya kwanza kwa wivu majungu na husda kitaifa wakifuatiwa nafasi ya pili kitaifa na watu wa mkoa wa Kigoma
Hayo majungu ni kati ya nani na nani ? Uhuru wa nchi hii umepatikania Tabora , mchango mkubwa ni wa Wana Tabora , kura tatu 1958 ni Tabora , ok nyie msiokuwa na majungu mlichangia nini ? Majungu majungu ukiambiwa uyataje utataja ? Use rational procedure to generate high degree of knowledge or truth , acha kukurupuka na kufuata mkumbo think before you write .
 
Unatumia IDs nyingine kuji support Majungu yako. Nyie Wanyamwezi hamwendelei sababu ya majungu ,wivu na chuki
Kwa akili yako umeshindwa kujadili hoja , unajadili ID , kwahiyo ID ndio zinaondoa hoja zilizoko jukwaani ? Ujinga unaofanywa na majitu mazima kupiga muziki mkubwa sana kama vichaa , kujenga barabarani ? Kama wewe ndio huyo mchungaji uchwara tumia akili acha ujinga , Kama wewe ndio msukule wake ( dogmas ) jikomboe , read between lines .
 
Yaani watu wanasapoti uvunjifu wa sheria na taratibu waziwazi huku wakiwa na weak reasons .

Sasa hapa kwenye hii mada kitu gani hakieleki , katiba inatoa haki watu kuishi kwa amani na utulivu , Kuna shule , Kuna wagonjwa , watu wanataka kupumzika , eti watu wanyamaze tu wapigiwe muziki kisa eti kuna watu wanaabudu.

Mungu hayuko hivyo huyo anayetaka masauti makubwa hivyo huyo atakuwa ni ibilisi , hilo sio hapo kariakoo tu Tanzania nzima kuna wengine kama hao kazi kukera wenzao kwa kisingizio cha ibada.

Sheria zifuate mkondo bika kuangalia mtu dhehebu , rangi bila hivyo sheria hazina maana yoyote ile .
 
Kwa akili yako umeshindwa kujadili hoja , unajadili ID , kwahiyo ID ndio zinaondoa hoja zilizoko jukwaani ? Ujinga unaofanywa na majitu mazima kupiga muziki mkubwa sana kama vichaa , kujenga barabarani ? Kama wewe ndio huyo mchungaji uchwara tumia akili acha ujinga , Kama wewe ndio msukule wake ( dogmas ) jikomboe , read between lines .

Unatumia IDs nyingine kuji support Majungu yako. Nyie Wanyamwezi hamwendelei sababu ya majungu ,wivu na chuki
 
Beef tayari [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Ova
 
Walokole utawajua tu humu. Hakuna watu wasumbufu kama hao walokole. Mbezi beach Rafia kuna moja kila jioni ni mikelele aisee makazi ya watu. Wanakera sana. Fungeni sound proof. Bora vya waislam ni adhana ya dk chache kisha inavumilika. Huwezi kukuta huu ujinga Lutheran churches n.k
 
Back
Top Bottom