King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,041
- 1,349
- Thread starter
-
- #101
We utakuwa kichaa mimi nishupalie dini za kuletewa au nyie wajinga mnaokesha mnapiga mamiziki yasiyo na kichwa wala miguu , mnasabibisha watoto washindwe kusoma na kusumbua wagonjwa , maskini ni nyie wajasilia dini mnaotegemea kuishi kwa sadaka .Mjinga mmoja wewe ambaye natamani nikutie vibao. Shika jembe ukalime uokoe familia yako na umasikini acha kuwa obsessed na dini za kuletewa. Nakuona fala Sana kushupalia Imani za watu
Nyie wachungaji uchwara mnaoenda kwa waganga kuchanjwa , kupewa mapepo na madawa ya kutolewa mapepo , vitambaa vyeupe na pete sio wachawi ? .N B mganga wenu wa Congo anayeotesha mti unaota siku hiyohiyo mtaenda tena .*****! Wachawi hamtaisha hapa Tanzania
mkiambiwa nyie walokole uchwara ni vichaa mnakataa , mnaona Kama mnaonewa sasa utampiga mtu makofi mtandaoni ? Kwa kosa lipi? Kuwaambia mmejenga barabarani , mnapiga muziki kwa sauti kubwa sana mnawaumiza wagonjwa na watoto wanashindwa kujisomea ? Hivi huu mkoa hauna RC ,DC ,DED , OCD , RPC , afisa mipango miji , afisa utamaduni ? Hebu kawapimeni akili hawa walokole uchwara .Mjinga mmoja wewe ambaye natamani nikutie vibao. Shika jembe ukalime uokoe familia yako na umasikini acha kuwa obsessed na dini za kuletewa. Nakuona fala Sana kushupalia Imani za watu
Amejiridhisha kanisa kuwepo katikati ya barabara ?
Unatumia ID zako zote mbili kujisupport FITNA NA MAJUNGU YENU WATU WA TABORA.Fitna ndio zimemtuma ajenge katikati ya barabara na kupigia watu kelele wagonjwa wanaumia , watoto wanashindwa kusoma we unasema fitna ? Hebu use common sense .
Nyie watu wa Tabora ni watu wa Majungu,wivu na husda. Rais alisema hili.mjibu jamaa hoja yake.Unatumia nini kufikiri ? Masaburi ?
Wau wa Tabora kwa Tanzania wanashika nafasi ya kwanza kwa wivu majungu na husda kitaifa wakifuatiwa nafasi ya pili kitaifa na watu wa mkoa wa KigomaNyie watu wa Tabora ni watu wa Majungu,wivu na husda.
Nashukuru kwa mchango wako mzuri kwa maana constructive , suala la majungu Tabora kama mnavyosema sijui yanafanywa na nani labda mtuambie ? Hapa ishu inajieleza wazi na kielelezo ni barua ya wakazi wa eneo husika kulalamika na ikathibitishwa na mwenyekiti wa mtaa na mtendaji wa kata , angalia barua attached kwenye uzi na posti namba 69 , angalia komenti zao kwenye kupitisha barua uone . Pili barabara unayotajwa inatoka kusini mwa shule ya Westland primary school kutoka magharibi kwenda mashariki imezibwa sasa mnaopinga mnapinga nini ? Kwanini tuandikie mate na wino upo ? Tatu kwanini watu wajenge bila kibali cha manispaa ? Kwanini watu wapige muziki mkubwa sana kama vichaa ? Taratibu za kujenga nyumba za ibada na starehe ziko wazi unaomba kubadilishwa matumizi ya kiwanja husika , unaweka na kibao kwa siku tisini ili kama kuna wanaopinga wapinge hili halikufanyika ? Vilevile kama nyumba ya ibada itaruhusiwa kujengwa kwenye makazi ya watu kibali chake kina maelekezo (description)yake ikiwemo kupiga muziki na mahubiri kwa volume isiozidi 20 , vilevile inamwisho muda maalum wa kusimamisha hizo ibada sio masaa ishirini na nne au zaidi ya saa sita usiku . Mita mia toka hapo wanapoita kanisa upande wa kusini mashariki kuna Itetemia shule ya msingi , mita mia toka hapo upande wa magharibi kuna Westland primary school hebu fikiria watoto watasomaje ? Watapumzikaje ? Hamna mtu anayekataa wasisali lakini kama hawawezi kupunguza sauti wafuate ushauri wako wafunge sound proof ?wajipigie muziki humo wenyewe ?, sasa kanisa lenyewe liko maturubai matupu sound proof itafanya kazi ? Wajiheshimu , watumie akili , hakuna asie mjua Mungu wana haki ya kusali lakini na majirani wana haki ya utulivu , amani na watoto kujisomea na wagonjwa kupumzika . Jirani na eneo hilo kuna makanisa matatu kwanini hayasemwi hayo ? Kabla ya kuja Kariakoo walikuwa Cheyo Mwanga Shop wakafukuzwa kwa sababu hiihii huoni kama hawa wana matatizo ? Kwa kifupi , Asante .Hivi huu sio umbea na majungu ya mji wa Tabora kweli?
Inawezekanaje kanisa lijengwe na kuwepo "katikati" ya barabara lenyewe tu kama mbwa aliyegongwa na gari na kuachwa hapo?
Huu ni uongo. Ukisema limejengwa katikati ya makazi ya watu, hapo nitakuelewa...
Hata hivyo, kanisa au msikiti ni huduma za kiroho zinazopaswa kuwa katikati ya makazi ya watu. Kanisa siyo kiwanda cha kemikali kuwa ulitenge porini mbali na watu....
Na ktk utaratibu wa mipango miji sidhani kama kuna eneo maalumu hutengwa kwa ajili ya kujengwa makanisa au misikiti yote....
Ni kwa sababu, huwezi kuyarundika makanisa au misikiti yote mahali pamoja unless uwe unayekuja na mpango huo uwe unataka kusababisha vurugu miongoni mwa waumini wa madhehebu au dini hizo. ..
Kwa kesi yenu hapo Kariakoo, mnachotakiwa kufanya ni kujaribu kudhibiti kelele kwa kuongea na uongozi wa kanisa hilo kuwakumbusha kuwa HAKI na UHURU WAO WA KUABUDU usitumike vibaya ku - violate UHURU na HAKI za wengine. Hilo ni kosa na wanastahili kuchukuliwa hatua za kisheria...
Kama furaha yao iko katika kujipigia muziki mkubwa kwa sauti ya juu, sheria inawataka kuweka "SOUND PROOF" kwenye jengo ili kuzuia sauti kupaa na kutoka nje kusumbua watu wengine...
It's simple like that. Hayo mengine mnayoandika ni fitna na chuki tu isiyo na sababu. Kasoro pekee ni "sauti ya juu ya muziki wao wanaopiga usiku kucha". Kama hili ni la kweli, basi hili ndilo tatizo la kutatuliwa. Na hii haipo Tabora tu. Tatizo hili liko maeneo karibu yote Tanzania...
Hata maspika ya waislamu waliyoyatundika juu ya misikiti yao na usiku na alfajiri kuwashwa na kuanza kupiga kelele, nalo laweza kuwa tatizo pia...!!
Kama wao wanao Uhuru na haki ya kuabudu na kusali usiku kucha, basi wakumbuke watu wengine na majirani zao nao wana hakiki ya kutopigiwa kelele za muziki ambao hauwahusu, wana haki ya kuishi ktk mazingira tulivu na yenye amani...
Asante...
Hayo majungu ni kati ya nani na nani ? Uhuru wa nchi hii umepatikania Tabora , mchango mkubwa ni wa Wana Tabora , kura tatu 1958 ni Tabora , ok nyie msiokuwa na majungu mlichangia nini ? Majungu majungu ukiambiwa uyataje utataja ? Use rational procedure to generate high degree of knowledge or truth , acha kukurupuka na kufuata mkumbo think before you write .Wau wa Tabora kwa Tanzania wanashika nafasi ya kwanza kwa wivu majungu na husda kitaifa wakifuatiwa nafasi ya pili kitaifa na watu wa mkoa wa Kigoma
Kumjibu chizi ni kupoteza muda bure congratulations gifted fool.Nyie watu wa Tabora ni watu wa Majungu,wivu na husda. Rais alisema hili.mjibu jamaa hoja yake.
Ramli zinapigwa mpaka mtandaoni ? You are very advanced .Unatumia ID zako zote mbili kujisupport FITNA NA MAJUNGU YENU WATU WA TABORA.
Unatumia IDs nyingine kuji support Majungu yako. Nyie Wanyamwezi hamwendelei sababu ya majungu ,wivu na chukiRamli zinapigwa mpaka mtandaoni ? You are very advanced .
Kwa akili yako umeshindwa kujadili hoja , unajadili ID , kwahiyo ID ndio zinaondoa hoja zilizoko jukwaani ? Ujinga unaofanywa na majitu mazima kupiga muziki mkubwa sana kama vichaa , kujenga barabarani ? Kama wewe ndio huyo mchungaji uchwara tumia akili acha ujinga , Kama wewe ndio msukule wake ( dogmas ) jikomboe , read between lines .Unatumia IDs nyingine kuji support Majungu yako. Nyie Wanyamwezi hamwendelei sababu ya majungu ,wivu na chuki
Kwa akili yako umeshindwa kujadili hoja , unajadili ID , kwahiyo ID ndio zinaondoa hoja zilizoko jukwaani ? Ujinga unaofanywa na majitu mazima kupiga muziki mkubwa sana kama vichaa , kujenga barabarani ? Kama wewe ndio huyo mchungaji uchwara tumia akili acha ujinga , Kama wewe ndio msukule wake ( dogmas ) jikomboe , read between lines .
Kumbe una chuki binafsi na walokole eeeh?Mkuu nashukuru kwa majibu yako naona yamemtosha , usikute huyu anayejibu hivyo ni mlokole .