Sakata la Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lajengwa usiku kucha kuwahi kulimaliza

Njoo Nyegezi Mwanza chini ya Kamanga hospital uone jinsi hao Lutheran unaowasifu wanavyopiga mziki wa juu kuanzia saa kiumi alfajiri hadi asubuhi mpaka sisi wakazi wa eneo hili tunapata shida kweli kweli.
 
Wakuu nipende kuwashukuru wote waliochangia kwa Nia njema , mwenyezi Mungu na uongozi wa mkoa na manispaa ya Tabora kwa kuchukua hatua , Mungu awabariki sana . Vilevile kuwaonya wachache waliokuwa wakitukana , kubeza , kubisha Mungu awasamehe hatua zimechukuliwa hizi hapa .
 
Njoo Nyegezi Mwanza chini ya Kamanga hospital uone jinsi hao Lutheran unaowasifu wanavyopiga mziki wa juu kuanzia saa kiumi alfajiri hadi asubuhi mpaka sisi wakazi wa eneo hili tunapata shida kweli kweli.
Ila kweli siku hizi baadhi ya sharika zimeanza kuwa na huo uduanzi.
 
[emoji106][emoji106]
 
Mchungaji tumia akili acha kutuma misukule yako kubandua matangazo ya notisi ya kusimamisha ujenzi na shughuli za kanisa , atayebandua tu tunampigia mayowe ya mwizi , we endelea tu umetuma wawili wamefeli .
 
kweli !? Mbona vilabu vya pombe hamvipigii kelele !?Tabora nimekaa hapo baadhi yenu mambo ya majungu huwa ndo kipaumbele chenu
Huna lolote kilabu gani ? Jina tu la ID yako linasadifu kuwa wewe ni miongoni mwa walokole uchwara .
 
Nilivyosikia barabara nikaenda fasta kwenye picha.....
Hujaelewa uzi au mada ,tumia akili kuelewa . Picha zipo , barua ipo , maelezo yapo nini huelewewi utakuwa ndio miongoni mwa haohao walokole uchwara , haya notisi iko mlangoni kwenu kwenye maturubai yenu mnayodai Ni kanisa .
 
sawasawa hujakosea mganga ..wakiomba unaungua moto
Mungu hasikilizi maombi ya vichaa , msumbue wagonjwa ,wazee , watoto , wananchi kwa kero zenu Mungu awasikie ? Labda mungu wenu wa bariadi , maana hata mtaji wa kwenda Nigeria huna .
 
Kumbe wewe hujielewi kabisa, kwa taarifa yako wachungaji wengi wana-hold degree ya theology unadhani wameipata kilofa lofa?

Kagonoke huko
 
Mungu hasikilizi maombi ya vichaa , msumbue wagonjwa ,wazee , watoto , wananchi kwa kero zenu Mungu awasikie ? Labda mungu wenu wa bariadi , maana hata mtaji wa kwenda Nigeria huna .
Kaeni na huyo Mch muyaeke vzr, mbn kanisa lenyewe ni la muda tuu, mbn kesi ni rahisi tuu
 
Ustaarabu wao ni nini?
Kuvaa suruali zisizofika chini? Au kutumia kiarabu kama lugha ya Mungu wao?

Adhana ni kero kubwa tu maana inasomwa zaidi ya dk 5-10 tena kwa lugha ya ajabu sana isiyoeleweka.

Hakuna walokole wanapiga mziki saa 10 usiku
 
Kwenye picha naona kanisa liko karibu na barabara siyo ndani ya barabara! Ama nakosea???
 
Kumbe wewe hujielewi kabisa, kwa taarifa yako wachungaji wengi wana-hold degree ya theology unadhani wameipata kilofa lofa?

Kagonoke huko
Uwe na degree halafu uwe na IQ ya 0.00000001 is it possible ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…