Sakata la Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lajengwa usiku kucha kuwahi kulimaliza

Sakata la Kanisa lililoripotiwa kupiga muziki saa 24 na kujengwa kuziba barabara Tabora lajengwa usiku kucha kuwahi kulimaliza

Kumbe una chuki binafsi na walokole eeeh?
Acha upunguwani
Upunguani ? haya majibu haya hapa nenda kanisani kwenu mlangoni ukaangalie Pimbi mkubwa .
IMG_20210226_124256_1.jpg
IMG_20210226_124259_0.jpg
 
Walokole utawajua tu humu. Hakuna watu wangese kama hao walokole. Mbezi beach Rafia kuna moja kila jioni ni mikelele aisee makazi ya watu. Wanakera sana. Fungeni sound proof. Bora vya waislam ni adhana ya dk chache kisha inavumilika. Huwezi kukuta huu ujinga Lutheran churches n.k
Njoo Nyegezi Mwanza chini ya Kamanga hospital uone jinsi hao Lutheran unaowasifu wanavyopiga mziki wa juu kuanzia saa kiumi alfajiri hadi asubuhi mpaka sisi wakazi wa eneo hili tunapata shida kweli kweli.
 
Wakuu nipende kuwashukuru wote waliochangia kwa Nia njema , mwenyezi Mungu na uongozi wa mkoa na manispaa ya Tabora kwa kuchukua hatua , Mungu awabariki sana . Vilevile kuwaonya wachache waliokuwa wakitukana , kubeza , kubisha Mungu awasamehe hatua zimechukuliwa hizi hapa .
IMG_20210226_124256_1.jpg
IMG_20210226_124259_0.jpg
 
Njoo Nyegezi Mwanza chini ya Kamanga hospital uone jinsi hao Lutheran unaowasifu wanavyopiga mziki wa juu kuanzia saa kiumi alfajiri hadi asubuhi mpaka sisi wakazi wa eneo hili tunapata shida kweli kweli.
Ila kweli siku hizi baadhi ya sharika zimeanza kuwa na huo uduanzi.
 
Yaani watu wanasapoti uvunjifu wa sheria na taratibu waziwazi huku wakiwa na weak reasons .

Sasa hapa kwenye hii mada kitu gani hakieleki , katiba inatoa haki watu kuishi kwa amani na utulivu , Kuna shule , Kuna wagonjwa , watu wanataka kupumzika , eti watu wanyamaze tu wapigiwe muziki kisa eti kuna watu wanaabudu.

Mungu hayuko hivyo huyo anayetaka masauti makubwa hivyo huyo atakuwa ni ibilisi , hilo sio hapo kariakoo tu Tanzania nzima kuna wengine kama hao kazi kukera wenzao kwa kisingizio cha ibada.

Sheria zifuate mkondo bika kuangalia mtu dhehebu , rangi bila hivyo sheria hazina maana yoyote ile .
[emoji106][emoji106]
 
Mchungaji tumia akili acha kutuma misukule yako kubandua matangazo ya notisi ya kusimamisha ujenzi na shughuli za kanisa , atayebandua tu tunampigia mayowe ya mwizi , we endelea tu umetuma wawili wamefeli .
 
kweli !? Mbona vilabu vya pombe hamvipigii kelele !?Tabora nimekaa hapo baadhi yenu mambo ya majungu huwa ndo kipaumbele chenu
Huna lolote kilabu gani ? Jina tu la ID yako linasadifu kuwa wewe ni miongoni mwa walokole uchwara .
 
Nilivyosikia barabara nikaenda fasta kwenye picha.....
Hujaelewa uzi au mada ,tumia akili kuelewa . Picha zipo , barua ipo , maelezo yapo nini huelewewi utakuwa ndio miongoni mwa haohao walokole uchwara , haya notisi iko mlangoni kwenu kwenye maturubai yenu mnayodai Ni kanisa .
 
sawasawa hujakosea mganga ..wakiomba unaungua moto
Mungu hasikilizi maombi ya vichaa , msumbue wagonjwa ,wazee , watoto , wananchi kwa kero zenu Mungu awasikie ? Labda mungu wenu wa bariadi , maana hata mtaji wa kwenda Nigeria huna .
 
Kweli mkuu ? Yaani mleta mada amuonee wivu ,gubu mchungaji aliyeishia darasa la pili? Ili awe kama yeye ? Yaani amuonee wivu ,gubu mjasilia dini ? Amuonee wivu ,gubu mchungaji ambaye Hana hata baiskeli ? Yaani amuonee wivu gubu mchungaji anayeishi Hana kazi yoyote zaidi ya kujasilia sadaka ? Simple logic but very meaningful .
Kumbe wewe hujielewi kabisa, kwa taarifa yako wachungaji wengi wana-hold degree ya theology unadhani wameipata kilofa lofa?

Kagonoke huko
 
Mungu hasikilizi maombi ya vichaa , msumbue wagonjwa ,wazee , watoto , wananchi kwa kero zenu Mungu awasikie ? Labda mungu wenu wa bariadi , maana hata mtaji wa kwenda Nigeria huna .
Kaeni na huyo Mch muyaeke vzr, mbn kanisa lenyewe ni la muda tuu, mbn kesi ni rahisi tuu
 
Wewe acha ujinga hao ni wastaarabu sana wapiga adhana , wakimaliza wanazima spika zao wanaswali wenyewe ndani kwa ndani tofauti na walokole uchwara mnapigia watu kelele si msali wenyewe humo ndani au mungu wenu hasikii mpaka mpige muziki mkubwa sana kama wehu .
Ustaarabu wao ni nini?
Kuvaa suruali zisizofika chini? Au kutumia kiarabu kama lugha ya Mungu wao?

Adhana ni kero kubwa tu maana inasomwa zaidi ya dk 5-10 tena kwa lugha ya ajabu sana isiyoeleweka.

Hakuna walokole wanapiga mziki saa 10 usiku
 
Kwenye picha naona kanisa liko karibu na barabara siyo ndani ya barabara! Ama nakosea???
 
Back
Top Bottom