Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

Sakata la Kashfa ya Richmond: The Facts

Muziki mkubwa huu mkuu, big up ila inahitaji muda kuudadavua halafu sikilizia feedback zake.
 
Safi sana kazi nzuri.. Lazima hii itakuwa ni production ya .............
 
Dah, Mkuu Enigma tunashukuru kwa muziki..........ngoja niusikilize sasa ili nijue kama ni Rhumba, merengwe, Chacha, Salsa, Soca, Calypso....duuh maana nyuzi hizi usipoangalia waweza kosea stepu
 
Kweli watanzania kazi tunayo.

Hivi jamani, ever wondered kwa nini serikali haitaki hii mikataba iwe public?

Now I know, hata kama ungekuwa wewe, if you expose such kind of contracts we can longer blame the Attorney General and his staff, NOW WE SHOULD WITH HONESTY AND OPENNESS START QUESTIONING THE ABILITY AND PATRIOTISM OF THE APPOINTING AUTHORITIES!

Does it mean that these wanasheria are not accountable to anybody? If they do, to whom are they accountable to?

I dont want to speculate but as nation we are in a major crisis and the impact of todays decisions will live with us for the next 100 years to come.

fellow compatriots we better start asking some hard questions. Difficult as it may seem- We should.
 
Yaaani naendelea kusikiliza muziki...........yaaanini mtamu kweli kweli

Kumbe wanasheria VICHWA TUNAO bwana!!!!.........mbona tunazenguliwa zenguliwa kila mara na akina Mwanyika na Chenge............duuhh mziki mtamu kweli kweli ngoja niendelee kuusikiliza
 
Sasa sijui yule Sweden atakapokuja itakuwaje...

................mi nakwambia hawa sijui ma-consultant sijui nini toka huko kwao...we need not spend money kuwa-acquire them unless waje on their own interests kwa gharama zao.........

Tunahitaji good organisation yenye vision na tuwatumie wataalamu wetu kufanikisha malengo kwa faida ya wananchi

.....tuendelee kuusikiliza mziki
 
Ndio nimemaliza na sasa nimejikuta niko "speechless" na mimi kuishiwa maneno ni nadra sana. I need to take a vacation sasa.. this is too much. Nadhani ikipatikana hiyo ya EPA inabidi tumpigie saluti Tai sasa.
 
Haya ndio mambo yalivyo hivyo tena jamani...

Tulishasema kwenye threads nyingine na ninaomba kusema tena hapa,
"Mnyonge mnyongen, haki yake mpeni".....

Mwenye macho na aone na wenye masikio tutaendelea kusikia.....
 
Nadhani hii ripoti isingetolewa kabisa maana sidhani kama ilitakiwa ionekane kwenye macho ya viumbe kama sisi..
 
Kwa wale wanaodhani kwamba waTanzania ndivyo tulivyo, mbona hatuangalii ripoti kama hizi ambazo zimefanywa na watu kama sisi, waTanzania? Kuna zile kama za REDET, tatizo ni kwenye wakati..... Iliandikwa kwamba kuna "Majira na Nyakati"....

Enigma, that is one hell of a CD mtu wangu.... I believe in the next few months (kama sio siku) tutapata miziki mingi manake upepo unavyoendelea inaonyesha kuna mengi yataendelea kujitokeza....

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu tubariki waTanzania.

Ni swala la wakati........
 
Ndio nimemaliza na sasa nimejikuta niko "speechless" na mimi kuishiwa maneno ni nadra sana. I need to take a vacation sasa.. this is too much. Nadhani ikipatikana hiyo ya EPA inabidi tumpigie saluti Tai sasa.


Mkuu, me too, hapa inabidi ufanye something else kwanza...hakuna mechi leo mkuu ya soka la mikono?
 
Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, akizungumza baada ya kuuna muswada wa sheria ya umeme, alisema kuwa anatamani kufa ili sheria hiyo itakapopitishwa asiwepo. Wakati nilipomsikia akisema hivyo, pamoja na kuwa na mimi niliuona ule muswada,naamini kuwa sikumwelewa sawasawa.
Baada ya kusikiliza CD hii, sasa nimeelewa alimaanisha nini alipotamani kufa. nadhani hata mimi nimeshafariki dunia, kinachoendelea kuishi ni kivuli changu tu!
 
Ule utabiri wa ndugu yetu mwanakijiji sasa maandiko karibu yatatimia, kila ishara inaonekana na wale ambao hawataki kumrudia Mungu wao wa haki sasa wasubiri garika. Hasira ya Mungu itakuwa juu yao hapatakuwa na nafasi ya kutubu, hivyo ni bora wakajitoa sasa ktk hilo kundi la ufisadi na kutubu mbele ya watanzania,wakumbuke kuwa mtu anapotubu upata msamaha sasa kama wanafikiri hawaonekani, basi wasubiri garika.
 
Msiwe na wasiwasi, hata ya EPA imeonekana na kwa kadiri wanavyosua sua ndivyo wanavyotufanya tupatwe na majaribu ya kuiweka hadharani kabla ya hiyo miezi yao sita kuisha.
 
Haya yaliandaliwa na watanzania kweli ama mimi sijaelewa ama sikusoma vyema? Yanatokea Tanzania ama Uganda na Rwanda ambako wana vita kila kukicha? Au mnataka kumuonea JK wivu jamani. Ni kweli ama ni kweli?

Haya wa kusema JK asinyooshewe kidole ni Rais wa Nchi na anafanya Mema wako wapi kwenye hili?
 
Mtu yeyote anayekuthamini hawezi kukufanyia au kukubali kuingia mkataba wa namna hii. Nimekuja na conclusion moja tu. Watanzania tunadharaulika saaana.Viongozi wetu wanatudharau saana, kwani wanajua, tu-wajinga kweli kweli. Na hii nikwa sababu tumekuwa tuking'ang'ania kukichagua chama cha CCM ambao viongozi wake ndo wanaotufanyia huu uovu. Maana ya kuendelea kuwachagua na kuwashangilia, ina maana moja tu, kuwa tunakubaliana na upumbavu wanaotufanyia. Yaani hata baada ya kuonyeshwa kuwa RDL ni ma-"TAPELI", kamati eti ya Ufundi na Viongozi wetu wakaona kwa kuwa pesa ni za wajinga ngoja ziliwe tu.
Hapa sio Lowassa tu ila na hiyo kamati ya ufundi wanatakiwa wachukuliwe hatua kali.
 
Back
Top Bottom