Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #21
tuta...Shida ya Mohamed Said ni kuamini ukweli ni kile ajuacho yeye kwa kisingizio cha kwamba amefanya tafiti. Umekwepa kabisa kusimulia kile kilichotokea wakati wa mauaji. Bahati mbaya kwako, jaji aliyewahukumu ni Mwislamu, na pia Chiku naye alikuwa mtu wa dini yako.
Mkorea,99% ya mabandiko yako ni Uislam na waislame wake
It's okey sio Jambo baya, Ila uwasilishaji wa matukio ni uenezaji wa chuki
Kama muandishi na mtafiti umejaribu kufikiria unachokipanda mioyoni mwa waisalm wenzako?
Kama lengo lako ni Hilo 99% unafaniwia[emoji120]
Peni yako inawaandika waislam tu, Mkuu umekua mdini Sana kuliko uhalisia,
Udini unafanya uonekane mpuuzi
Acha kuchochea chuki za kidini kwenye maswala ambayo hayahusiani na dini au ukataka kusema Rais wa awamu ya nne kipindi watuhumiwa wanakamatwa na Rais wa awamu ya sita kipindi ambacho hukumu ya kunyongwa inatolewa wanachuki dhidi ya waislam?Fundi....
Kuwa na subira yapo mengi nitaeleza hapa.
Much...Acha kuchochea chuki za kidini kwenye maswala ambayo hayahusiani na dini au ukataka kusema Rais wa awamu ya nne kipindi watuhumiwa wanakamatwa na Rais wa awamu ya sita kipindi ambacho hukumu ya kunyongwa inatolewa wanachuki dhidi ya waislam?
Kwanini umeihusisha na dini?Much...
Hakuna nilichoandika kibaya hii ni historia ya yaliyotokea.
Siwezi kuandika uchochezi.
Na anayefund vikundi vya kijeshi vinavyopigana yemen against vikundi vya saudia ni jamhuri ya kiislamu ya watu wa Iran😂Walishikwa ugaidi mwaka 2013 raisi alikuwa Kikwete - Muislamu, wamehukumiwa kunyongwa mwaka 2023 raisi wa sasa ni Samia- Muislamu, hivyo ni Waislamu wamehukumiwa kipindi cha Maraisi Waislamu pia.
Anayebomb kubomoa na kutesa Waislamu na nchi Kiislamu Yemeni ni Saudi Arabia, anaye fund Al Shabaab Somalia na kuharibu na kutesa Waislamu Somalia ni Saudi Arabi pia, anzieni hapo kwanza, …
Wewe ni NGURUWEMuch...
Hakuna nilichoandika kibaya hii ni historia ya kweli ya yaliyotokea.
Siwezi kuandika uchochezi.
Nashangaa hujashtushwa na kuwa kulikuwapo na silaha za kutungua ndege.
Jambo hili halikuwa kweli.
Huu ndiyo uchochezi.
Mama...Wewe ni NGURUWE
Wewe ni mbilikimo wa akili pia.Mama...
Nimependezewa sana na hili tusi kuwa mimi ni nguruwe.
Kwa nini mtu anatukana?
Mtu anatukana pale anapoghadhibika na kuwa hana zaidi la kufanya kuondoa ghadhabu zake ila kutoa matusi.
Nini kilichokuudhi wewe?
Umaghadhibika kwa kuwa hutaki kusikia historia ya Waislam.
Hii si mara yangu ya kwanza kutukanwa.
Mara ya kwanza kutukanwa ilikuwa mwaka wa 1988 baada ya jarida maarufu Africa Events lililokuiwa linachapwa London kuchapa makala yangu, ''In Praise of Ancestors.''
Siku zote historia ya TANU na kudai uhuru wa Tanganyika ilikuwa inaanza na Mwalimu Nyerere.
Katika makala ile niliandika kuwa historia ya uhuru imewasahau waasisi wa TANU mfano wa Abdul Sykes na ndugu yake Ally Sykes, Saadan Abdul Kandoro, John Rupia nk.
Makala ikaeleza pia mchango wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) ulioundwa mwaka wa 1933 baada ya kuundwa kwa African Association 1929.
Dr. Mayanja Kiwanuku kutoka CCM Dodoma Idara ya Uhamasishaji Umma akajibu makala yangu kwa jibu kali sana.
Alighadhibishwa na kuona nimeiunganisha historia ya TANU na Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na nimetaja mchango wa Waislam.
Majibu yake kwangu yalijaa kejeli na vitisho na mwisho akanitukana kwa kuniita, ''Mbilikimo.''
Nikawa nimefahamu kuwa kilichomghadhibisa ni ile historia ya Waislam katika siasa za Tanganyika.
Hili linawachoma watu wengi sana na limewapendeza wengi pia.
Ningeweza kutoa taarifa kwa Adm kuwa umeniita nguruwe na ukapigwa ban.
Mimi sitaki hili.
Nataka ubakie hapa usome niandikayo.
Mzee ukweli ni kwamba udini umekujaa sana tena sana na haufai kuwa Kiongozi mkubwa utagawa Wananchi Historia ya Uhuru wa Nchi hii imechangiwa na Watu wenye dini na wasio na dini na unafahamu vyema madhara ya hiki unachokifanya kwa vizazi vijavyo na wewe pia una Watoto angalia kizazi chako usikitie najisi.yale ya Kibiti na Rufiji haukuwahi kuandikia makala na hautakaa uandike kwasababu inawatia doa baya waislamu wenzako.Mama...
Nimependezewa sana na hili tusi kuwa mimi ni nguruwe.
Kwa nini mtu anatukana?
Mtu anatukana pale anapoghadhibika na kuwa hana zaidi la kufanya kuondoa ghadhabu zake ila kutoa matusi.
Nini kilichokuudhi wewe?
Umaghadhibika kwa kuwa hutaki kusikia historia ya Waislam.
Hii si mara yangu ya kwanza kutukanwa.
Mara ya kwanza kutukanwa ilikuwa mwaka wa 1988 baada ya jarida maarufu Africa Events lililokuiwa linachapwa London kuchapa makala yangu, ''In Praise of Ancestors.''
Siku zote historia ya TANU na kudai uhuru wa Tanganyika ilikuwa inaanza na Mwalimu Nyerere.
Katika makala ile niliandika kuwa historia ya uhuru imewasahau waasisi wa TANU mfano wa Abdul Sykes na ndugu yake Ally Sykes, Saadan Abdul Kandoro, John Rupia nk.
Makala ikaeleza pia mchango wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) ulioundwa mwaka wa 1933 baada ya kuundwa kwa African Association 1929.
Dr. Mayanja Kiwanuku kutoka CCM Dodoma Idara ya Uhamasishaji Umma akajibu makala yangu kwa jibu kali sana.
Alighadhibishwa na kuona nimeiunganisha historia ya TANU na Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na nimetaja mchango wa Waislam.
Majibu yake kwangu yalijaa kejeli na vitisho na mwisho akanitukana kwa kuniita, ''Mbilikimo.''
Nikawa nimefahamu kuwa kilichomghadhibisa ni ile historia ya Waislam katika siasa za Tanganyika.
Hili linawachoma watu wengi sana na limewapendeza wengi pia.
Ningeweza kutoa taarifa kwa Adm kuwa umeniita nguruwe na ukapigwa ban.
Mimi sitaki hili.
Nataka ubakie hapa usome niandikayo.
Mama...Wewe ni mbilikimo wa akili pia.
Kawele,
Katika kila msikiti lazima utakuta barza ya kahawa.
Baada ya sala watu hukaa khasa Maghrib wakisubiri sala ya Isha.
Katika barza hizi ndipo ziliposikika habari kuwa Handeni kuna operesheni Waislam wanakamatwa katika vizuizi na kushushwa kwenye mabasi.
Yakasikika maneno mengi na siku moja nikajiwa na kijana mmoja nyumbani kwangu simjui wala sijapata kumuona maishani kwangu.
Akaniambia kuwa katumwa na Waislam aje kwangu anieleze yanayotokea Handeni na mimi niandike makala dunia ifahamu.
Niliyosikia sikuwezi kuamini kama kweli ni kweli kama nilivyoelzwa.
Huyu kijana alikataa kunipa jina lake na alikataa kupigwa picha.
Mimi nikampa jina la kupanga, ''Deep Throat.''
Ingia Google mtafute Deep Throat.
NIkamfahamisha kuwa nimekusudia kwenda Handeni nikashuhudie mwenyewe.
Akanionya akasema nithithubutu kwani nitakamatwa.
Picha niliyojenga kutoka kwa Deep Throat ni kuwa Waislam wa Handeni wapo katika dhiki na madhila makubwa.
Hakika hawa ni Watanzania kama ulivyosema lakini haya yaliwatokea Waislam peke yao.
The Sup...Mzee ukweli ni kwamba udini umekujaa sana tena sana na haufai kuwa Kiongozi mkubwa utagawa Wananchi Historia ya Uhuru wa Nchi hii imechangiwa na Watu wenye dini na wasio na dini na unafahamu vyema madhara ya hiki unachokifanya kwa vizazi vijavyo na wewe pia una Watoto angalia kizazi chako usikitie najisi.yale ya Kibiti na Rufiji haukuwahi kuandikia makala na hautakaa uandike kwasababu inawatia doa baya waislamu wenzako.
Wewe haufai una udini na ukanda Sana.
Tanga...Hivi waislamu mkoani Tanga, wako Handeni tu? Na kwanini wahisiwe ni magaidi wa Handeni, na sio Lushoto au Korogwe au kwingineko? Kuna wakati inataka utulivu na hekima ya juu kuelewa jinsi watu wanavyoleka mambo na kujificha kwenye kichaka cha kuonewa dini zao