Sakata la Kupotea Rajab Omari Mtana na Hukumu ya Kunyongwa kwa Masheikh 10 Tanga

Mleta maada inaonyesha wazi utafita wako uliegamia upande mmoja..

Pia umeathirika na udini,

so conclusion fanya utafiti upande wa pili.
Waku...
Hakika umesema kweli utafiti wangu uliegemea upande mmoja.

Hili linaonekana kwenye jina la kitabu "...the Untold Story..."

Historia hii ilikuwa haijapata kutafitiwa na kuandikwa.

Hakika niliathirika sana na mchango wa Waislam katika historia ya Tanganyika kuanzia historia ya Abushiri bin Salim Al Harith wa Zanzibar na Pangani, Abdulrauf Songea Mbano wa Songea, Hassan Omar Makunganya wa Kilwa, Mtwa Abdallah Mkwawa wa Kalenga, Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Muhammad Badi wa Lindi na kuendelea.

Hii ilikuwa historia mpya.

Upande wa pili utafiti ulikuwa umekamilika miaka mingi na ndiyo ilikuwa historia rasmi ya uhuru wa Tanganyika.

Fanya rejea kwa Kimambo na Temu (1969), Abubakar Olotu (1971) na Chuo Cha CCM Kivukoni (1977).
 
Ikikuoendeza tupe story ya waislamu wa kibiti walio dhibitiwa na magufuli for real
Dr...
SUALA LA UGAIDI TANZANIA
Red Fox Mzungu (SI jina halisi la muhusika) ni mtaalamu wa masuala ya ugaidi.
Ameishi Tanzania kwa miaka 15.

Amefanya utafiti katika ugaidi Tanzania, Kenya na Mozambique.
Amefika kwenye matukio yote ya ugaidi katika nchi hizo.

Tarehe 2 Julai 2020 alinitembelea nyumbani kwangu kwa mazungumzo.
Amesoma kila nilichoandika kuhusu Waislam na hali yao Tanzania.

Amesoma utafiti niliofanya katika suala la ugaidi na mauaji yaliyotokea Kilindi na Handeni mwaka wa 2013 na amesoma pia ‘’paper,’’ niliyowasilisha Chuo Kikuu cha Ibadan, Nigeria mwaka wa 2006 kuhusu ugaidi.

Red Fox anazungumza Kiswahili kizuri na kanieleza kuwa kajulishwa kwangu na Prof. James Brennan wa Chuo Kikuu Cha Illinois at Urbana Champaign Marekani ambae mimi ni rafiki yangu wa miaka mingi.

Prof. Brennan ni mtaalamu wa historia ya Tanzania na kaandika vitabu na ‘’paper’’ kadhaa kuhusu Tanzania.

Nilimfahamisha Red Fox kuwa wazee wetu walipigania haki yao ya kuwa huru kutoka ukoloni chini ya TANU hawakunyanyua silaha bali waliwaunganisha wananchi wote bila ya kujali dini zao kuondoa dhulma ili haki na usawa ipatikane kwa wote.

Hawakumbagua Julius Nyerere kwa Ukristo wake na walimchagua kuwa kiongozi wao Nyerere akianza siasa Dar es Salaam katika mji wa Waislam.

Huu nikamweleza ndiyo msimamo wa Waislam wengi wa Tanzania na ikiwa haki itaonekana inatendeka kwa wote itakuwa vigumu kwa mbegu ya ugaidi kumea katika ardhi ya Tanzania.

Red Fox alinifahamisha kuwa utafiti wake umeonesha kuwa chokochoko zote alizokutananazo katika suala la ugaidi hazina chanzo kutoka wa kwa Waislam ndani ya Tanzania.

Nilimfahamisha Red Fox kuwa katika kudumisha amani muhimu sana kwa serikali kusikiliza nini Waislam walio nje ya BAKWATA wanasema na serikali isijidanganye kuwa hakuna ubaguzi dhidi ya Waislam Tanzania.

Mimi na Red Fox kwa pamoja tulirejea historia ya BAKWATA.
Mazungumzo yetu yote tulifanya kwa Kiswahili.

Tuombe dua kuwa taarifa yake popote inapokwenda itaakisi fikra hizi nilizomweleza na itasaidia katika kutafuta haki kwa Waislam na kwa kila anaehisi anadhulumiwa kwa nia ya kudumisha amani katika nchi yetu.
 
Mamluki wa kishia naona umerudi na upya kwene spinning area zako kwa kuulisha umma uongo, chuki na uchonganishi kwa njia ya kujifanya unafikisha habari kwa hadhara.

Kuna tetesi za kuaminika kuwa mzee ni spy wa Iran nchini Kwani hapo awali ameweza kuhudumu kwene mafunzo huko tehran na Qom nchini iran pamoja na aleppo kule syria kwa nyakati tofauti tofauti.

Taarifa nyeti na za ndani zinasema mzee huyu hapo awali alikuwa anafadhiriwa na serikali ya mapinduzi ya kiislam kule iran chini ya general Qasem soleimani kama moja ya command ukanda wa Africa mashariki.

Zipo tetesi zinasema mzee alishapewa mafunzo ya propaganda na uenezi huko iran na syria ndio maana hapo awali alikuwa anazunguka duniani hasa iran pasipo chanzo chochote cha mapato wala hana hata biashala ya kuuza karanga, tangu Qasem soleimani auwawe mamluki hawa wamebaki bila msaada wa karibu. Picha zake nyingi za hapo awali yupo iran. Tangu general Qasem auwawe mzee huyu mguu na kitako cha kuzurura hovyo Duniani vimepungua kabisa.

Kwa nyakati tofauti tofauti mzee huyu amekuwa muhibiri wa utengano wa kijamii aliwahi diriki kusema baadhi ya maeneo dar es salaam wangekaa waislam na kwingine wakristu, hana tofauti wa boro haram wa Nigeria maana alifikia hatua ya kuwasisha useless research paper dhidi ya ugaidi huko university of abadan Nigeria za kutetea ugaidi na magaidi kwa ujumla hasa boko haram na alshabab kwa ufadhili wa iran.

Mamluki huyu anasema masheikh 10 wahukumiwa kunyongwa hadi kufa, tangu lini hao watuhumiwa wamekuwa masheikh?.

Kesi ni ya miaka 10 nyuma. Mamluki huyu kataja watu waliouwawa lakini hajamtaja mlinzi aliyeuwawa, mlinzi huyo huenda ni muislam na aliuwawa na waislam wenzie.

Mamluki huyu yupo radhi kuona machafuko ya kidini yanatokea ili ile ajenda yao ya ugaidi ipate kutimia, kwa namna moja wene nia ovu wamedhibitiwa kwa mkono mkali wa chuma usio na huruma ikiwemo kuvunjwa baadhi ya vijiji na kukamata mamluki. Why kijiji cha madina na sio huko lindi?

Mamluki huyu wa kishia na jumuiya zene msimamo mkali kasahau kuwa mkuu wa mkoa wa wakati huo alikuwa na muislam na ndie alietoa Oder. Serikali haiwezi adhibu raia wake kwa mkono wa chuma bila sababu. Ni nani na nani waliokamatwa kwasababu ya kufuga ndevu nyingi au kuvaa hijabu?. Huu si uchonganishi wa wazi kabisa huu.

Vyanzo vya karibu vinasema mzee huyu ni mtoto wa nje wa abdul sykes Kwani mara kwa mara huutaja ukoo wa sykes na sio ukoo wa manamba abdallah popo, vyanzo vya karibu kutoka korido za gerezani na magomeni zinasema baba mzazi wa huyu malkuki alijivua mapema na kuamua kurudi huko Bukavu Congo baada ya kuujua ukweli kua mzee sio damu yake. Soma makala zake na historia zake kamwe hajapata wala hajawahi mtaja baba yake mzazi kwa lolote na chochote.

Mwisho wa siku mzee kaachwa kama mtego wa kuendelea kukamata cycle nzima ya wapanga mipango kwa kupitia yeye bila yeye binafsi kujua why yupo huru mpaka leo. Kuna mwaka watu flani kutoka iran na Lebanon waliwahi kamatwa nchini na kurudishwa makwao haraka kwa tishio la usalama, tukio hilo mzee aliwahi lilipoti humu jukwaani kilawama sana ndio ujiulize anazitoa taarifa hizo wapi.
 
Ujamaa...
Umenifurahisha sana lakini wewe si mtunzi hodari.

Ungetafiti kwanza kuhusu mimi ungeandika hadithi nzuri zaidi kushinda hii.

Umejikwaa kwa kusisitiza katika uzee wangu.
Ukishazeeka huna kitu tena.

Ilikuwa wewe uanze na ujana wangu vyuo nilivyopita Tanzania na Uingereza.

Ilitakiwa ueleze nafasi yangu katika Muslim Students Association of University of Dar-es-Salaam (MSAUD).

Kozi nilizosoma ndani na nje ya Tanzania kwa msaada wa MSAUD na mikutano ya kimataifa niliyohudhuria na paper nilizotoa.

Ungeeleza vitabu nilivyoandika hasa kitabu cha Abdul Sykes kilivyobadili historia yote ya uhuru wa Tanganyika na historia ya Mwalimu Nyerere.

Wewe unawaletea wasomaji wako chembelecho tetesi.
Angalia picha hizo hapo chini huenda In Shaa Allah ukajifunza jambo.

Kwa kuhitimisha nakufahamisha tu yapo mengine nimeyakalia kimywa ila nitakuwekea link umsome babu yangu Salum Abdallah Popo.

1688018317784.png

University of Khartoum

1688017995197.jpeg

Azhar Cairo 1991
1688018410976.jpeg

Tehran Iran 2007
 
Handeni ni kweli kulikuwa na kijiji Cha kigaidi. Walianzisha Sheria za kiislam na wakawa wanalazimisha sehem zingine waishi Kwa Sheria za kiislam. Jioni wanafanya mazoezi ya kijeshi. Nashukuru serikali kuwashtukia mapema na kukiangamiza kabisa kijiji Cha madina.
 
Kuku....
Unaleta propaganda.

Mazoezi ya kijeshi kama yalikuwapo na kuna wasiwasi sheria zipo wahusika wanakamatwa na kama wamevunja sheria wanapelekwa mahakamani na kufunguliwa mashtaka.

Huangamizi kijiji kizima.
 
Sio propaganda. Nisawa na kusema wale Jamaa wa mtwara nao wangekamatwa na kufikishwa kizimbani. We ukienda kule ni mapambano hakuna cha msaliamtume.
 
Hatari sana...

Smart....​

Madina Yakatazwa Kuwa Sehemu ya Makazi Kwa Amri ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga Chiku Galawa 2013​

Nyaraka zimefika Dar es Salaam zinazoonyesha kuwa wakazi wa Madina kijiji kilichovamiwa kwa kisingizio kuwa kilikuwa na uhusiano na Al Shabab wamelazimishwa kuweka sahihi makubaliano kati yao na uongozi wa kata ya Negero kuhama eneo hilo kwa kuwa haparuhusiwi kuishi watu.

Kutokana na nyaraka hizo amri hiyo imetoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Galawa.

Nyaraka inaonyesha kuwa waliotilishwa sahihi amri hiyo ya kuondoshwa Madina ni Muhamadi Mwandalo na Salimu Mwalimu na viongozi waliotia sahihi kwa niaba ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi Ofisi ya Afisa Mtendaji Kata ya Negero ni Paul A. Mnyeke na Ramadhani A. Mwamilinga.

Nyaraka ina muhuri wa Afisa Mtendaji Kata Negero.

Makubaliano hayo yanasema wanakijiji hao wamepewa siku 10 kuishi Madina kuanzia tarehe 19 hadi 24 Desemba 2013 wawe wameshaondoka Madina na wamevunja nyumba zao na kuondoa vifaa vyao.

Makubaliano hayo yanataka nyumba ziwe zimevunjwa ingawa nyumba zilishavunjwa siku nyingi na vifaa vya wanakijiji hao kupotea katika uvamizi ule.

Makubaliano hayo nyaraka inaonesha yalifanywa tarehe 17 Desemba 2013.

Manazi wa Kijerumani waliwafanyia dhulma mfano wa hii Wayahudi wakati wa Vita Kuu Vya Dunia.

Wanasheria wanaweza kusaidia katika dhulma hii.

Kuna wanavijiji waliondoka Madina zamani kwa sababu mbalimbali.

Kijiji kiliposhambuliwa na kesi kufunguliwa dhidi ya Waislam Mahakama ya Handeni wakazi hawa waliohama walikuwa kimya na walipozungumza walitoa picha iliyokuwa wakati mwingine inamtisha msikilizaji.

Taratibu baada ya kusikia kuwa nyumba zimevunjwa na kuchoma moto na ardhi zao sasa wananyang'anywa wameanza kuhaha kutaka kujua kulikoni.

Wanazungumza kuhusu mali zao na mashamba yao na viwanja vyao na ardhi zao.

Kubwa sana na hili wengi hawakuwa wanalijua wanazungumza kuhusu machimbo ya dhahabu huko Madina...waliyokuwa wakimiliki kihalali na nyaraka za umiliki wanazo...

Halikadhalika tumepokea hapa ujumbe mkali kuwa hawa Waislam wa Madina hawastahili kuhurumiwa na kutetewa...

Jibu limekuwa wanastahili kuhurumiwa na kutetewa kwani hata kama tujaalie walikuwa katika makosa hapakuwa na sababu ya kuuliwa na nyumba na misikiti yao kuchomwa moto.

Ilikuwa hawa ''wakosaji'' wakamatwe wapelekwe mahakamani.

Anaetaka kujua zaidi kuhusu hili na atembelee Ubao.

Ukurasa huu uko wazi kusikiliza yanayoanza kujitokeza kutoka Madina.

Unaweza kufatilia sakata ya Madina katika ''SHEIKH OMAR MOHAMED AZUNGUMZIA MAUAJI YALIYOTOKEA HANDENI.'' (Gallery)

PS:
'The one who got away...''
Huko ndiko kunakotoka taarifa hizi kwa staili ile ya ''Deep Throat.''

Huyu Deep Throat ndiye aliyekuwa anatoa taarifa za siri katika kashfa ya Watergate.

Nadhani mmenielewa.

PS: Deep Throat amekufa kama miezi miwili iliyopita.

NB
Haya nimeandika 2013.
 
Sio propaganda. Nisawa na kusema wale Jamaa wa mtwara nao wangekamatwa na kufikishwa kizimbani. We ukienda kule ni mapambano hakuna cha msaliamtume.
Kuku....
Mwezi Desemba 2013 vyombo vya habari vilisheheni taarifa ya magaidi waliokuwa katika vijiji vya Handeni.

Taarifa zilifika Tanga kuwa kulikuwa na magaidi wanaishi katika mahandaki na operesheni maalum ilikuwa ikifanyika kuwateketeza.

Ukisikilza taarifa kama hizi ikiwa umejaaliwa akili ya kuweza kufikiri utajiuliza mengi.
Hawa watu wametoka wapi?

Kwa nini wanapigana na serikali?
Wameanza lini kujikusanya kama jeshi?

Nani kiongozi wao?

Propaganda ikaenezwa kuwa walikuwa hawaitambui serikali ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Habari zilivuja Tanga mjini na vitongoji vyake kuwa kuna vijiji vimeteketezwa.

Kwa hakika kuna watu waliletwa Hospitali ya Bombo wakiwa na majeraha ya risasi.

Kwa watu waliofika Hospitali ya Bombo waliwaona vijana waliokuwa wamefungwa pingu wakiwa katika vitanda vyao huku wakilindwa na askari.

Taarifa zikafika vilevile kuwa kuna watoto wadogo wamefikishwa Tanga baada ya kukutwa porini.
Watoto hawa walikuwa wamehifadhiwa katika moja ya shule za hapo mjini.

Katika hali kama hiyo vilevile zikafika taarifa tofauti kwa Waislam wa Tanga kuwa hao walioletwa Hosptali ya Bombo na watoto waliookotwa porini ni Waislam wa vijiji vya Madina, Dibungo na Lwande walioshambuliwa na askari pasi na sababu.

Hapa sasa pakaanza kuulizwa maswali?

Walioshambiuliwa ni wana vijiji Waislam si magaidi waliokuwa na silaha na katika vita dhidi ya serikali?

Juhudi za Umoja wa Taasisi za Kiislam Tanga (SHITA) chini ya Mayor Omari Guledi na Katibu wake Ahmed Mustafa kukutana na Mkuu wa Mkoa Chiku Galawa kupata ukweli zikagonga mwamba.

Hali ikawa tete baada ya Sheikh Rajab Ramadhani Chambuso mmoja katika masheikh vijana mjini Tanga kukamatwa na kuwekwa rumande kisha kuhamishwa Handeni ambako alifunguliwa kesi ya kubambika ya ''kushawishi mauaji.''

Sheikh Rajab Chambuso ni kijana maarufu mjini Tanga na ni mwalimu wa dini shule za sekondari za Tanga na anasomesha watoto wadogo Quran.

Ikavuma kuwa patakuwa na maandamano baada ya sala ya Ijumaa kushinikiza kuachiwa kwa Sheikh Chambuso.

Askari wa FFU walizingira misikiti kadhaa Ijumaa hiyo lakini hapakuwa na maadamano yoyote.
Sheikh Chambuso akaachiwa kwa dhamana.

Alipopata dhamana na kuachiwa Sheikh Chambuso alikuja Tanga na habari za kutisha kuhusu dhulma iliyopita katika vijiji vya Madina, Dibungo na Lwande.

Habari hizi alielezwa na mahabusi wenzake katika hivyo vijiji vilivyoshambuliwa.

Sheikh Chambuso katika hotuba aliyotoa katika moja ya misikiti maarufu Tanga aliwafahamisha Waislam kuhusu misikiti iliyovujwa na kuchomwa moto, Qur'an zillizochomwa moto na nyumba za Waislam zilizoteketezwa kwa kisingizo cha ugaidi.

Binafsi nikajiambia ninaloweza mimi kufanya ni kuhakikisha kuwa haya yote yanahifadhiwa katika maandishi, sauti na picha.

Lakini kubwa niliamua lazima nifike Tanga na Handeni na lazima nizungumze na wale walioshuhudia haya na waathirika wenyewe.

Ndugu yangu Kuku...,
Haya si mambo kama unavyodhania.

Niambie katika hayo uliyosoma hapo juu unapata picha kuwa kulikuwa na magaidi katika mahandaki na silaha za kutungua ndege?

Propaganda hizi nini ilikuwa makusudio yake na nani alikuwa yuko nyuma ya haya yote?
Toka mapema asubuhi nilikuwa kila nikisoma michango yenu nakuombeni mfanye subra kuna mengi.

Bado mkasa huu unaendelea nakuombeni muwe na subra.

1688295624335.png

Sheikh Rajab Ramadhani Chambuso akigawa Mashafu kwa wanafunzi wa Shule ya St. Christine Tanga alipokuwa akisomesha Uislam kwa kujitolea
 
Waku...
Hakika umesema kweli utafiti wangu uliegemea upande mmoja.

Hili linaonekana kwenye jina la kitabu "...the Untold Story..."

Historia hii ilikuwa haijapata kutafitiwa na kuandikwa.

Hakika niliathirika sana na mchango wa Waislam katika historia ya Tanganyika kuanzia historia ya Abushiri bin Salim Al Harith wa Zanzibar na Pangani, Abdulrauf Songea Mbano wa Songea, Hassan Omar Makunganya wa Kilwa, Mtwa Abdallah Mkwawa wa Kalenga, Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Muhammad Badi wa Lindi na kuendelea.

Hii ilikuwa historia mpya.

Upande wa pili utafiti ulikuwa umekamilika miaka mingi na ndiyo ilikuwa historia rasmi ya uhuru wa Tanganyika.

Fanya rejea kwa Kimambo na Temu (1969), Abubakar Olotu (1971) na Chuo Cha CCM Kivukoni (1977).
Mkuu....

Issue hapa sio historia ya Tanganyika...ambayo kiufupi kwa ulichoa andika inaweza kua kweli.

Issue niliyo kwambia hukufanya utafiti wa kutosha ni kupotea kwa Rajab Omari Mtana.

I hope umenielewa.

Wakunjombe,
Sijakuelewa.

Nia ya mimi kueleza mkasa huu wa 2013 ni kufahamisha yote yaliyotokea Handeni miaka 10 iliyopita.

Siko hapa kufanya ubishani.

Watu wajue tu kuna watu walifanyiwa haya.

Rajab Mtana hajaonekana hadi leo.
Hii ni historia kubwa sana.

Kuwa na subra utasoma mengi kutoka kwangu.
 
mzee kama umeshika dini sana tulia tu.unapoelekea kama mzee makamba.
ukizeeka akili kurudi utoto ndio maana wazee wanakuwa comedy
 
Mamluki wa kishia naona umerudi na upya kwene spinning area zako kwa kuulisha umma uongo, chuki na uchonganishi kwa njia ya kujifanya unafikisha habari kwa hadhara.

Kuna tetesi za kuaminika kuwa mzee ni spy wa Iran nchini Kwani hapo awali ameweza kuhudumu kwene mafunzo huko tehran na Qom nchini iran pamoja na aleppo kule syria kwa nyakati tofauti tofauti.

Taarifa nyeti na za ndani zinasema mzee huyu hapo awali alikuwa anafadhiriwa na serikali ya mapinduzi ya kiislam kule iran chini ya general Qasem soleimani kama moja ya command ukanda wa Africa mashariki.

Zipo tetesi zinasema mzee alishapewa mafunzo ya propaganda na uenezi huko iran na syria ndio maana hapo awali alikuwa anazunguka duniani hasa iran pasipo chanzo chochote cha mapato wala hana hata biashala ya kuuza karanga, tangu Qasem soleimani auwawe mamluki hawa wamebaki bila msaada wa karibu. Picha zake nyingi za hapo awali yupo iran. Tangu general Qasem auwawe mzee huyu mguu na kitako cha kuzurura hovyo Duniani vimepungua kabisa.

Kwa nyakati tofauti tofauti mzee huyu amekuwa muhibiri wa utengano wa kijamii aliwahi diriki kusema baadhi ya maeneo dar es salaam wangekaa waislam na kwingine wakristu, hana tofauti wa boro haram wa Nigeria maana alifikia hatua ya kuwasisha useless research paper dhidi ya ugaidi huko university of abadan Nigeria za kutetea ugaidi na magaidi kwa ujumla hasa boko haram na alshabab kwa ufadhili wa iran.

Mamluki huyu anasema masheikh 10 wahukumiwa kunyongwa hadi kufa, tangu lini hao watuhumiwa wamekuwa masheikh?.

Kesi ni ya miaka 10 nyuma. Mamluki huyu kataja watu waliouwawa lakini hajamtaja mlinzi aliyeuwawa, mlinzi huyo huenda ni muislam na aliuwawa na waislam wenzie.

Mamluki huyu yupo radhi kuona machafuko ya kidini yanatokea ili ile ajenda yao ya ugaidi ipate kutimia, kwa namna moja wene nia ovu wamedhibitiwa kwa mkono mkali wa chuma usio na huruma ikiwemo kuvunjwa baadhi ya vijiji na kukamata mamluki. Why kijiji cha madina na sio huko lindi?

Mamluki huyu wa kishia na jumuiya zene msimamo mkali kasahau kuwa mkuu wa mkoa wa wakati huo alikuwa na muislam na ndie alietoa Oder. Serikali haiwezi adhibu raia wake kwa mkono wa chuma bila sababu. Ni nani na nani waliokamatwa kwasababu ya kufuga ndevu nyingi au kuvaa hijabu?. Huu si uchonganishi wa wazi kabisa huu.

Vyanzo vya karibu vinasema mzee huyu ni mtoto wa nje wa abdul sykes Kwani mara kwa mara huutaja ukoo wa sykes na sio ukoo wa manamba abdallah popo, vyanzo vya karibu kutoka korido za gerezani na magomeni zinasema baba mzazi wa huyu malkuki alijivua mapema na kuamua kurudi huko Bukavu Congo baada ya kuujua ukweli kua mzee sio damu yake. Soma makala zake na historia zake kamwe hajapata wala hajawahi mtaja baba yake mzazi kwa lolote na chochote.

Mwisho wa siku mzee kaachwa kama mtego wa kuendelea kukamata cycle nzima ya wapanga mipango kwa kupitia yeye bila yeye binafsi kujua why yupo huru mpaka leo. Kuna mwaka watu flani kutoka iran na Lebanon waliwahi kamatwa nchini na kurudishwa makwao haraka kwa tishio la usalama, tukio hilo mzee aliwahi lilipoti humu jukwaani kilawama sana ndio ujiulize anazitoa taarifa hizo wapi.

umenikumbusha ilikuwa kipindi cha nyerere na sasa wanarudi kwa kasi.
 
mzee kama umeshika dini sana tulia tu.unapoelekea kama mzee makamba.
ukizeeka akili kurudi utoto ndio maana wazee wanakuwa comedy
Kaka...
Huna lolote la kuchangia katika yote niliyoeleza katika yaliyotokea Handeni?

Mathalan silaha za kutungulia ndege, kuchomwa moto makazi ya watu nk.

Hata kwa kusema kuwa haya ni uongo hayakupatapo kutokea?
 
Ujamaa...
Sheikh Rogo si ''Logo.''
Mwaka wa 2011 nilipita Geneva nikakutana na kijana mmoja akanikaribisha nyumbani kwake.
Katika mazungumzo akaniuliza kama namjua Sheikh Ilunga.

Nikamwambia namfahamu sana.

Akaniwekea video ya Sheikh Ilunga.
Nikamuomba anipige picha Ilunga akiwa ndiyo ''background.''

1688500894120.jpeg

1688501040329.png

Ilunga huyo na nyuma yake ni mimi picha hii tulipiga CBE Dodoma 1989
1688501330878.png
 
Mamluki wa kishia naona umerudi na upya kwene spinning area zako kwa kuulisha umma uongo, chuki na uchonganishi kwa njia ya kujifanya unafikisha habari kwa hadhara.

Kuna tetesi za kuaminika kuwa mzee ni spy wa Iran nchini Kwani hapo awali ameweza kuhudumu kwene mafunzo huko tehran na Qom nchini iran pamoja na aleppo kule syria kwa nyakati tofauti tofauti.

Taarifa nyeti na za ndani zinasema mzee huyu hapo awali alikuwa anafadhiriwa na serikali ya mapinduzi ya kiislam kule iran chini ya general Qasem soleimani kama moja ya command ukanda wa Africa mashariki.

Zipo tetesi zinasema mzee alishapewa mafunzo ya propaganda na uenezi huko iran na syria ndio maana hapo awali alikuwa anazunguka duniani hasa iran pasipo chanzo chochote cha mapato wala hana hata biashala ya kuuza karanga, tangu Qasem soleimani auwawe mamluki hawa wamebaki bila msaada wa karibu. Picha zake nyingi za hapo awali yupo iran. Tangu general Qasem auwawe mzee huyu mguu na kitako cha kuzurura hovyo Duniani vimepungua kabisa.

Kwa nyakati tofauti tofauti mzee huyu amekuwa muhibiri wa utengano wa kijamii aliwahi diriki kusema baadhi ya maeneo dar es salaam wangekaa waislam na kwingine wakristu, hana tofauti wa boro haram wa Nigeria maana alifikia hatua ya kuwasisha useless research paper dhidi ya ugaidi huko university of abadan Nigeria za kutetea ugaidi na magaidi kwa ujumla hasa boko haram na alshabab kwa ufadhili wa iran.

Mamluki huyu anasema masheikh 10 wahukumiwa kunyongwa hadi kufa, tangu lini hao watuhumiwa wamekuwa masheikh?.

Kesi ni ya miaka 10 nyuma. Mamluki huyu kataja watu waliouwawa lakini hajamtaja mlinzi aliyeuwawa, mlinzi huyo huenda ni muislam na aliuwawa na waislam wenzie.

Mamluki huyu yupo radhi kuona machafuko ya kidini yanatokea ili ile ajenda yao ya ugaidi ipate kutimia, kwa namna moja wene nia ovu wamedhibitiwa kwa mkono mkali wa chuma usio na huruma ikiwemo kuvunjwa baadhi ya vijiji na kukamata mamluki. Why kijiji cha madina na sio huko lindi?

Mamluki huyu wa kishia na jumuiya zene msimamo mkali kasahau kuwa mkuu wa mkoa wa wakati huo alikuwa na muislam na ndie alietoa Oder. Serikali haiwezi adhibu raia wake kwa mkono wa chuma bila sababu. Ni nani na nani waliokamatwa kwasababu ya kufuga ndevu nyingi au kuvaa hijabu?. Huu si uchonganishi wa wazi kabisa huu.

Vyanzo vya karibu vinasema mzee huyu ni mtoto wa nje wa abdul sykes Kwani mara kwa mara huutaja ukoo wa sykes na sio ukoo wa manamba abdallah popo, vyanzo vya karibu kutoka korido za gerezani na magomeni zinasema baba mzazi wa huyu malkuki alijivua mapema na kuamua kurudi huko Bukavu Congo baada ya kuujua ukweli kua mzee sio damu yake. Soma makala zake na historia zake kamwe hajapata wala hajawahi mtaja baba yake mzazi kwa lolote na chochote.

Mwisho wa siku mzee kaachwa kama mtego wa kuendelea kukamata cycle nzima ya wapanga mipango kwa kupitia yeye bila yeye binafsi kujua why yupo huru mpaka leo. Kuna mwaka watu flani kutoka iran na Lebanon waliwahi kamatwa nchini na kurudishwa makwao haraka kwa tishio la usalama, tukio hilo mzee aliwahi lilipoti humu jukwaani kilawama sana ndio ujiulize anazitoa taarifa hizo wapi.
Asiee mkuu umeeleZa vyema sn na mm nashangaa kila wakt Ni kujinasibisha tu kwa kina abdul Sykes kumbe Ni Bab ake kbsa ndio anapigania andikwe kwenye historia ya tanganyika

Nashangaa kuona jf inampa tuzo mbalimbali mtu Kama huyu mdini ,mbaguzi ,mchawi ,kibaraka wa Iran kwani asinyanganywe tuzo zote alizo pewa huyu mzee aliye saliwa nje ya mfumo

Kila siku sykesa na kina abduli tu na kuona Kam Nyerere hafai kuwep katk historia yoyote

Naomba jf imdhibiti Sana huyu mzee ,mfuruga amani
 
Ujamaa...
Umenifurahisha sana lakini wewe si mtunzi hodari.

Ungetafiti kwanza kuhusu mimi ungeandika hadithi nzuri zaidi kushinda hii.

Umejikwaa kwa kusisitiza katika uzee wangu.
Ukishazeeka huna kitu tena.

Ilikuwa wewe uanze na ujana wangu vyuo nilivyopita Tanzania na Uingereza.

Ilitakiwa ueleze nafasi yangu katika Muslim Students Association of University of Dar-es-Salaam (MSAUD).

Kozi nilizosoma ndani na nje ya Tanzania kwa msaada wa MSAUD na mikutano ya kimataifa niliyohudhuria na paper nilizotoa.

Ungeeleza vitabu nilivyoandika hasa kitabu cha Abdul Sykes kilivyobadili historia yote ya uhuru wa Tanganyika na historia ya Mwalimu Nyerere.

Wewe unawaletea wasomaji wako chembelecho tetesi.
Angalia picha hizo hapo chini huenda In Shaa Allah ukajifunza jambo.

Kwa kuhitimisha nakufahamisha tu yapo mengine nimeyakalia kimywa ila nitakuwekea link umsome babu yangu Salum Abdallah Popo.

View attachment 2672602
University of Khartoum

View attachment 2672599
Azhar Cairo 1991
View attachment 2672603
Tehran Iran 2007
Sasa aanze vp kukutafiti kwa kipi hasw ulichonacho siyo Bora atafiti andazi kuliko wre
 
FaizaFoxy njoo msadie mzee wako na mihadala yake ya uislamu

By tthe way Kwan Sweden jus ktk siku ya idd ya kuchinja waliamu kuchoma quruan mbele ya msiki mdg uliopo hapo
 
Back
Top Bottom