Sakata la kuuzwa bandari za Tanganyika limeipasua nchi kwa udini. Waislamu walalamikia Chadema kwa udini

Sakata la kuuzwa bandari za Tanganyika limeipasua nchi kwa udini. Waislamu walalamikia Chadema kwa udini

Wakati watu wenye akili wanaongelea maslahi ya Nchi, kuna wapumbavu wachache wameona udini kama njia au kivuli cha kujifichia.

Jambo zuri ni kwamba hao wapumbavu ni wachache sana.
 
Shida iko kwa Samia kuuza bandari yetu kwa wajomba zake bila kufuata utaratibu wa manunuzi.

Tpa waarabu
TANESCO waarabu
Tpdc waarabu
Shirika la posta waarabu
Misitu waarabu
Ngorongoro waarabu
Wanyamapori waarabu
Na zaidi.

Hao waarabu samia akawauzie nchi yao ya Zanzibar
Wewe mkimbizi una nchi?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
mbona mambo ya udini udini yanazungumzwa sana katika awamu hii ya 6 kuliko awamu ya 5?!
na wanao lizungumza ni ndugu zangu wakristu wenzangu baadhi sio wote!!
mimi ni mkristu lakini nakereka sana na tabia hii mbaya, hebu tuwaige ndugu zetu mbona wakati wa Hayati JPM walikuwa hawatoi kauli hizi za udini?!
jambo hili linatuchafua sisi wakristu kuwa tuna matatizo na nongwa anapo tawala mtu wa dini nyingine ambayo kimsingi inaweza kuligawa Taifa letu na itatengeneza mfano mbaya kwa siku zijazo.

tuikemee tabia hiii sio nzuri hata kidogo kwa mustakbali wa Taifa letu.
Mungu mbariki Rais wetu na Serikali yote.

tunawaombea wale wote wenye chuki mungu awabadilishe.
Huu ndio ukweli

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ccm wasipokuwa makini watalipasua taifa vipandevipande. Yaani issue ya bandari imekuwa ngumu kwao wameamua kutumia udini kutugawa. Na bahati mbaya kuna watu wameshalipanda gari la udini na wanaona wanapingwa wao.

Ifike hatua sisi watanzania tujitambue tuache kubeba propaganda za kishenzi za udini. Yaani kiongozi akikosea akosolewe kwa jambo lake bila kuangalia ni wa dini gani. Uislam wa rais Samia haumfanyi auze rasilimali za taifa wala ukristo wa Magu haukupaswa kumfanya anyanyase watu.

Tukikubali issue ya udini kutugawa tumekwisha na ccm walishalijua hilo wakiona jambo linawakaba koo wanaingiza udini na ndugu zangu waislamu tumekuwa tukiibeba sana hii agenda ya udini.
Kwani raisi ameuza rasilimali zipii, acha kunogesha genge bwanaa. Nyinyi endeleeeni na udini wenuu, hamfiki popote na juu ya hili la udini litawagarimu saana. Yaani kisa wawekezaji kutoka uarabuni imekuwa uuzaji wa nchii, hovyoo kabisa. Mwekezaji ni yoyote, kikubwa akidhi vigezooo tuuu basiii. Acheni propagandaa
 
Shida iko kwa Samia kuuza bandari yetu kwa wajomba zake bila kufuata utaratibu wa manunuzi.

Tpa waarabu
TANESCO waarabu
Tpdc waarabu
Shirika la posta waarabu
Misitu waarabu
Ngorongoro waarabu
Wanyamapori waarabu
Na zaidi.

Hao waarabu samia akawauzie nchi yao ya Zanzibar
Kama watafanya vizuri shida iko wapi? kinacho takiwa sio waarabu wala wachina ni ubora wa mkataba kwa maana ya vipengele na utekelezaji wake, ila wewe una onekana una tatizo na uarabu wao sio vinginevyo
 
Mungu akubariki saana. Tuendelee kuwapa nondo kama hizi zako hawa wabaguzi
 
Kumbe wewe gaidi.Mwizi kila anayemuona ajuwa ni mwizi kama yeye.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kwa kauli zao kama hizi wakiambiwa wanaleta udini wanajifanya kukataa!

Na kwa akili zao wanafikiri waislamu hawajui haya wanayoyafanya. Waislamu wengi tupo kimya! Ila tunajua ni nani anayeleta chokochoko za udini!

Wasitufikishe huko! Muislamu yupo tayari kufia kwenye dini yake na haogopi!
 
Shida iko kwa Samia kuuza bandari yetu kwa wajomba zake bila kufuata utaratibu wa manunuzi.

Tpa waarabu
TANESCO waarabu
Tpdc waarabu
Shirika la posta waarabu
Misitu waarabu
Ngorongoro waarabu
Wanyamapori waarabu
Na zaidi.

Hao waarabu samia akawauzie nchi yao ya Zanzibar
Wewe udini na umasikini unakusumbua tu!
 
Back
Top Bottom