2015 Wakati kina Bashe wanajipanga kukinukisha ndani ya Ccm kwa kukatwa Lowassa akaibuka kwa style yake kumpa nafasi ya kutoka Ccm na kumpa jukwaa la kufanyia Siasa huku akijua Lowassa angebaki hana pa kwenda lazima wangevurugana ndani kwa ndani kama inavyotokea sasa Ccm Zanzibar
Katika yoote uliyoyasema katika andiko lako, hakuna lililoniamsha fikra kama haya uliyoandika katika aya hii niliyo'quote' hapa.
Sasa najiuliza: Laiti kama isingetokea hivyo, pengine tungekuwa hatusumbuki sana na hili dude liitwalo CCM!
Kuhusu maswala ya udini, binafsi nasema, it's about time, let chips fall where they belong.
Imetosha sasa kulembalemba na kubembelezana kwingi, huku kukiwa kumejaa unafiki tupu kwenye haya mavyama ya siasa.
Imetosha sasa, sote tujihesabu kuwa waTanzania tu bila ya haya ma-qualifications ya dini au ujana, na hata huo ujinsia.
Let's just be Tanznians. That's it!
Mtu kusemwa mavazi yake tu, inakuwa ni udini?
Akifanya mambo yasiyofaa, watu waogope kusema, kwa vile nyuma yake kuna dini anayohusika nayo?