The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Ajabu hawa nyumbu bado wanamuona Dr Slaa mzalendo...Wadini ni wale walioanza kushambulia Hijabu ya Rais badala ya utendaji wake
Wadini ni wale waliopanda majukwaani na Viongozi wa kiimani wao na kuanza kukashifu Viongozi wa kiimani wengine.
mjadala huu ulianza vyema kwa hoja kwa hoja lakini ghafla akaibuka Mamluki mmoja wa Mfumo aliepangwa kuuvuruga kwa kuanza kushambulia Uzanzibar wa Rais na Waziri mwenye dhamana na kwa hilo kafanikiwa maana Mjadala umehamia kwny Muungano na dini na hivyo kuisiadia Serikali kama ilivyokuwa kawaida yake kusaidia kwa style ya aina yake na sasa katulia anakula Mgao wa kuvuruga mjadala
2015 Wakati kina Bashe wanajipanga kukinukisha ndani ya Ccm kwa kukatwa Lowassa akaibuka kwa style yake kumpa nafasi ya kutoka Ccm na kumpa jukwaa la kufanyia CCM
Wahuni sio watu wazuri