Sakata la kuuzwa bandari za Tanganyika limeipasua nchi kwa udini. Waislamu walalamikia Chadema kwa udini

Wakati watu wenye akili wanaongelea maslahi ya Nchi, kuna wapumbavu wachache wameona udini kama njia au kivuli cha kujifichia.

Jambo zuri ni kwamba hao wapumbavu ni wachache sana.
 
Wewe mkimbizi una nchi?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huu ndio ukweli

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwani raisi ameuza rasilimali zipii, acha kunogesha genge bwanaa. Nyinyi endeleeeni na udini wenuu, hamfiki popote na juu ya hili la udini litawagarimu saana. Yaani kisa wawekezaji kutoka uarabuni imekuwa uuzaji wa nchii, hovyoo kabisa. Mwekezaji ni yoyote, kikubwa akidhi vigezooo tuuu basiii. Acheni propagandaa
 
Kama watafanya vizuri shida iko wapi? kinacho takiwa sio waarabu wala wachina ni ubora wa mkataba kwa maana ya vipengele na utekelezaji wake, ila wewe una onekana una tatizo na uarabu wao sio vinginevyo
 
Mungu akubariki saana. Tuendelee kuwapa nondo kama hizi zako hawa wabaguzi
 
Kumbe wewe gaidi.Mwizi kila anayemuona ajuwa ni mwizi kama yeye.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kwa kauli zao kama hizi wakiambiwa wanaleta udini wanajifanya kukataa!

Na kwa akili zao wanafikiri waislamu hawajui haya wanayoyafanya. Waislamu wengi tupo kimya! Ila tunajua ni nani anayeleta chokochoko za udini!

Wasitufikishe huko! Muislamu yupo tayari kufia kwenye dini yake na haogopi!
 
Wewe udini na umasikini unakusumbua tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…