Sakata la kuuzwa bandari za Tanganyika limeipasua nchi kwa udini. Waislamu walalamikia Chadema kwa udini

Ajabu hawa nyumbu bado wanamuona Dr Slaa mzalendo...
 
Serikali haijasaidiwa chochote hapa, usijidanganye, hao mamluki wanaoegemea udini wanajijua wameishiwa hoja, bandari na ule mkataba mbovu bado liko palepale..

Majibu sahihi yanatakiwa.
Wewe endelea kudhani hivyo hivyo ila wenyewe washajua ndio maana sasa wamerudi kwny hoja ya Katiba

unadhani waneishiwa band ndio sababu hawaoneshi mafuriko ya Mkutano wao wa Bandari walioutisha kwa ushirikiano wa Chadema na Viongozi wa kiimani kudhalilisha imani nyingine?

labda wewe bi Mtoto sana , mijadala yote ya namna hii imekuwa miaka yote , 1997 hadi Nyerere aliitisha Press conference kupinga kubinafsishwa NBC, the same to Tanesco hadi maandamano makubwa yalifanyika na mwishoni mipango ikaendelea na Ccm ikaendelea kutawala hadi muda huu

hata Mimi napinga Bandari kukodishwa lakini najua kuna Wahuni wametumwa kujifanya wako upande wetu ili wavuruge na hilo nakuahakikishia wamefanikiwa

mjadala wa Bandari utabakia Tweeter na JF kama ilivyo story ya Escrow, 1.5 Trillion, sijui uwanja wa Chato n.k
 
Ajabu hawa nyumbu bado wanamuona Dr Slaa mzalendo...
Mimi sina chama ila Chadema hapana!

Mienendo yao niliambiwa na Mzee mmoja tangu 2015 nikampinga ila nikajiwekea akiba ya kuwa huru. Nikajipa muda wa kuutafuta ukweli. Muda ukaniweka wazi ya kuwa Chadema ni hakuna kitu! Yale yale wanayosema watu juu yao ndiyo uhakika wa Chadema walivyo!

Wanajificha kwenye mambo mengine hata kama yakiwa na hoja za msingi lakini wana lao jambo!
 
Hoja itakayoletwa na ccm itajadiliwa kama ilivo hata wakitugawa kidini sawa tu
 
Mimi nilikuwa CSM sasahiv nimegairi,baada ya kumsikia Mbowe
 
Hijabu imekuwa Dini Siku Hivi,, Acheni utumwa
 
Huyo Shehe ubwabwa aliyewazuia waislam kwenda Mkutanoni Temeke siyo mdini?

Waislam mbona tumekuwa walalamishi sana?
Upuuzi wa mkataba wa Bandari nyinyi hamuuoni? Au ni kwasababu anayeitaka bandari ni Mwarabu?
 
Shehe Mwaipopo siyo mkristo!!! Mkemee
 
Mimi sina dini ila nyie watu wa dini mna tatizo mahali sasa hapo mnagombana nini cha maana mbona huku mtaani hayo mambo hamna watu wanaelewana na kufanya biashara pamoja na wanaishi pamoja nyumba za kupanga
 
Hijabu imekuwa Dini Siku Hivi,, Acheni utumwa
Hijabu ni dini ila kitambaa sio Dini …Mkate wa Bwana ni dini ila biskuti sio dini

Nyinyi Jamaa mna chuki ya hatare sana lakini kwa maigizo ya upendo tu mna PhD
 
Huyo Shehe ubwabwa aliyewazuia waislam kwenda Mkutanoni Temeke siyo mdini?

Waislam mbona tumekuwa walalamishi sana?
Upuuzi wa mkataba wa Bandari nyinyi hamuuoni? Au ni kwasababu anayeitaka bandari ni Mwarabu?
bado unashambulia Waislam eti walalamishi wakati wewe hapa unawalalamikia Waislam, au Wao hawana haki ya kulalamika ?

Magufuli kapiga watu Risasi kadhulumu watu kinyama lini Chadema ilikusanya Behewa la Maaskofu jukwaani kumshambulia Magufuli kwa udhalimu ule?

Padri Slaa wakati Mkatoliki mwenzake John anaua watu na kudhulumu watu uliwahi kuona anafungua mdomo ? Lissu aliefanya nae kazi kapigwa Risasi lakini aliishia kukejeli kuwa ni michezo ya ndani ya Chadema


Padri Slaa inapokuja issue ya inayomhusu Muislam huwa anashindwa kabisa kujificha chuki yake japo kaishi kwny Siasa miaka mingi sana.
 
Katika kitu Nyerere alifanikiwa nchi hii ni kudhibiti hawa hayawani. Akili zao zipo kwenye pilau na nyama nje hapo ni taahira wakubwa!
hao Mahayawani aliowadhibiti Nyerere maisha yao yana nafuu kuliko watoto wake waliorukwa na akili kwa laana ya dhulma
 
hao Mahayawani aliowadhibiti Nyerere maisha yao yana nafuu kuliko watoto wake waliorukwa na akili kwa laana ya dhulma
Haijalishi... mmebaki kama manyani tu... hamna la kufikiri zaidi ya kula na kunya. Mu viumbe dhalili sana!
 
Yaani waislamu wako tayari nchi hii hata ipigwe mnada maadam tu anayeuza ni muislam na anayenunua ni muislamu, issue ya kwamba wataishije baada ya taifa kuuzwa hilo hawajali cha msingi ni muislam mwenzao ameuza na muislam mwingine akanunua.
 
Sio Mara, ya kwanza,
Tuliwahi kugawanywa kidini na utawala,wa kikwete, walisema CUF ni chama cha kiislam,
CUF ilipokufa, ikaja Chadema, wakasema Chadema ni ya wachaga,
Hizi, ni, mbinu za, wahafidhina wa, ccm, huwa, hawana, jipya,yameiba mpaka yamevimbiwa, yatatumia hoja yoyote kuleta mgawanyo, ukitegemea watu wetu wengi ni maskini, hawana uelewa mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…