Usitake kuleta taharuki ati waliishambulia Hijabu ya Rais angalia mukhitadha wa usemi waliotumia. Kwa sisi watanzania wa kawaida tunamuheshimu Rais na kujua kuwa alipopata positions za juu kitaifa aliamua kumtafuta vazi rasmi la kumtambulisha; hapo mwanzo hakuwa anavaa Hijabu. Na yeye siyo wa kwanza. Hata Mwl. Nyerere mwanzoni mwa utawala wake alivaa Suit lakini baadae akatafuta vazi la kumtambulisha- CHOUNI LAI NA KAUNDA SUIT.
nikuambie kitu? Kwanza hizo Hijabu wanaojua Quran vizuri, hiyo siyo takwa la Quran.
Iran wakina Dada wameigomea na sasa Madikiteta wa Kiayatolah wameua na kuwafunga watu ili kuilazimishia Hijabu. Dunia nzima inajua huo ni ukiukaji wa haki za binadam; hata Mhe Rais akiwa ni mpigania wa haki za akina mama anajua hilo.
Saudi Arabia Serikali imepiga marufuku hizo Hijabu kwa wanafunzi wa level zote.
Ona hizi video