Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
The tigo watabeba zigo lao, next time wajifunzeKwema Wakuu!
Serikali haitahusika Kwa namna yoyote Ile Ikiwa haikuandika barua Wala Kûtuma email kwenda Kampuni ya Tigo kutaka kuingilia faragha na tàarifa za LISU...
Haya mambo ya JPM huko mbinguni yatahitaji session maalum mfanano wa criminal session za duniani, na zinaweza kuchukua miaka kuisha
Yupo mbinguni?Haya mambo ya JPM huko mbinguni yatahitaji session maalum mfanano wa criminal session za duniani, na zinaweza kuchukua miaka kuisha
The tigo watabeba zigo lao, next time wajifunze
Wewe NI daktari WA Vichaa àmbaye Huna Ajira?Hivi Kenya nao wana Mirembe yao. Au huduma hiyo inawafaa wabongo tu
Mkuu,Kwema Wakuu!
Serikali haitahusika Kwa namna yoyote Ile Ikiwa haikuandika barua Wala Kûtuma email kwenda Kampuni ya Tigo kutaka kuingilia faragha na tàarifa za LISU...
Mkuu,
Unajuaje Hakuna barua? Ukienda zile document za kwenye tribunal wametajwa TCRA kuomba hizo data.
Kuna mambo mengi sana yataibuka.
Inawezekana hata wasihusike, ikaishia kwa mfanyakazi tu.The tigo watabeba zigo lao, next time wajifunze
Inawezekana hata wasihusike, ikaishia kwa mfanyakazi tu.
Hiyo barua ipo mahakamani London.Kwa jinsi ninavyojua wabongo, nakuhakikishia hiyo barua haitakuwepo
Hiyo barua ipo mahakamani London.
Nietajwański kwenye appeal ya kwanza ambayo TIGO walishindwa kabla ya kukata rufaa mahakama kuu ya rufaa.
Kwema Wakuu!
Serikali haitahusika Kwa namna yoyote Ile Ikiwa haikuandika barua Wala Kûtuma email kwenda Kampuni ya Tigo kutaka kuingilia faragha na tàarifa za LISU.
Mambo ya serikali Kwenda Kwa makampuni au mashirika hufanywa kiofisi na barua lazima ihusike.
Mawasiliano yoyote àmbayo hayatahusisha njia rasmi huweza kuleta mkingamo wq kisheria.
Hivyo itasemwa kwamba kulikuwa na genge la Watu weñye Maslahi binafsi nje ya serikali àmbalo ñdilo liliwasiliana na Kampuni ya Tigo kutaka tàarifa za LISU.
Hii inatoa Somo Kwa wafanyakazi na Wamiliki WA makampuni kuwa Makini Wakati wanapata oda au maigizo Kutoka kwèñye mamlaka za kiserikali. Kwamba maagizo hayo yawe Kwa njia Rasmi ikiwemo kuandikwa Kwa barua kama ushahidi.
Haya
soon watapokea nakala kwa dispatchBasi serikali nayo Hapo Mashtaka itawahusu, siô ajabu nao wakaingizwa huko
naona tigo anaji-express himself
Mzungu akitaka atathibitisha beyond doubt kuwa serikali ilihusika hata kama hakuna barua. Hiyo tech ni yake atashindwa nini kuthibitisha hata sauti za wahusika waliokuwa wakitoa maelekezo? Labda kama walikuwa wanawasiliana kwa braille systemKwema Wakuu!