Sakata la Lissu v Tigo: Serikali haitahusika kama hakuna barua za Serikali kwenda Tigo

Kwema Wakuu!

Serikali haitahusika Kwa namna yoyote Ile Ikiwa haikuandika barua Wala Kûtuma email kwenda Kampuni ya Tigo kutaka kuingilia faragha na tàarifa za LISU.

Mambo ya serikali Kwenda Kwa makampuni au mashirika hufanywa kiofisi na barua lazima ihusike.

Mawasiliano yoyote àmbayo hayatahusisha njia rasmi huweza kuleta mkingamo wq kisheria.

Hivyo itasemwa kwamba kulikuwa na genge la Watu weñye Maslahi binafsi nje ya serikali àmbalo ñdilo liliwasiliana na Kampuni ya Tigo kutaka tàarifa za LISU.

Hii inatoa Somo Kwa wafanyakazi na Wamiliki WA makampuni kuwa Makini Wakati wanapata oda au maigizo Kutoka kwèñye mamlaka za kiserikali. Kwamba maagizo hayo yawe Kwa njia Rasmi ikiwemo kuandikwa Kwa barua kama ushahidi.

Haya

..barua.

..e-mail.

..txt.

..call / Simu.

..hakuna chochote kati ya hivyo?
 
Umeambiwa maafisa wa serikali walitumiwa kwa whatsap. Watu waliotuma hizo metadata wametajwa kwenye kesi hizi mbili. Acha speculation ya mambo ya kusadikika ili kupoteza upepo ndugu yangu - soma hapa hizi kesi uelewe mwanzo mwisho...
 
Attachments

Mzungu akitaka atathibitisha beyond doubt kuwa serikali ilihusika hata kama hakuna barua. Hiyo tech ni yake atashindwa nini kuthibitisha hata sauti za wahusika waliokuwa wakitoa maelekezo? Labda kama walikuwa wanawasiliana kwa braille system
Humu ndani kuna watu wanapenda sana speculations za kupima upepo ili aone maoni ya watu... Hii kesi imeletwa hadharani kuja kuzima mjadara wa maandamano... maana sasa maandamano hayaongelewi, ni kesi tu.
 
Kwema Wakuu!

Serikali haitahusika Kwa namna yoyote Ile Ikiwa haikuandika barua Wala Kûtuma email kwenda Kampuni ya Tigo kutaka kuingilia faragha na tàarifa za LISU.

Mambo ya serikali Kwenda Kwa makampuni au mashirika hufanywa kiofisi na barua lazima ihusike.

Mawasiliano yoyote àmbayo hayatahusisha njia rasmi huweza kuleta mkingamo wq kisheria.

Hivyo itasemwa kwamba kulikuwa na genge la Watu weñye Maslahi binafsi nje ya serikali àmbalo ñdilo liliwasiliana na Kampuni ya Tigo kutaka tàarifa za LISU.

Hii inatoa Somo Kwa wafanyakazi na Wamiliki WA makampuni kuwa Makini Wakati wanapata oda au maigizo Kutoka kwèñye mamlaka za kiserikali. Kwamba maagizo hayo yawe Kwa njia Rasmi ikiwemo kuandikwa Kwa barua kama ushahidi.

Haya
Masuala ya barua ni ya enzi za stone age siku hizi mawasiliano yapo digitalized, kuna email, voice note, sms etc.
 
Sehemu ya mada ya Clifford kwenye Tribunal

Clifford said he compiled a report that stated that the business had been supplying Lissu's mobile location data at the request of the Tanzania Communications Regulatory Authority without authorization or legal documentation to support the request.

Huu ulikuwa ushahidi wake mwanzoni mwa mwezi wa tisa.
 
Kwa jinsi ninavyojua wabongo, nakuhakikishia hiyo barua haitakuwepo
Ngoja kwanza taarifa zitakuja tu. Kufukuzwa kazi kwa Clifford ni kwasababu ushahidi wa uongozi wa kampuni kutoa taarifa kwa waliotaka kumuuwa Lissu upo.

Hayo ni mambo ambayo yana procedures zake na lazima kuwa na documentation na approval procedure. Siyo kama kwenda sokoni kununua ngogwe za mafungu.

Lazima kuna process ya approval ambayo itahitaji taarifa za muombaji na taarifa za wale waliopotisha ama ku approve. Ambao wana mamlaka ya kufanya hivyo.
Sijui ni kitu gani kisichoeleweka hapa?
 
Kwema Wakuu!

Serikali haitahusika Kwa namna yoyote Ile Ikiwa haikuandika barua Wala Kûtuma email kwenda Kampuni ya Tigo kutaka kuingilia faragha na tàarifa za LISU.

Mambo ya serikali Kwenda Kwa makampuni au mashirika hufanywa kiofisi na barua lazima ihusike.

Mawasiliano yoyote àmbayo hayatahusisha njia rasmi huweza kuleta mkingamo wq kisheria.

Hivyo itasemwa kwamba kulikuwa na genge la Watu weñye Maslahi binafsi nje ya serikali àmbalo ñdilo liliwasiliana na Kampuni ya Tigo kutaka tàarifa za LISU.

Hii inatoa Somo Kwa wafanyakazi na Wamiliki WA makampuni kuwa Makini Wakati wanapata oda au maigizo Kutoka kwèñye mamlaka za kiserikali. Kwamba maagizo hayo yawe Kwa njia Rasmi ikiwemo kuandikwa Kwa barua kama ushahidi.

Haya
Jinai haihitaji mawasiliano rasmi ya kiofisi kinachoangaliwa palikuwa na nia ya kupanga njama za mauaji?

Yaani watu wakati wa kula njama za jaribio la mauaji waanze kuandikiana barua za kiofisi kweli?

Kesi zote za majaribio ya mauaji zilizoamuliwa hakuna mahali wanapoangalia eti mawasiliano rasmi ya kiofisi bali ni mtiririko mzuri wa ushahidi kuthibitisha kweli palikuwa na nia ovu ya kupanga njama ya mauaji.
 
Kuna kesi za udukuzi wa taarifa za faragha zimetokea na wahusika wamekumbana na mkono wa sheria hadi kuhukumiwa na wala hapakuhitaji official communication kati ya wapanga njama za udukuzi.

Kinachotakiwa ni upande wa mlalamikaji kuithibitishia mahakama kwamba palikuwa na nia ovu ya kutenda jinai kati ya pande zinazolalamikiwa.

Ningekuwa na muda wa kutosha ningekuwekea hapa reference ya precedent uone namna kesi za aina hii zinavyoendeshwa na watuhumiwa kupatikana na hatia.
 
Ati kwamba Tundu Lissu ndio amepata hizi Taarifa?

Siku zote hizo alikuwa wapi?

Hivi ni nani anatakiwa ajue Location ya mtumia simu? Jiulize tu.
=============

Haya kama maigizo mengine wanayofanya wale wanaofaidika na "maridhiano' ya nyuma ya pazia.

Hatahivyo haya yote yanakuja kwasababu tu walishindwa kufanya Jogging/maandamano/maombolezo.

Wanatafuta headlines.
 
Kwema Wakuu!

Serikali haitahusika Kwa namna yoyote Ile Ikiwa haikuandika barua Wala Kûtuma email kwenda Kampuni ya Tigo kutaka kuingilia faragha na tàarifa za LISU.

Mambo ya serikali Kwenda Kwa makampuni au mashirika hufanywa kiofisi na barua lazima ihusike.

Mawasiliano yoyote àmbayo hayatahusisha njia rasmi huweza kuleta mkingamo wq kisheria.

Hivyo itasemwa kwamba kulikuwa na genge la Watu weñye Maslahi binafsi nje ya serikali àmbalo ñdilo liliwasiliana na Kampuni ya Tigo kutaka tàarifa za LISU.

Hii inatoa Somo Kwa wafanyakazi na Wamiliki WA makampuni kuwa Makini Wakati wanapata oda au maigizo Kutoka kwèñye mamlaka za kiserikali. Kwamba maagizo hayo yawe Kwa njia Rasmi ikiwemo kuandikwa Kwa barua kama ushahidi.

Haya
Duh!
Kumbe wewe ni wale wale; tena wasiokuwa na hata ushawishi wa kitaaluma kuonyesha ushahidi wa kuonyesha wanao uelewa wa wanacho kizungumzia juu yake!

Eti "Mwandishi na Mtungaji"

Nchi hii tukiendelea hivi hivi, na viwango vya namna hii kuwa ndiyo mifano ya watu makini, hatutafika popote. Hili ni taifa linalo didimia kwa kasi sana sasa hivi.

Mungu tuepushe na janga hili.

Pole sana.
 
Sasa Jpm mwenyewe akikana kuwa hajawahi kuwasiliana na Tigo itakuwaje? Itathibitishwaje?
Bila shaka LIVE LOCATION ilikuwa connected na namba nyingine ya tiGo aliyekuwa ndiyr John Walker wa kufuatilia namba ya Lissu huyo ndiye atasema kibali cha kufanya hivyo alipata kwa nani. Naona Michael Clifford ameamua kujilipua kivyote.
 
Ati kwamba Tundu Lissu ndio amepata hizi Taarifa?

Siku zote hizo alikuwa wapi?

Hivi ni nani anatakiwa ajue Location ya mtumia simu? Jiulize tu.
=============

Haya kama maigizo mengine wanayofanya wale wanaofaidika na "maridhiano' ya nyuma ya pazia.

Hatahivyo haya yote yanakuja kwasababu tu walishindwa kufanya Jogging/maandamano/maombolezo.

Wanatafuta headlines.

Kwamba NI kick tuu
 
Bila shaka LIVE LOCATION ilikuwa connected na namba nyingine ya tiGo aliyekuwa ndiyr John Walker wa kufuatilia namba ya Lissu huyo ndiye atasema kibali cha kufanya hivyo alipata kwa nani. Naona Michael Clifford ameamua kujilipua kivyote.

Anhaa! Ndîo maana nikasema Kama Hakuna barua Hapo serikali kujinasua inajinasua tuu Kisha wahusika watahusika personal
 
Duh!
Kumbe wewe ni wale wale; tena wasiokuwa na hata ushawishi wa kitaaluma kuonyesha ushahidi wa kuonyesha wanao uelewa wa wanacho kizungumzia juu yake!

Eti "Mwandishi na Mtungaji"

Nchi hii tukiendelea hivi hivi, na viwango vya namna hii kuwa ndiyo mifano ya watu makini, hatutafika popote. Hili ni taifa linalo didimia kwa kasi sana sasa hivi.

Mungu tuepushe na janga hili.

Pole sana.

Mimi siô mtaalamu wa Sheria,
Zaidi ukisoma nilichoandika hasa kichwa cha habari unaweza kujua Kwa kifupi ninamaana gani
 
Back
Top Bottom