Gentleman;
You are very wrong..!
Wanaoandamwa na madeni ni Chawa wa CCM ukiwemo wewe
Tlaatlaah. Ndiyo sababu umechagua kuwa chawa (mdudu dhalili na mchafu aishie kwa kunyonya damu za viumbe vingine)..
Umechagua u - chawa ili ujidhalilishe kwa kulamba miguu ya bwana zako upate chakula cha kupelekea mkeo/mumeo na watoto wako..
Sisi ni wapambanaji wa kupambania haki na ustawi wa kila mtu. Tunakula kwa jasho letu, kwa kufanya kazi kwa nguvu na akili zote. Hatuko tayari kupiga magoti kwa wezi na matapeli wa CCM ili watupe mapesa yao ya wizi na ufisadi...
That's the difference between you & us...
Yaani hata umesahau kuwa ulitangaza humuhumu JF kuwa unawania ubunge, kazi ya kisiasa lakini leo unasema u "mgeni nayo"
Mnafiki mkubwa wewe..
Sijui umetumia lugha gani hapa. Hueleweki.....
Kwa heri, usiku mwema🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻