Tetesi: Sakata la Makonda, Clouds na Nape kutua Bungeni na kupotelea huko

Watu bado wanaota na kuwaza vitu visivyowezekana hapa tanganyika kwetu.
 
Tuongelee CCTV video, ndo ilikuwa movie ya maigizo tu au?
Hivi mkimpeleka Makonda mahakani na akasema yule kwenye CCTV sio yeye, ila ni mtu anafanana na yeye. Akasema wakati hiyo kitu inatokea yeye alikuwa nyumbani na mkewe na marafiki zake wanaangalia mpira kwenye Tv, mtasema nini? Maana hakuna aliye mkamata na kuthibitisha kama ni yeye. Hata hao walinzi kama walofundishwa cha kusema. Mara walionyeshewa bunduki, Mara walipigwa mtama, mara hapana hawakuonyeshewa bunduki wala kupigwa mtama. Mara hakuna mali iliyopotea au kuharibika. Kelele kila mahali. Hakuna ushahidi unaoweza kusimama mahakamani.
 
Sasa na ushahidi wote huo wahusika wanasubiri nini kwenda mahakamani? kama mahakama za Tanzania hawaziamini, kwanini wasitumie mahakama ya Afrika Mashariki? Watu wanoogopa kwenda mahakamani kwasababu mahakama itafichuwa na mengine yasiotakiwa kufichuliwa.
 
Next to being caught redhanded, cctv footage is the most damning evidence there is. huyu twin makonda would be forced amlete mahakamani to refute the cctv footage. And it takes a peanut brain like you to believe in tht shit you just wrote.
 

Tuliwahi kuwahukumu walimu kwa kumshambulia Mwanafunzi kwa ushahidi wa Video ya mtandaoni Hii video ingine si Ushahidi? Tunasahau Haraka mno
 
Next to being caught redhanded, cctv footage is the most damning evidence there is. huyu twin makonda would be forced amlete mahakamani to refute the cctv footage. And it takes a peanut brain like you to believe in tht shit you just wrote.

Tuliwahi kuwahukumu walimu kwa kumshambulia Mwanafunzi kwa ushahidi wa Video ya mtandaoni Hii video ingine si Ushahidi? Tunasahau Haraka mno
Mpunguze jazba za kibinadamu kwenye mkono wa sheria, mimi sikuzungumzia kama huyo ni Makonda au sio. Kama ushahidi ndio hiyo CCTV basi hautoshi kumsimamisha mtu mahakamani, kwasababu the image is not clear enough to pass the judgment. Umeleta mfano mzuri tu wa waalimu wa Mbeya. Tofauti ya hizo video mbili ni kwamba moja imekuwa recorded at broad daylight, na nyingine is at very law fuzzy light. Leo hii tukuchukulie askari kumi, na wote wamevaa kama hao waliokuwa kwenye hiyo CCTV, ukambiwa uwatambuwe kati ya hao kumi ni nani aliyeonekana kwenye CCTV, utaweza? Ndio maana Mwakyembe anasema ushahidi hautoshi kumpeleka mtu mahakamani maana atashinda, Chadema wanalijuwa hilo na ndio maana hawakwenda mahakamani kinyume na Lissu aluposema akitoka Arusha braki ya kwanza mahakamani. You can't proven guilty without reasonable doubt, with that kind of material.
 
self pollution and confusion. Hao wachawi wako wa Pemba kama wangekuwepo si wangekuwa wamemuondoa Dr. Shein madarakani aliyechukua kiti cha urais licha ya kushindwa kwenye uchaguzi Mkuu 2015! Maajabu ya JF ni vichwa vya watu waliomo humu.
 
Hawawezi kwenda mahakamani kwa kuwa hawana uhakika na jambo wanalozungumzia.ukishindwa kesi inabidi ulipe fidia.
Ndio maana Boniface Jacob kaamua kwenda kutishia nyau tume ya maadili,ingawa aliapa kwenda mahakamani lakini kaogopa kushindwa kesi atadaiwa mamilioni.
Bunge ni sehemu sahihi ya kusulubu na kunyanyasa watu kwa kuwa yanayoongelewa huko hayahojiwi popote
 
na wewe kwanini usijiulize kama alikuwa na kawaida ya kuenda kwanini safari hii waseme amevamia?

Hivi rafiki jambazi akija kujambazi atakuwa amekuja kukutembelea ee? Think big
 
...kwa kuoneza hoja yako, hata kama video hizo zingekuwa clear na zimepigwa kwenye day light/wazi, ni kwa vipi DPP atathibitisha jinai mahakamani kwa kuona zile picha, beyond reasonable doubt, kuwa kitendo cha RC Makonda na askari kuonekana wanaingia kinabeba taariga ya kweli na haki kuwa kulikuwa na nia/dhamira ya kufanya uhalifu, na uhalifu huo ukafanyika? Kumbuka ripoti ya Nape licha ya mapungufu yake inatamka bayana kuwa RC Makonda alikuwa regular visitor wa hapo Mawingu, na tena inathibitisha kuwa hakuna uhalifu wowote uliofanyika. Waswahii wameamua kujitundika kwa kumeza mihemuko badala ya kutumia akili zao tena za kawaida tu.
 
na wewe kwanini usijiulize kama alikuwa na kawaida ya kuenda kwanini safari hii waseme amevamia?

Hivi rafiki jambazi akija kujambazi atakuwa amekuja kukutembelea ee? Think big
Na wewe kwa nini usijiulize sababu ya kituo cha radio na runinga Mawingu kudai 'kuvamiwa' Alhamisi usiku lakini taarifa za 'kuvamiwa' wakazitoa Jumapili? Muda wa siku 2 zote walishindwa nini kutoa taarifa polisi?
 
 
Nimekupata mkuu
 
Mtaandika mtajipiga vibao vya uso kwa kuchoka kuchokonoa pasipo na cha/pa kuchokonoa.

Makonda oyeeeeeee
 
unasema ni kama kwake so hakuvamia polisi wenye silaha wa kazi gani? kuanzia lini mtu aende kwake na silaha labda apate taarifa kwamba mke wake yuko na mchepuko? na hata kama walikua kwenye operation kwa sababu yeye ni kiongozi iweje waingie na silaha sehemu ambapo kipindi kinaruka live? maana maelezo yanasema hivo. acha kutetea utumbo penye ukweli wekeni wazi
 
hii nchi yetu bwana kazi kwelikweli ssa tume imeundwa mtu anakimbia mahojiano ssa kma angekuwa innocent si angejisafisha huko??? hya kamati imetoa ripoti badala ifanyiwe kazi chs kushangaza muunda kamati ndoo katimuliwa....... afu na nyie badala ya kuhoji mnaanza kutetea ujinga

mweeee get serious
 
sasa naelewa kwanni tanzania ina kila kitu ila mwaka wa 50 bado ni maskini sana
 
Hii kitu hukuisikia?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…