Tetesi: Sakata la Makonda, Clouds na Nape kutua Bungeni na kupotelea huko

Tetesi: Sakata la Makonda, Clouds na Nape kutua Bungeni na kupotelea huko

Wakitaka hili swala lifanikiwe, wahakikishe ule mchepuko wa pale bungeni aidha wamweke kitandani au wamtengezee zengwe asiwepo wakati hii hoja ikiwa inaongelewa mjengoni.... Nje ya hapo hakutakuwa na jipya
kwani mkuu bunge lina mamlaka gani kwa makonda? linaweza kumfanya nini?

naona watanzania wengi ni wajinga katika hili swala

sehemu pekee ya kumuwajibisha makonda ni mahakama, andika chini "mahakama"
 
Mpunguze jazba za kibinadamu kwenye mkono wa sheria, mimi sikuzungumzia kama huyo ni Makonda au sio. Kama ushahidi ndio hiyo CCTV basi hautoshi kumsimamisha mtu mahakamani, kwasababu the image is not clear enough to pass the judgment. Umeleta mfano mzuri tu wa waalimu wa Mbeya. Tofauti ya hizo video mbili ni kwamba moja imekuwa recorded at broad daylight, na nyingine is at very law fuzzy light. Leo hii tukuchukulie askari kumi, na wote wamevaa kama hao waliokuwa kwenye hiyo CCTV, ukambiwa uwatambuwe kati ya hao kumi ni nani aliyeonekana kwenye CCTV, utaweza? Ndio maana Mwakyembe anasema ushahidi hautoshi kumpeleka mtu mahakamani maana atashinda, Chadema wanalijuwa hilo na ndio maana hawakwenda mahakamani kinyume na Lissu aluposema akitoka Arusha braki ya kwanza mahakamani. You can't proven guilty without reasonable doubt, with that kind of material.
I have seen a not so fuzzy video, tofauti na inayo sambaa mitandaoni. And unless Makonda ana twin, thats all the evidence we need. Simu ya tecno na iphone ni sawa? haya kaka, cctv quality pia inatofautiana na version. Read more... We are in 20...freaking...17. wacha akili za karne ya 18. Information is power ndugu yangu
 
And why Lissu or Ubungo Mayor hasn't gone to court? Any clue?
 
Blackmail zote za makonda kumbe huwa anatumwa na Msukuma mwenzake hata GSM sasa wanapewa Tenda kimya kimya wapate pesa za kulea nyumba ndogo za msukuma mkubwa na msukuma mdogo, zile ndege zilizonunuliwa kwa cash GSM walipata 10% kubwa na kuna tenda kibao za kimya kimya ipo pesa nyingi ya kuwanunua wabunge wa CCM pia Ruge wa clouds ili wasitoe ushirikiano kwenye Dhambi zote zilizotendwa na Daudi Albert Bashite, ni vigumu bungeni hoja kupenya hasa endapo Tulia Naibu Spika atakuwa mjengoni, njia pekee ya kumaliza Tatizo ni kwenda Pemba watafutwe wazee wamsomee Elbadili Daud ingawa na mchawi sana lakini kwa kuwa dhambi zake ni za kweli lazima Elibadili itamshika tu na kumpa fundisho kama yule makamu wa Rais kule Zanzibar
Lile pepo la gwajima nalo liligoma kumwingia, kwamba mungu wa gwajima ni mdogo kuliko yule wa makonda!
 
Je kuna uhakika gani kama alivamia au alikwenda? Clouds wenyewe wanasema Makonda pale palikuwa kama kwake alikuwa anaweza kuja au kukaa mpaka saa 9 usiku je ni uharibifu gani umefanyika Clouds wanasema hakuna sasa utasemaje hapo?

Kwanza nipe tafasiri ya kuvamia na kutembelea kuhusu kutembea na Police wenye silaha hyo ni kawaida yule ni kiongozi na kuna OPS anaweza kuzifanya usiku usiku
Umeendaje, ndo inatoa tafsiri kama ulivamia au ulienda... UNADHANI MARA NYINGINE ZOTE ALIZOENDA, KWANINI HAIKUSEMWA KUWA KAVAMIA?
 
Je kuna uhakika gani kama alivamia au alikwenda? Clouds wenyewe wanasema Makonda pale palikuwa kama kwake alikuwa anaweza kuja au kukaa mpaka saa 9 usiku je ni uharibifu gani umefanyika Clouds wanasema hakuna sasa utasemaje hapo?

Kwanza nipe tafasiri ya kuvamia na kutembelea kuhusu kutembea na Police wenye silaha hyo ni kawaida yule ni kiongozi na kuna OPS anaweza kuzifanya usiku usiku
Jipange tena
 
They promise the world they will file the case, were there lying to us? That's brings another question, why Clouds are not filling a case? Again any clue?
Did you watch Ruge on clouds 360..didnt he go to even central policestation to give a statement au? JAmani first go do your research (youtube is a good start, you do know how to use that rigt), stop coming at me with baseless retorts. The international journalists community wouldn't pick it up if this did not happen
 
We are talking about the court of law here not about journalism which is full of fake news. Anyone can record a statement to the police. Even you can walk in police station right now and say someone insult you. But is that leads you to a criminal court maybe not, you need to file a damn case. So were is the case? The people who were evolved have not file the case for the reason they know themselves, but the minister of info gave us the hint yesterday ...the evidence presented isn't enough to be put before the judge. I've ask you were is Boniface case he promised us, were is Tundu Lissu case he promised us before he went to TLS election.
 
Hivi mkimpeleka Makonda mahakani na akasema yule kwenye CCTV sio yeye, ila ni mtu anafanana na yeye. Akasema wakati hiyo kitu inatokea yeye alikuwa nyumbani na mkewe na marafiki zake wanaangalia mpira kwenye Tv, mtasema nini? Maana hakuna aliye mkamata na kuthibitisha kama ni yeye. Hata hao walinzi kama walofundishwa cha kusema. Mara walionyeshewa bunduki, Mara walipigwa mtama, mara hapana hawakuonyeshewa bunduki wala kupigwa mtama. Mara hakuna mali iliyopotea au kuharibika. Kelele kila mahali. Hakuna ushahidi unaoweza kusimama mahakamani.
ndio maana hajajitokeza hadharani kukana kwamba siyo yeye. kama alivoshindwa kujitokeza kukana sakata la jina au kutoa vyeti hadharani. kuukana ukweli si kazi rahisi. pia usipende kujifanya rahisi kufanywa mjinga kaka. angetamani sana kukufanya mjinga lakini hata yeye anaona haiwezekani sasa sijui wewe mwenzetu wasiwasi usio na mashiko unautoa wapi
 
Chanzo cha yote ni blackmail za makonda Daudi kama kuna wa kulaumiwa ni hiyo ndoa ya wasukuma wawili wanaowabambikia watu kesi na kutumana kwenda clouds kufanya fujo kisha wanataka ushahidi, cctv zipo, walioporwa magari wapo, waliobambikiwa kesi wapo, na ushahidi wa mali zote za Daud upo, lakini kwa kuwa amefunga ndoa na msukuma mkubwa ni vigumu haki kutendeka popote Tanzania.
MAHAKAMA IPO KWA NN HAWAENDI, KM WAO CLOUDS NI WASAFI, NA KM USHAHIDI WANAO.

KUONGELEA HILI SWALA KWENYE MITANDAO HAITAWASAIDIA...
 
Vyanzo vinadai kuwa kulipeleka swala hili mahakamani, litanyima fursa ya Bunge kulizungumzia. Binafsi sitegemei jipya kupitia Bunge hili na kama ikitokea basi utakuwa muujiza wa kwanza wa Bunge letu katika Serikali hii "tata". Hoja ya "collective responsibility" ni changamoto katika mhimili huu mzito kuliko yote (Sauti ya Wananchi yenye Mamlaka kamili) kutokana na maslahi ya kivyama na hofu.

Nashauri mjadala huu ufungwe ama wenyekuhitaji kupata haki ama maamuzi sahihi yasiyo na shaka basi angalau waelekee kwenye mhimili wa "Mahakama"....kwa hoja kuu tatu:-

1. Kufungua shauri linalomtaka Makonda kuwasilisha vyeti vyake vya elimu hasa kidato cha nne (Wanasheria wapo na wanaweza kusaidia)

2. Clouds kumfungulia kesi ya jinai Ndugu Makonda kwa kuvamia kituo cha habari (Hili linahusu kituo cha habari chenyewe hasa katika wakati huu ambao Jamhuri inaona si kosa)

3. Nape kufungua shauri juu ya kutishiwa maisha na Askari kanzu (Hili lina muhusu Nape hasa ukizingatia mazingira ya Jamhuri kutokuona kama ni kosa)

Ndugu wanabodi, pamoja na madhaifu makubwa ya katiba yetu, bado katiba hii ya mwaka 1977 haijanyima haki kwa Wananchi wake. Bunge lina mamlaka kamili lakini aliwezi kutekeleza majukumu yake kikamilifu kutokana na sababu nilizozieleza hapo juu. Mahakama kama chombo chakutoa haki, bado kina fursa ya kutafsiri sheria, kukutanisha pande zote mbili ama kuchukua hatua (kutoa hukumu ama kuachia huru).

Wito wangu: " Kwa Bunge hili tulilonalo, Mahakama ni bora zaidi"

KESI MBILI TAFAUTI
1. KOSA LA VYETI HILI LIPO TUME YA MAADILI KWA SASA NA SIO MAHAKAMANI...
2. BUNGENI NI KUDHARAU BUNGE NA KUJIPATIA MALI KWA NJIA ZA RUSHWA
 
ndio maana hajajitokeza hadharani kukana kwamba siyo yeye. kama alivoshindwa kujitokeza kukana sakata la jina au kutoa vyeti hadharani. kuukana ukweli si kazi rahisi. pia usipende kujifanya rahisi kufanywa mjinga kaka. angetamani sana kukufanya mjinga lakini hata yeye anaona haiwezekani sasa sijui wewe mwenzetu wasiwasi usio na mashiko unautoa wapi
Hivi, mtu akifuata akakuambia wewe sio mwanaume tunajiwa ni mwanamke, utakurupuka kuwatolea nguo na kuwaonyesha kama wewe ni mwanaume? Si waje na ushahidi wao wauonyeshe kama wewe kweli sio mwanaume. Kama watu walilia vyeti, waje na uthibitisho wao, kama ni jina waje na vielelezo vyao na wavipeleke mahakani.
 
We are talking about the court of law here not about journalism which is full of fake news. Anyone can record a statement to the police. Even you can walk in police station right now and say someone insult you. But is that leads you to a criminal court maybe not, you need to file a damn case. So were is the case? The people who were evolved have not file the case for the reason they know themselves, but the minister of info gave us the hint yesterday ...the evidence presented isn't enough to be put before the judge. I've ask you were is Boniface case he promised us, were is Tundu Lissu case he promised us before he went to TLS election.

Laughable! and he is a god I suppose this ministe you sayr, so his word goes. I live in a world of information and discern from it what makes sense and what doesn't. I can never be blind to humanity out of fear or for the masses. It doesnt take a genius to know, a crime was committed and I saw what I attest to in my statements here. Go on about your business now. I cant cure daftness!
 
Tatizo waha wasukuma wamefanikiwa kuwa juu ya sheria so hata uje na ushahidi gani hakuna hakimu anayeweza kuegemea upande wa mlalamikaji hilo lipo wazi,hivyo hata clouds kutoenda mahakamani ni kwamba wameshaona hakuna uwezekano wa kupata haki,ubabe,udicteta ndo habari ya town,inaitwa gusa unase,
 
Kwanza nipe tafasiri ya kuvamia na kutembelea kuhusu kutembea na Police wenye silaha hyo ni kawaida yule ni kiongozi na kuna OPS anaweza kuzifanya usiku usiku
Kuvamia ni tresspassing, kupita kwenye eneo linalomilikiwa na mt mwengine bila ruhusa yake kwa wakati ule. Hata kama unadesturi ya kutembelea hilo kila siku. Tresspassing haina Kiongozi wala Polisi. Kama walikuwa na wasiwasi wa chochote kibaya basi unaweza kuvamia lakini lazima uwe na Kibali chaPlisi au Mhakama na ukioneshe kwa muhusika unapotaka kuvamia.

Kutembelea ofisi ina wezekana kuingia wakati mwafaka na ukabaki na wenyeji wako masaa yote. Lakini huwezi kuitembelea ofisi wakati wa "awkward Hours" na wenyeji wako " peers" hawapo na ukashurutisha yafanywe kwa matakwa yako.
 
Hivi, mtu akifuata akakuambia wewe sio mwanaume tunajiwa ni mwanamke, utakurupuka kuwatolea nguo na kuwaonyesha kama wewe ni mwanaume? Si waje na ushahidi wao wauonyeshe kama wewe kweli sio mwanaume. Kama watu walilia vyeti, waje na uthibitisho wao, kama ni jina waje na vielelezo vyao na wavipeleke mahakani.
kabla ya kutumia msemo jaribu kwanza kupima relevance ya msemo huo. msemo wako wa ''utakurupuka kuwatolea nguo na kuwaonyesha kama wewe ni mwanaume?'' ni mkubwa sana kulinganisha na issue ndogo sana kama ya kutafuta ukweli wa ufojaji wa vyeti wa daudi. hivi unadhani daudi angekua anasingiziwa na kwamba angekua na vyeti halali angekaa kimya na kubaki kuishia kutafuta huruma ya mungu kwa kwenda makanisa kibao ndani ya siku moja na kuishia kujidhalilisha kwa kulia hadharani kama mtoto mdogo?? mtu huyo kweli vyeti halali anavyo tu vimekaa sandukuni? suala la vyeti ni rahisi sana ni kama kumsukumiza mlevi kwenye mteremko tu. gavana wa nairobi aliposhutumiwa fasta akamwaga vyeti hadharani. huyo daudi wako anashindwa nini?
unasema ''si waje na ushahidi wao''.... duh. ushahidi gani ndugu? ulishamsikia makonda mwenyewe akidai wamsemao walete ushahidi?? siamini kama makonda na ma fa fa fa yote olevel anakuzidi kufikiri
 
DPP kapewa mkwara kuwa kesi zote za Daud Bashite zikipelekwa mahakamani lazima ashinde na endapo mlalamikaji atashinda kesi dhidi ya Daud atambue kuwa jaji mkuu na DPP watatumbuliwa Jipu
Ndio maana wanasema wabongo hawana furaha maana " Wana amini vijimaneno maneno ambavyo hata sijui wanavitoa wapi - Wabongo wengi wana HALLUCINATE "
 
Back
Top Bottom