Tetesi: Sakata la Makonda, Clouds na Nape kutua Bungeni na kupotelea huko

Wakitaka hili swala lifanikiwe, wahakikishe ule mchepuko wa pale bungeni aidha wamweke kitandani au wamtengezee zengwe asiwepo wakati hii hoja ikiwa inaongelewa mjengoni.... Nje ya hapo hakutakuwa na jipya
kwani mkuu bunge lina mamlaka gani kwa makonda? linaweza kumfanya nini?

naona watanzania wengi ni wajinga katika hili swala

sehemu pekee ya kumuwajibisha makonda ni mahakama, andika chini "mahakama"
 
I have seen a not so fuzzy video, tofauti na inayo sambaa mitandaoni. And unless Makonda ana twin, thats all the evidence we need. Simu ya tecno na iphone ni sawa? haya kaka, cctv quality pia inatofautiana na version. Read more... We are in 20...freaking...17. wacha akili za karne ya 18. Information is power ndugu yangu
 
And why Lissu or Ubungo Mayor hasn't gone to court? Any clue?
 
Lile pepo la gwajima nalo liligoma kumwingia, kwamba mungu wa gwajima ni mdogo kuliko yule wa makonda!
 
Umeendaje, ndo inatoa tafsiri kama ulivamia au ulienda... UNADHANI MARA NYINGINE ZOTE ALIZOENDA, KWANINI HAIKUSEMWA KUWA KAVAMIA?
 
Jipange tena
 
They promise the world they will file the case, were there lying to us? That's brings another question, why Clouds are not filling a case? Again any clue?
Did you watch Ruge on clouds 360..didnt he go to even central policestation to give a statement au? JAmani first go do your research (youtube is a good start, you do know how to use that rigt), stop coming at me with baseless retorts. The international journalists community wouldn't pick it up if this did not happen
 

We are talking about the court of law here not about journalism which is full of fake news. Anyone can record a statement to the police. Even you can walk in police station right now and say someone insult you. But is that leads you to a criminal court maybe not, you need to file a damn case. So were is the case? The people who were evolved have not file the case for the reason they know themselves, but the minister of info gave us the hint yesterday ...the evidence presented isn't enough to be put before the judge. I've ask you were is Boniface case he promised us, were is Tundu Lissu case he promised us before he went to TLS election.
 
ndio maana hajajitokeza hadharani kukana kwamba siyo yeye. kama alivoshindwa kujitokeza kukana sakata la jina au kutoa vyeti hadharani. kuukana ukweli si kazi rahisi. pia usipende kujifanya rahisi kufanywa mjinga kaka. angetamani sana kukufanya mjinga lakini hata yeye anaona haiwezekani sasa sijui wewe mwenzetu wasiwasi usio na mashiko unautoa wapi
 
MAHAKAMA IPO KWA NN HAWAENDI, KM WAO CLOUDS NI WASAFI, NA KM USHAHIDI WANAO.

KUONGELEA HILI SWALA KWENYE MITANDAO HAITAWASAIDIA...
 

KESI MBILI TAFAUTI
1. KOSA LA VYETI HILI LIPO TUME YA MAADILI KWA SASA NA SIO MAHAKAMANI...
2. BUNGENI NI KUDHARAU BUNGE NA KUJIPATIA MALI KWA NJIA ZA RUSHWA
 
Hivi, mtu akifuata akakuambia wewe sio mwanaume tunajiwa ni mwanamke, utakurupuka kuwatolea nguo na kuwaonyesha kama wewe ni mwanaume? Si waje na ushahidi wao wauonyeshe kama wewe kweli sio mwanaume. Kama watu walilia vyeti, waje na uthibitisho wao, kama ni jina waje na vielelezo vyao na wavipeleke mahakani.
 

Laughable! and he is a god I suppose this ministe you sayr, so his word goes. I live in a world of information and discern from it what makes sense and what doesn't. I can never be blind to humanity out of fear or for the masses. It doesnt take a genius to know, a crime was committed and I saw what I attest to in my statements here. Go on about your business now. I cant cure daftness!
 
Tatizo waha wasukuma wamefanikiwa kuwa juu ya sheria so hata uje na ushahidi gani hakuna hakimu anayeweza kuegemea upande wa mlalamikaji hilo lipo wazi,hivyo hata clouds kutoenda mahakamani ni kwamba wameshaona hakuna uwezekano wa kupata haki,ubabe,udicteta ndo habari ya town,inaitwa gusa unase,
 
Kwanza nipe tafasiri ya kuvamia na kutembelea kuhusu kutembea na Police wenye silaha hyo ni kawaida yule ni kiongozi na kuna OPS anaweza kuzifanya usiku usiku
Kuvamia ni tresspassing, kupita kwenye eneo linalomilikiwa na mt mwengine bila ruhusa yake kwa wakati ule. Hata kama unadesturi ya kutembelea hilo kila siku. Tresspassing haina Kiongozi wala Polisi. Kama walikuwa na wasiwasi wa chochote kibaya basi unaweza kuvamia lakini lazima uwe na Kibali chaPlisi au Mhakama na ukioneshe kwa muhusika unapotaka kuvamia.

Kutembelea ofisi ina wezekana kuingia wakati mwafaka na ukabaki na wenyeji wako masaa yote. Lakini huwezi kuitembelea ofisi wakati wa "awkward Hours" na wenyeji wako " peers" hawapo na ukashurutisha yafanywe kwa matakwa yako.
 
kabla ya kutumia msemo jaribu kwanza kupima relevance ya msemo huo. msemo wako wa ''utakurupuka kuwatolea nguo na kuwaonyesha kama wewe ni mwanaume?'' ni mkubwa sana kulinganisha na issue ndogo sana kama ya kutafuta ukweli wa ufojaji wa vyeti wa daudi. hivi unadhani daudi angekua anasingiziwa na kwamba angekua na vyeti halali angekaa kimya na kubaki kuishia kutafuta huruma ya mungu kwa kwenda makanisa kibao ndani ya siku moja na kuishia kujidhalilisha kwa kulia hadharani kama mtoto mdogo?? mtu huyo kweli vyeti halali anavyo tu vimekaa sandukuni? suala la vyeti ni rahisi sana ni kama kumsukumiza mlevi kwenye mteremko tu. gavana wa nairobi aliposhutumiwa fasta akamwaga vyeti hadharani. huyo daudi wako anashindwa nini?
unasema ''si waje na ushahidi wao''.... duh. ushahidi gani ndugu? ulishamsikia makonda mwenyewe akidai wamsemao walete ushahidi?? siamini kama makonda na ma fa fa fa yote olevel anakuzidi kufikiri
 
DPP kapewa mkwara kuwa kesi zote za Daud Bashite zikipelekwa mahakamani lazima ashinde na endapo mlalamikaji atashinda kesi dhidi ya Daud atambue kuwa jaji mkuu na DPP watatumbuliwa Jipu
Ndio maana wanasema wabongo hawana furaha maana " Wana amini vijimaneno maneno ambavyo hata sijui wanavitoa wapi - Wabongo wengi wana HALLUCINATE "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…