Sakata la mawakala wa mizigo: "Mwanamfalme" amtishia kiongozi mwandamizi wa mawakala 'clearing'

utaogopa mpaka lini mkuu jiachie andika na weka mambo wazi ili wale watanzania walioko nje waelewe unachozungumzia by the way vipi huyo ri bado anatembea na wale watu wenye miili mikubwa ila their moment is nearer
 

Issue ipo sawa na wahusika wa ukwepaji kodi ni kampuni LONDON FREIGHT nduguye Home Shopping Centre, usibishe usolijua na inasemeka ilikuwa inakingiwa kifua na mr dhaifu, mkwe na wanawe.Ndo hao walotoa mchango wa ujenzi kwa waathirika wa mafuriko jangwani.
 
Last edited by a moderator:

Hata wewe ni udaku huna unalolijua ni hadithi za paukwa pakawa hapo kwenye red peke inatosha kuthibitisha maneno yangu

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hata wewe ni udaku huna unalolijua ni hadithi za paukwa pakawa hapo kwenye red peke inatosha kuthibitisha maneno yangu

Chama
Gongo la mboto DSM

Rudi shule kasome upya, shughuli zangu ni Clearing Forwarding Agent tangu 1990, suala la kukingiwa kifua na kiongozi huwezi kuwa na uhakika moja kwa moja ila mazingira ya tukio hilo.Fanya uchunguzi kama upo Dar nenda kamwone Masamaki- TRA juu ya tatizo la London Freight, na chanzo cha mzozo huu ni kikao kati ya CFA na Mwakyembe.Tuliza akili hapana longolongo hapo, na kama una rafiki yako anafanya biashara Kariakoo muulize na pia walikuwa hawapewi list mara ukiisha kubaliana nao wewe unatakiwa kusubiri mzigo wako tu. London Freight mizigo yao ilikuwa haikaguliwi na ofisa yeyote alikuwa anaogopa mizigo ya hao jamaa kuifanyia ukaguzi. Na ilikuwa Kitilia ajiuzuru ya ubabe wa London Freight na ukitaka kujua zaid nitafute nikupeleke kwa wahusika.
 
Maisha bora hutayapata kwa kuandika udaku JF fanyeni kazi

Chama
Gongo la mboto dsm

Hapana longolongo juu ya suala hilo la London Freight kwani nyaraka zao zilikuwa na walakini mkubwa ndo chanzo cha mizigo ya wafanyabiashara Kariakoo kukwama mizigo yao, hiyo kampuni walikuwa kwenye nyaraka wanaandika pembejeo za kilimo huku uhalisia ni vitenge.
 
hapa Ritz ana pa kutokea, alipona kwa Dr. Slaa, Mch Mtikila hapa sasa basi
 
Maisha bora hutayapata kwa kuandika udaku JF fanyeni kazi

Chama
Gongo la mboto dsm



Kwani Mkuu huyu naye anashinda jf?



<img src="http://sphotos-g.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-ash3/942515_617153594963121_1994579558_n.jpg" border="0" alt="" />
 

Kwani Mkuu huyu naye anashinda jf?



<img src="http://sphotos-g.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-ash3/942515_617153594963121_1994579558_n.jpg" border="0" alt="" />

Wameena kuchukua posho 7 buku watarudi wakishapewa.
 
Especially kama una hidden identity na unaingia kwenye forums kwa kutumia simu za mkononi.....loool......Wana mitambo ya kufuatilia ....?
PM una bit eti wenye hidden ID wapi!
Liwalo na liwe!Its where we dare to tlk openly!
 
Kuna uwezekano Baba alipitiwa kumuweka Mwaky kwenye eneo lile !!
 

Kutumwa na shemeji long room imeshakuwa tabu? Hivi unajua hata hiyo maana ya clearing and forwading; tuondokee na udaku wako sasa Kitilia kama alitaka kujiuzulu kilimzuia kitu gani?

Chama
Gongo la mboto DSM
 

Kwani Mkuu huyu naye anashinda jf?



<img src="http://sphotos-g.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-ash3/942515_617153594963121_1994579558_n.jpg" border="0" alt="" />

Huyo ndio ameyoka kwenye shughuli zake za ujenzi wa taifa amepita kusikiliza sera hana shida ya maisha

Chama
Gongo la mboto DSM
 

Usipende kuokota maneno kwenye vijiwe unaleta JF tatizo liliopo ni mawakala karibia wote walikuwa hawasemi kweli kwenye paking list wanaandika vitu vingine na kwenye kontena vitu vingine.

TRA walichofanya wameamua kufungua kila kontena tofauti na zamani kontena linapita kwenye scan tu.

Hakuna clearing yoyote sasa hivi ambaye anatoa mizigo, HSC baada ya kuona hawa mawakala wengine wanalalamika kuwa wao ndiyo chanzo wamewambia wateja wao waje kuchukuwa bills zao wamepeleke kwa mawakala wengine baadhi ya wateja wachukuwa bills zao wamepeleka kwa mawakala wengine wamechemka.

Halafu acha uongo hii issue Mwakyembe ahusiki ni TRA na mawakala, bandari wao wamesema wamesamehe gharama za makontena mpaka sakata liishe.
 

Tatizo watu wengi wanasumbuliwa na wivu kama wewe, usidanganye watu makampuni yote ya clearing hayatoi mizigo niambie kariakoo nani anatoa mizigo? Si mmeambiwa mkachukue bills kama mnaona wanaiba muwape wengine mmeshindwa wabongo bana.
 
Huyo ndio ameyoka kwenye shughuli zake za ujenzi wa taifa amepita kusikiliza sera hana shida ya maisha

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama,

Issue ni hivi hawa unaowaona wanalalamika na wale mawakala makanjanja ambao wameporwa wateja na HSC. Usikudanganye mtu hawa HSC wamewasaidia sana watu wenye mitaji midogo.

Ukifika China wana ofisi kubwa sana wear house wanapakia mizigo na bei zao zipo wazi hata box 1 la chupi wanakusafirishia mpaka Tanzania na mzigo wako ukifika unapigiwa simu ukalipie kisha ukachukue wear house kwao keko na wanakupa na usafiri mpaka dukani kwako kwa sh 20000.

Sasa hawa makanjanja wanalalamika wanakwepa ushuru TRA wakaanza kuzuia kila kontena kuangalia kilichomo kumbe wakwepaji wakubwa ni hawa makanjanja karibia wote walichopakia na walichandika ni tofauti.

Sasa HSC wakawaambia wateja wao kama kuna mtu anataka bill yake apeleke kwa clearing mwingine aje achukue kuna wengine wamechukuwa mpaka leo wameshindwa kutoa mizigo TRA wanasema wanafungua kila kontena.

Kitu kingine wafanyabiashara nao waongo hawasemi kweli walichopakia kukwepa ushuru.
 
Last edited by a moderator:

Wewe Ritz hujui chochote kabisa bora ukae kimya. Its does not need you to be magician to clear any cargo, its simply the matter of principals and procedures.

HSC ni wezi wakubwa katika nchi hii. Tena majambazi, taratibu za clearing ukimaliza unampa mteja documents zote za mzigo wake( file zima) waulize hao wafanya biashara kama wana documents hasa zinazoonyesha TRA ushuru ulikuwaje. Na kama wangekuwa nazo wangedai in reference to those old documents.

Sasa kwa taarifa tuu hii ishu imeanzia IMF wakiilalamikia TZ hawakusanyi kodi na wakatoa moja ya reference.

Endeleeni kumwonea mmnyonge tuu ila ipo siku ukweli utadhiirika zaidi ya hapo.

Wewe kazi yako kubwa ni kutetea kitu chochote chenye element ya "uislam" hata kama ni upuuzi ukidhani ndio unausaidia huo "uislam" kumbe unawapeleka wenzio motoni kwa shetani. Wasaidie kwa kusema kweli ili wabadilike.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…