Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udaku jazz band: hivi wewe Mikael P Aweda pale mlimani ulisomea umbea; porojo na udaku? siasa imekushinda naona umejikita kwenye majungu hata unachokiandika unakielewa mwenyewe hizi njaa mmekosa namna nyingine ya kuzitibia?
Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz
Issue ipo sawa na wahusika wa ukwepaji kodi ni kampuni LONDON FREIGHT nduguye Home Shopping Centre, usibishe usolijua na inasemeka ilikuwa inakingiwa kifua na mr dhaifu, mkwe na wanawe.Ndo hao walotoa mchango wa ujenzi kwa waathirika wa mafuriko jangwani.
![]()
Tunasubiri maisha bora acheni kujineemesha na keki ya Taifa wenyewe
Hata wewe ni udaku huna unalolijua ni hadithi za paukwa pakawa hapo kwenye red peke inatosha kuthibitisha maneno yangu
Chama
Gongo la mboto DSM
Maisha bora hutayapata kwa kuandika udaku JF fanyeni kazi
Chama
Gongo la mboto dsm
Maisha bora hutayapata kwa kuandika udaku JF fanyeni kazi
Chama
Gongo la mboto dsm
Kwani Mkuu huyu naye anashinda jf?
<img src="http://sphotos-g.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-ash3/942515_617153594963121_1994579558_n.jpg" border="0" alt="" />![]()
PM una bit eti wenye hidden ID wapi!Especially kama una hidden identity na unaingia kwenye forums kwa kutumia simu za mkononi.....loool......Wana mitambo ya kufuatilia ....?
usishangae kuambiwa huyo aliezuia makontena hana akili nzuri, hivyo yupo mhimbili amelazwa kwa magonjwa ya akili..!!!
Rudi shule kasome upya, shughuli zangu ni Clearing Forwarding Agent tangu 1990, suala la kukingiwa kifua na kiongozi huwezi kuwa na uhakika moja kwa moja ila mazingira ya tukio hilo.Fanya uchunguzi kama upo Dar nenda kamwone Masamaki- TRA juu ya tatizo la London Freight, na chanzo cha mzozo huu ni kikao kati ya CFA na Mwakyembe.Tuliza akili hapana longolongo hapo, na kama una rafiki yako anafanya biashara Kariakoo muulize na pia walikuwa hawapewi list mara ukiisha kubaliana nao wewe unatakiwa kusubiri mzigo wako tu. London Freight mizigo yao ilikuwa haikaguliwi na ofisa yeyote alikuwa anaogopa mizigo ya hao jamaa kuifanyia ukaguzi. Na ilikuwa Kitilia ajiuzuru ya ubabe wa London Freight na ukitaka kujua zaid nitafute nikupeleke kwa wahusika.
Kwani Mkuu huyu naye anashinda jf?
<img src="http://sphotos-g.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-ash3/942515_617153594963121_1994579558_n.jpg" border="0" alt="" />![]()
Rudi shule kasome upya, shughuli zangu ni Clearing Forwarding Agent tangu 1990, suala la kukingiwa kifua na kiongozi huwezi kuwa na uhakika moja kwa moja ila mazingira ya tukio hilo.Fanya uchunguzi kama upo Dar nenda kamwone Masamaki- TRA juu ya tatizo la London Freight, na chanzo cha mzozo huu ni kikao kati ya CFA na Mwakyembe.Tuliza akili hapana longolongo hapo, na kama una rafiki yako anafanya biashara Kariakoo muulize na pia walikuwa hawapewi list mara ukiisha kubaliana nao wewe unatakiwa kusubiri mzigo wako tu. London Freight mizigo yao ilikuwa haikaguliwi na ofisa yeyote alikuwa anaogopa mizigo ya hao jamaa kuifanyia ukaguzi. Na ilikuwa Kitilia ajiuzuru ya ubabe wa London Freight na ukitaka kujua zaid nitafute nikupeleke kwa wahusika.
Unaficha ficha wkati hili linajulikana wazi. Kampuni hiyo inaitwa Silent Haulage na inaongozwa na Ghalib. Offcourse Riz one na Mshua na wenye share jamaa anasimamia. Wamewaibia sana Watanzania hawa kwa kufanya under declaration na false declaration ya mizigo wLiyokuw wanaingiza na mizigo yao ilikuwa haikaguliwi. Tulioenda China na kuleta mizigo tunajua jinsi ambavyo mizigo ilivhokuwa inatoka mapema.
Suala hili linatakiwa lisiishie hapo tu, maafisa wa TRA wanatakiwa kuwajibishwa kwa kutofanya ukaguzi wa mizigo inapoingia ili kuthaminisha kodi sahihi ya kulipa.
Hii nchi haiishi vituko.
Huyo ndio ameyoka kwenye shughuli zake za ujenzi wa taifa amepita kusikiliza sera hana shida ya maisha
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu chama,
Issue ni hivi hawa unaowaona wanalalamika na wale mawakala makanjanja ambao wameporwa wateja na HSC. Usikudanganye mtu hawa HSC wamewasaidia sana watu wenye mitaji midogo.
Ukifika China wana ofisi kubwa sana wear house wanapakia mizigo na bei zao zipo wazi hata box 1 la chupi wanakusafirishia mpaka Tanzania na mzigo wako ukifika unapigiwa simu ukalipie kisha ukachukue wear house kwao keko na wanakupa na usafiri mpaka dukani kwako kwa sh 20000.
Sasa hawa makanjanja wanalalamika wanakwepa ushuru TRA wakaanza kuzuia kila kontena kuangalia kilichomo kumbe wakwepaji wakubwa ni hawa makanjanja karibia wote walichopakia na walichandika ni tofauti.
Sasa HSC wakawaambia wateja wao kama kuna mtu anataka bill yake apeleke kwa clearing mwingine aje achukue kuna wengine wamechukuwa mpaka leo wameshindwa kutoa mizigo TRA wanasema wanafungua kila kontena.
Kitu kingine wafanyabiashara nao waongo hawasemi kweli walichopakia kukwepa ushuru.