Sakata la Mdee na Wenzake: Yule anayejisifu kusoma sheria na kupata A hamuwezi kumuona akichambua uamuzi wa Spika kuwalinda Mdee na Wenzake

Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawapo la kozi ya sheria pale UDSM.

Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.

Tusubiri.
Yeye ni kuponda CDM kwa kila jambo.
 
Sheria ni upuuzi, mpangilio wa maneno bila akili. Huo ndio upupu alioumwaga Tulia.
 
Sasa ndugu yangu "Salary slip" hayo ni majungu.

Ni vyema wewe ukakata nyanga za kisheria naye atakuja atakata nyanga za kisheria na sisi wapenzi wasomaji na watazamaji tutapima uzito wa hoja na suala lenyewe...
 
Back
Top Bottom