Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mengine huwezi kuthibitisha, tumtunzie heshima yake japo anakera sana.
Umedhihirisha kiwango kikubwa cha ukomavu na hekima. Wewe ni mzee muungwana na mlezi mzuri wa familia yako.Haya mengine huwezi kuthibitisha, tumtunzie heshima yake japo anakera sana.
Yeye ni kuponda CDM kwa kila jambo.Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawapo la kozi ya sheria pale UDSM.
Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.
Tusubiri.
Wee anafanywaje kwani?Huyo mshamba kutwa kucha kazi yake kuipopoa Chadema sasa na yeye tutamuumbua mauchafu yake akilewa watu wanachomfanya. Kiboko yake huyo ni Mzee David Mataka tu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Sheria ni upuuzi, mpangilio wa maneno bila akili. Huo ndio upupu alioumwaga Tulia.Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawapo la kozi ya sheria pale UDSM.
Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.
Tusubiri.
Umechanganyikiwa?Hiyo "like" uliyopewa umeona dole gumba lilipoelekea?Una polio weye!Wewe Moisemusajiografii sitaki like zako za kipumbavu
Alidisco Udsm, weka kumbukumbu sawa.Pascal Mayalla hana lolote kupata A sio kigezo cha kudadavua mambo. Hana lolote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaaaaahWewe Moisemusajiografii sitaki like zako za kipumbavu
Kachanganyikwa huyo.Karithi upuuzi wa "kamanda mchovu"![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaaaaah
No siyo personal issues Kuna Muda ukweli lazima Usemwe tujilie Keki ya Taifa sisiNinahisi ana personal issues na baadhi ya viongozi wa Chadema
Ndiyo maana anaitwa njaaAna demu wake pale katika wale 19
Ni mpuuzi na njaa zakeTangu aseme mwalimu wake ni huyu Betina tumempuuza rasmi, ukiona mtu anajivunia A tena ya kozi MOJA ujue ni kilaza tu.
achana na huyo kuna Tulia inasemekana ni PhD holder. Lakini jitu la hovyo
Kabila gano huyu Mayalla?Ni mpuuzi na njaa zake