Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Vixuri ndo nini? Una mkosoa na na wewe unafanya makosa zaidi."Amejihudhuru", ni kiswahili gani hiki. Inaonekana hakuna lugha tunayoijua vixuri sisi watanzania.
Kuhusu huyo jamaa, sina maoni.
Angalia X na Z zilipo kwe keyboard, hilo ni kosa la ku-type, tofautisha na kosa la jamaa. Au unadhani ni wale wa kuandika xaxa?Vixuri ndo nini? Una mkosoa na na wewe unafanya makosa zaidi.
Inatakiwa uwe makini maana hizo x hazifai pia.Angalia X na Z zilipo kwe keyboard, hilo ni kosa la ku-type, tofautisha na kosa la jamaa. Au unadhani ni wale wa kuandika xaxa?
Na wewe " Nimeahi" Ndiyo nini!!! Sema " Nimewahi"Jambo dogo tu; kwa nini watanzania wengi wa siku hizi hawajui kiswahili? Mtanzania anayedai kiswahili ni lugha ya taifa anaandika "afisa amejiudhuru": kiswahili gani hicho?. Nimeahi kuuliza matumizi ya neno kuweza sijapata majibu hadi leo. Utasikia mtu anasema "mchezo huo ambo umeweza kuahirishwa" badla ya kusema kuwa "mchezo huo ambao umeahirishwa" Kiswahili cha ajabu kabisa. Hatujui kiingereza na sasa tushindwe hata kiswahili jamani.
Hiyo ni typographical error siyo kosa la lugha. Unaposhindwa kutofautisha hayo mawili uwezo wako kiakili unakuwa duni.Na wewe " Nimeahi" Ndiyo nini!!! Sema " Nimewahi"
Asante kwa constructive criticism 🙏Jambo dogo tu; kwa nini watanzania wengi wa siku hizi hawajui kiswahili? Mtanzania anayedai kiswahili ni lugha ya taifa anaandika "afisa amejiudhuru": kiswahili gani hicho?. Nimewahi kuuliza matumizi ya neno kuweza sijapata majibu hadi leo. Utasikia mtu anasema "mchezo huo ambao umeweza kuahirishwa" badala ya kusema kuwa "mchezo huo ambao umeahirishwa" Kiswahili cha ajabu kabisa. Hatujui kiingereza na sasa tushindwe hata kiswahili jamani.
Lugha zote duniani ni ngumu. Hata Mchina, Mwarabu,Muingireza, Mpare, Msukuma, Mjapani n.k na mother tongue zao wanakosea sawa na sisi na Kiswahili chetu maana mazingira yanayosababisha ni hayo hayo.Jambo dogo tu; kwa nini watanzania wengi wa siku hizi hawajui kiswahili? Mtanzania anayedai kiswahili ni lugha ya taifa anaandika "afisa amejiudhuru": kiswahili gani hicho?. Nimewahi kuuliza matumizi ya neno kuweza sijapata majibu hadi leo. Utasikia mtu anasema "mchezo huo ambao umeweza kuahirishwa" badala ya kusema kuwa "mchezo huo ambao umeahirishwa" Kiswahili cha ajabu kabisa. Hatujui kiingereza na sasa tushindwe hata kiswahili jamani.
Kusema ukweli hii sababu imewakera wadau wengi wa michezo. Na nina imani hata shabiki wa simba mwenye akili timamu, hawezi kukubaliana na huu upuuzi.Hata ningekua mimi ningejihudhuru. Wiki nzima ya maandalizi ushindwe kucheza mechi sababu ya kukosa saa moja ya kufanya mazoezi kwa mkapa, ni sababu ya kitoto sana