EAC madikteta uchwara wote kama Kagame, Nkurunzinza, na Kaguta Museveni wanaiba/waliiba kura katika chaguzi[chafuzi ] zao ila hawajawahi kujipa 98%Dola imelewa madaraka hata Mende anauliwa kwa Nyundo. Political science na GP yafutwe hayana maana kama mambo yenyewe ndio haya. Au walitaka lecture akiingia aingie na mapambio kidumu chama cha mapinduziš
Sasa mimi kama mhadhiri ili nitoe mfano wa kueleweka katika wizi wa kura mkubwa kuwahi kutokea EAC nitatoa 98% ambayo ni ya Samuya hapo nitakua na kosa gani?
Jizi limekaa linalindwa na majizi halafu wanaosema wizi kwa mifano halisi wanaitwa magaidi?