Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Education is an investment which has both private and social returns...
Una ngazi gani ya elimu mkuu? Unadhani unaweza fukuza wakufunzi wote wa chuo kwa pamoja na ukaajiri wengine wapya na elimu ibaki ile ile? 😁😁😁.Huyo msukuma yuko sukuma gang, wajaribu kugoma waone, huyo Shija ana kiherehere amesahau ya Dr. Ulimboka? Kikwete aliwaambia wafanyakazi hata mgome wote hamfiki hata laki 5 naweza kuwafukuza wote nikaajiri upya sembuse walimu wa chuo kimoja tu? Hiyo itakuwa tiketi ya moja kwa moja wasomi wako wengi sana kesho yake wanaajiriwa! Wasipeleke siasa vyuoni. Kuhamasisha vurugu na ghasia siyo academic freedom msitumie km chaka
Mwambie pia hawapokei mshahara kwa kadi za chap chap account kutoka NMBUna ngazi gani ya elimu mkuu? Unadhani unaweza fukuza wakufunzi wote wa chuo kwa pamoja na ukaajiri wengine wapya na elimu ibaki ile ile? 😁😁😁.
Wale siyo walimu wa sekondari
Jenga hoja yao vizuri wewe,
Ah..ah..ah...kumbe.Una ngazi gani ya elimu mkuu? Unadhani unaweza fukuza wakufunzi wote wa chuo kwa pamoja na ukaajiri wengine wapya na elimu ibaki ile ile? 😁😁😁.
Wale siyo walimu wa sekondari
Watawafuta kazi wote na kuajiri upya in the name of wahitimu wapo wengi mtaaniMgomo huu ili upate nguvu hautakiwi kuwa wa udom peke yake, waungwe mkono no vyuo vikuu vyote vya serikali, watawala watanywea.
Kwani elimu ikishuka CCM wataathirika vipi?Una ngazi gani ya elimu mkuu? Unadhani unaweza fukuza wakufunzi wote wa chuo kwa pamoja na ukaajiri wengine wapya na elimu ibaki ile ile? 😁😁😁.
Wale siyo walimu wa sekondari
Hata ikipanda hakuna loss, kama Profesa anaita Chuo mavumbini unategemea nini ndugu?. Wahadhiri wenyewe wanakimbilia siasa, uhadhiri wanauchukulia kama njia mojawapo tu na wengine wakiona wanachelewa kuonekana wanajiingiza kwenye " U-political analyst wakiwa na "vested interest zao"...Kwani elimu ikishuka CCM wataathirika vipi?
Well saidHata ikipanda hakuna loss, kama Profesa anaita Chuo mavumbini unategemea nini ndugu?. Wahadhiri wenyewe wanakimbilia siasa, uhadhiri wanauchukulia kama njia mojawapo tu na wengine wakiona wanachelewa kuonekana wanajiingiza kwenye " U-political analyst wakiwa na "vested interest zao"...
Si kila mhitimu anazo sifa za kuajiriwa kama lecturer.Watawafuta kazi wote na kuajiri upya in the name of wahitimu wapo wengi mtaani
Itunzwe kama ushahidi dhidi yao siku zijazo.Nakumbuka ile clip ya Mafwele kuhusu watumishi wa umma waliowaweka ndani kabla ya uchaguzi
Wagome tu chuo kifungwe.Sakata la kisheria linalomkabili Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kaijage, limechukua sura mpya baada ya upande wa mashtaka kubadilisha mashtaka yake na kumfungulia rasmi kesi ya ugaidi. Hatua hiyo imezua taharuki na masikitiko makubwa miongoni mwa wanataaluma waliokuwa wakifanya naye kazi chuoni hapo.
Akizungumzia suala hilo, Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Taaluma UDOM (UDOMASA), Dkt. Gerald Enos Shija, ameeleza kuwa hatua hiyo imeshusha sana morali ya wafanyakazi na kuwatia hofu. Ameonya kuwa kukamatwa kwa wanataaluma wanapotoa fikra tofauti kunatishia uhuru wa kitaaluma (academic freedom) na kunaweza kuua msingi mzima wa elimu nchini.
Kutokana na hali hiyo, UDOMASA imepanga kuchukua hatua za makusudi kufanya mazungumzo na mamlaka za serikali ili kunusuru uwezekano wa kutokea kwa mgomo gerezani na katika taasisi za elimu. Viongozi hao wanasisitiza haja ya kufikia muafaka wa kitaifa utakaohakikisha wanataaluma wanakuwa huru kufikiri na kutafuta majawabu ya matatizo ya nchi.
Soma Pia:
- Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga
- Mhadhiri UDOM akamatwa kisa Maandamano ya Sabasaba
View attachment 3636173
Wataajiri kutoka nje. Mkuu unamjua mtu mwenye hila?Si kila mhitimu anazo sifa za kuajiriwa kama lecturer.
Haelewi Kwa nini hawaitwi walimu,Bali waadhiri!Una ngazi gani ya elimu mkuu? Unadhani unaweza fukuza wakufunzi wote wa chuo kwa pamoja na ukaajiri wengine wapya na elimu ibaki ile ile? 😁😁😁.
Wale siyo walimu wa sekondari
Umri ukisogea zaid unakuwa mtotoNililitegemea hili..
Nchi inaenda kuingia sasa kwenye Migomo baridi katika taasisi nyingi za Umma.
Na Matokeo yake huduma zinakwenda kudorora na rushwa kutamalaki kila sehemu.
Watumishi wa Umma watakuwa wanauza huduma..hutaki acha.
Hii Hali iliwahi kutokea kipindi fulani cha Utawala wa Hayati Mzee Mwinyi.
Ilifika mahali mtumishi anakutamukia..-' Mwambie Rais wako aje akuhudumie-'
Serikali haina muunganiko tena.Pata picha tu mtu kama Wassira anasema 29/Oktoba..hapakuwa na jambo tu la kutisha sana ..ilikuwa kawaida tu..na yeye alipiga kura Bunda akaja kulala Mwanza hali ikiwa shwari kabisa....-'Lissu Kesi yake ni yeye anaichelewsha kwa kuweka mapingamizi..'
Sasa huyo ndiye miongoni mwa washauri wa Raisi!!!!!??
Haya..'Watanzania piganieni Katiba mpya..' huyo ni Makamu wa Rais mwenye jukumu la kuiwezesha hiyo Katiba mpya ipatikane...?!!!!?