EAC madikteta uchwara wote kama Kagame, Nkurunzinza, na Kaguta Museveni wanaiba/waliiba kura katika chaguzi[chafuzi ] zao ila hawajawahi kujipa 98%Dola imelewa madaraka hata Mende anauliwa kwa Nyundo. Political science na GP yafutwe hayana maana kama mambo yenyewe ndio haya. Au walitaka lecture akiingia aingie na mapambio kidumu chama cha mapinduzi😂
CCM hamna mwenye akili timamu hata mmoja.Dola imelewa madaraka hata Mende anauliwa kwa Nyundo. Political science na GP yafutwe hayana maana kama mambo yenyewe ndio haya. Au walitaka lecture akiingia aingie na mapambio kidumu chama cha mapinduzi😂
vyuo vyote Tz. vifanye mgomo usio na kikomo. Mandezi wanatawala kindeziSio watishie tu wagome kweli
8/8 hakutakuwa na maandamano, muhimu iwekwe kwenye kumbukumbu za matukio muhimu nchini ili siku nchi ikikombolewa hawa wahuni tujue namna gani ya kushughulika nao kwa ushahidi ulio wazi.Hili liingizwe kwenye maandamano ya trh 8/8.
Mimi siamini kwamba haya yote yanaagizwa na Samia.Ni kama kunaagizo kutoka mahali ili kuogofya watu,hata Mwanza wahamasisha maandamano ya 7/7 wameangushiwa jumba la ugaidi.
Mgomo huu ili upate nguvu hautakiwi kuwa wa udom peke yake, waungwe mkono no vyuo vikuu vyote vya serikali, watawala watanywea.Ninawaza hapa kama wataweza kweli kugoma au kuishinikiza hii serikali inayoamini kwenye matumizi ya nguvu na hila, kutokana na idara nyingi za serikali kujaa machawa wasiojitambua.
Shida ni hii moja ya CHAWA kutapakaa kila sehemu. Ingekuwa miaka ile uchawa haujakomaa na kupewa kipaumbele, ningeamini.Mgomo huu ili upate nguvu hautakiwi kuwa wa udom peke yake, waungwe mkono no vyuo vikuu vyote vya serikali, watawala watanywea.
Yana mwisho, na mwisho wao utakuwa mbaya sana. Watu wamejawa hasira kila kona.Shida ni hii moja ya CHAWA kutapakaa kila sehemu. Ingekuwa miaka ile uchawa haujakomaa na kupewa kipaumbele, ningeamini.
The beggining of an end...Wahuni wa CCM wamefika mwisho wao, yale mauaji ya octoba 29 ndiyo ulikuwa mwanzo wa mwisho wa CCM!
Hajui ? Haambiwi na wasaidizi matukio yaliyopo ili awakanye ?Mimi siamini kwamba haya yote yanaagizwa na Samia.
Nchi inajiendea tu🙆♂️🙆♂️Nililitegemea hili..
Nchi inaenda kuingia sasa kwenye Migomo baridi katika taasisi nyingi za Umma.
Na Matokeo yake huduma zinakwenda kudorora na rushwa kutamalaki kila sehemu.
Watumishi wa Umma watakuwa wanauza huduma..hutaki acha.
Hii Hali iliwahi kutokea kipindi fulani cha Utawala wa Hayati Mzee Mwinyi.
Ilifika mahali mtumishi anakutamukia..-' Mwambie Rais wako aje akuhudumie-'
Serikali haina muunganiko tena.Pata picha tu mtu kama Wassira anasema 29/Oktoba..hapakuwa na jambo tu la kutisha sana ..ilikuwa kawaida tu..na yeye alipiga kura Bunda akaja kulala Mwanza hali ikiwa shwari kabisa....-'Lissu Kesi yake ni yeye anaichelewsha kwa kuweka mapingamizi..'
Sasa huyo ndiye miongoni mwa washauri wa Raisi!!!!!??
Haya..'Watanzania piganieni Katiba mpya..' huyo ni Makamu wa Rais mwenye jukumu la kuiwezesha hiyo Katiba mpya ipatikane...?!!!!?
Naunga mkonovyuo vyote Tz. vifanye mgomo usio na kikomo. Mandezi wanatawala kindezi
Chama cha Wafanyakazi wa Taaluma UDOM (UDOMASA),