Sakata la Mhadhiri wa Chuo Kikuu kupewa kesi ya ugaidi, Mgomo wa wafanyakazi UDOM wanukia

Una ngazi gani ya elimu mkuu? Unadhani unaweza fukuza wakufunzi wote wa chuo kwa pamoja na ukaajiri wengine wapya na elimu ibaki ile ile? 😁😁😁.

Wale siyo walimu wa sekondari
 
Una ngazi gani ya elimu mkuu? Unadhani unaweza fukuza wakufunzi wote wa chuo kwa pamoja na ukaajiri wengine wapya na elimu ibaki ile ile? 😁😁😁.

Wale siyo walimu wa sekondari
Mwambie pia hawapokei mshahara kwa kadi za chap chap account kutoka NMB

Free Seran
 
Una ngazi gani ya elimu mkuu? Unadhani unaweza fukuza wakufunzi wote wa chuo kwa pamoja na ukaajiri wengine wapya na elimu ibaki ile ile? 😁😁😁.

Wale siyo walimu wa sekondari
Ah..ah..ah...kumbe.
 
Mgomo huu ili upate nguvu hautakiwi kuwa wa udom peke yake, waungwe mkono no vyuo vikuu vyote vya serikali, watawala watanywea.
Watawafuta kazi wote na kuajiri upya in the name of wahitimu wapo wengi mtaani
 
Una ngazi gani ya elimu mkuu? Unadhani unaweza fukuza wakufunzi wote wa chuo kwa pamoja na ukaajiri wengine wapya na elimu ibaki ile ile? 😁😁😁.

Wale siyo walimu wa sekondari
Kwani elimu ikishuka CCM wataathirika vipi?
 
Siku hizi Vyuo havina meno "toothless".
Umoja wa Wahadhiri ukisema "yes" Chuo kinasema "no"..Chuo kinalinda maslahi ya walee...na kwenye Umoja wa wahadhiri wanachomekwa mamluki wa waleee...mwisho wa siku mambo ni yaleyale. Watu wameshika "locus point" kitambo sana.

Imeandikwa mahali "utavuna unachopanda"
 
Kwani elimu ikishuka CCM wataathirika vipi?
Hata ikipanda hakuna loss, kama Profesa anaita Chuo mavumbini unategemea nini ndugu?. Wahadhiri wenyewe wanakimbilia siasa, uhadhiri wanauchukulia kama njia mojawapo tu na wengine wakiona wanachelewa kuonekana wanajiingiza kwenye " U-political analyst wakiwa na "vested interest zao"...
 
Well said
 
Nakumbuka ile clip ya Mafwele kuhusu watumishi wa umma waliowaweka ndani kabla ya uchaguzi

UDOM na wahadhiri wengine wafanye kweli
 
Hawa jamaa na siasa zao feki wanataka kuua elimu,kama wanaingilia hadi upande wa wahadhiri na kuwapangia nini cha kusema ni hakika hawana nia njema kwa taifa hili
 
Wagome tu chuo kifungwe.
 
Una ngazi gani ya elimu mkuu? Unadhani unaweza fukuza wakufunzi wote wa chuo kwa pamoja na ukaajiri wengine wapya na elimu ibaki ile ile? 😁😁😁.

Wale siyo walimu wa sekondari
Haelewi Kwa nini hawaitwi walimu,Bali waadhiri!
 
Umri ukisogea zaid unakuwa mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…