mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,188
- 1,090
Kwanza sheria inasemaje kuhusu nani anatakiwa kuagiza sukari ikitokea hali kama hiyo? Pili kwanini Msukuma Aje kwenye media kutoa ushahidi wakati Spika alimwambie apeleke Kwakwe, kanuni za zinasemaje kuhusu alivyofanya Mpina? Hili swala ukiingia harakaharaka utalaumu au kumuona Spika mbaya ama Mpina yupo sawa lakini ukweli ni Kubwa Na Mpina amekosea kwenye kwa Media
Uko sahihi kwa upande wako ila unakoseaKwanza sheria inasemaje kuhusu nani anatakiwa kuagiza sukari ikitokea hali kama hiyo? Pili kwanini Msukuma Aje kwenye media kutoa ushahidi wakati Spika alimwambie apeleke Kwakwe, kanuni za zinasemaje kuhusu alivyofanya Mpina? Hili swala ukiingia harakaharaka utalaumu au kumuona Spika mbaya ama Mpina yupo sawa lakini ukweli ni Kubwa Na Mpina amekosea kwenye kwa Media
Jibu la kwanza ndio nimelipokeaMAJIBU YA MASWALI YAKO:
1. Sheria inaruhusu viwanda vyenye jukumu la uzalishaji sukari pekee ndivyo viagize nakisi ya sukari (Gap Sugar) ya kiasi chochote baada ya Bodi ya sukari kuhakiki upungufu huo...
2. Ukishajua kuwa umepeleka ushahidi wako kwa mtu ambaye una uhakika kabisa kuwa hawezi kukutendea haki, atachakachua ushahidi wako, tumia mbinu ya kivita kum - outsmart kabla hajaleta uharibifu wowote kwako. Spika Dr Tulia Ackson ni miongoni mwa wafaidika wa ufisadi huu. Ndiyo maana kashituka na kufadhaika sana kwa namna ambavyo Mbunge Luhaga Mpina alivyom outsmart. Huyu angetumiwa na serikali kupindisha ukweli. Lakini kwa alichofanya Luhaga Mpina kuwawahi na kuweka ushahidi hadharani kwenye public, hilo limewashitua, kuwakasirisha na kuwapanikisha. Angalia uso wa Spika wakati anasoma tamko lake. She looked embarrassed..!!
3. Spika Dr Tulia Ackson ni mbaya, hilo halina ubishi. Na kama wewe huoni ubaya wa Spika huyu, hilo ni shauri lako lakini the truth will always stand. Na ukweli wake ni kuwa, Spika Dr Tulia Ackson siku zote hayuko upande wa wananchi. Yeye siku zote hutetea ubaya na kila aina ya upuuzi wa serikali na chama chake CCM likiwemo hili la ufisadi huu ndiko anakoelekea...
4. Usidhani kuwa Luhaga Mpina(MB) hajui anachokifanya pamoja na matokeo yake. Usifikiri kuwa huyu mbunge hazijui hizo kanuni. Lakini kama nilivyosema hapo juu, kwenye vita yoyote ni lazima uwe some steps ahead ktk mbinu za kivita dhidi ya unayepambana naye. Ni wazi kuwa Luhaga Mpina alishaona kuwa ziko mbinu chafu za serikali kuu - manipulate ushahidi wake. Au wewe hujui kuwa katibu wa bunge ni mteule wa Rais? Unadhani angekubali boss wake (Rais) aliyemteua kupitia kwa waziri wake (Bashe) kuingia kwenye kashfa ya sukari (sugar scandal) kama ilivyotokeaga miaka ile wakati wa serikali ya Mkapa waziri wa kilimo akiwa Iddi Simba?
5. Huyu Spika wako unayemtetea, afanye mambo mawili tu: MOSI; Ashughulike na Luhaga Mpina kwenye masuala ya kikanuni. PILI; akumbuke kuwa pamoja na makosa ya kikanuni ya mbunge Luhaga Mpina, ufisadi na wizi wa mapato ya nchi kupitia skandali la importation ya nakisi ya sukari (gap sugar) uko palepale na ni lazima bunge lishughulike nao. Wakipiga chenga kama ilivyo kawaida yao kulindana na kuteteana kwenye rushwa, ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka, basi wanasubiriwa huku nje ili wapigwe spana za uhakika!!
Kwani haifai kuishukuru
Kama spika anaishukuru serikali unategemea nini?.
Zama zile hadi waziri mkuu aliachia ngaziKweli mkuu lakini Leo wanapongezwa
Mkuu umegonga spana kweli kweli πMAJIBU YA MASWALI YAKO:

Mkiwa wapi??TUNASIMAMA NA MPINA
Kwanza sheria inasemaje kuhusu nani anatakiwa kuagiza sukari ikitokea hali kama hiyo? Pili kwanini Msukuma Aje kwenye media kutoa ushahidi wakati Spika alimwambie apeleke Kwakwe, kanuni za zinasemaje kuhusu alivyofanya Mpina? Hili swala ukiingia harakaharaka utalaumu au kumuona Spika mbaya ama Mpina yupo sawa lakini ukweli ni Kubwa Na Mpina amekosea kwenye kwa Media
Atakua wapi sasa Kama sio tanzaniasPIKA YUKO WAPI TANZANIA? hakuna spika
Umeiweka vizuri zaidi kwa kifupi. Tukiwa wakweli mtu mwenye mtaji wa milioni moja ni kweli ana uwezo wa kuagiza mzigo wa 6.6bn?Hili sakata wakati nasoma uzi humu kwa mara ya kwanza nilikuwa sijalielewa lilivyo. Nikasema acha nizame U-tube kujua likovipi ndio nikapata kuelewa mwanzo, kati na mwisho ulivyo hebu twende pamoja kwa ambaye hajaelewa kama mimi kwa Lugha nyepesi
Iko hivi waziri wa kilimo wakati anawasilisha bajeti yake ya wizara, kwenye sakata la sukari alisema ametoa vibali kwa makampuni ya wafanyabiashara kuagiza sukari kiasi cha Tani 410 elfu kufidia upungufu uliopo wa sukari
Pia akashusha lawama kwamba kulingana na kanuni zilivyo, vibali ilitakiwa vitolewe kwa viwanda vinavyozalisha sukari ndio viweze kuagiza nje kama kuna upungufu lakini hivo viwanda ambavyo ni Mtibwa sugar, Kagera Sugar, Bagamoyo etc vimeshindwa kuimport hata kilo moja ya sukari kwa mda wa miezi 3 na kusababisha tatizo la upungufu wa sukari kuwa kubwa kama ilivyo sasa
Sasa Mpina yeye akampinga waziri kwamba taarifa yake ni ya uongo, Ikabidi spika wa bunge amwambie awasilishe taarifa kuhusu uongo wa waziri. Mpina akawasilisha taarifa iliyoeleza mambo mengi kusuhu uongo wa waziri Bashe ambayo siwezi kueleza yote humu ila mwishoni ntaweka video ili kwa ambaye hakupata nafasi ya kusikia awasilize wote kwa makini na kuelewa vizuri
Sasa kilichotikisa zaidi katika taarifa ya Mpina ni Jinsi Waziri Bashe alipotoa vibali kwa Makampuni yenye kujihusisha na Mambo tofauti kabisa na kilimo wala sukari kupewa vibali vya kuingiza sukari tena zingine zikiwa na Mitaji midogo ya hadi Tshs mil 1. Mfano kuna Kampuni inajihusisha na Stationary ina hisa 1000 zenye thamani ya mil 1 lkn imepewa kibali cha kuingiza Tani 2 elfu zenye thamani ya Tshs Bil 6.6π
Kampuni nyingine Itel (kampuni ya simu na vifaa vya kielektronic) imepewa kibali cha kuingiza Tani 60 elfu yenye thamani ya Tshs Bil 160 wakati mtaji wa kampuni ya itel ni Tshs mil 50
Kwahiyo kwa kifupi inaonekana kuna makampuni yalikua hayana sifa ya kupewa vibali vya kuingiza sukari lakini kwa matakwa flani flani na kwa masilahi ya wachache yakaweza kupatiwa hizo dili.
MY TAKE: Spika Aunde tume ifanye uchunguzi wa sakata hili maana kuna harufu ya rushwa, uhujumu uchumi, ufisadi na makosa mengine kibao Kama kuna ukweli juu ya hili basi wote waliohusika wafukishwe kwenye vyombo vya sheria hii si sawa nchi inapigwa kizembe namna hii Watanzania tusikubali aisee tupaze sauti kukemea hili
Sakata lilianza hapa
Hapa ndio mpina akaitisha press na kufichuo uozo wa waziri
Pia soma:Luhaga Mpina amshukia Waziri Bashe, adai amelidanganya Bunge, awataja Magufuli, Rais Samia
Muhimu Spika akanushe ushahidi ulioshiba uliotolewa na Mpina badala ya kubadilisha topic na kusema vitu personal. Mpina kajikita zaidi kwenye maslahi ya Taifa.Hata spika katumia muda mwingi kumsema Luhaga Mpina badala ya kilichowasilishwa
hatuna spika tuna mwizi wa kura, wewe ndiye hujui kitu. mwizi wa kuraAtakua wapi sasa Kama sio tanzania
Umejizima data sana siju hizi
Tuna Spika boya sana!sPIKA YUKO WAPI TANZANIA? hakuna spika
Katusanua mkuu au wewe umelionaje hili swala Ni dogo kwamba tulipuuzie au wewe una maoni gani apo?Kwanza sheria inasemaje kuhusu nani anatakiwa kuagiza sukari ikitokea hali kama hiyo? Pili kwanini Msukuma Aje kwenye media kutoa ushahidi wakati Spika alimwambie apeleke Kwakwe, kanuni za zinasemaje kuhusu alivyofanya Mpina? Hili swala ukiingia harakaharaka utalaumu au kumuona Spika mbaya ama Mpina yupo sawa lakini ukweli ni Kubwa Na Mpina amekosea kwenye kwa Media
Kama umelipokea hilo (ambalo ndio key issue kwenye sakata hili), then umeelewa na ni wazi kuwa sheria ilikiukwa..Uko sahihi kwa upande wako ila unakosea
Haki ya kuichagua itel na kuinyima kampuni nyingine inakuwa ni nini , nasaba, ukaribu au mtaji, uwezo wa kuhifadhi, njia za kuisambaza hiyo bidhaa auS
Anayetakiwa kupewa kibali ikitokea hali kama hiyo ni viwanda husika vinavyozalisha sukari. Sasa waziri amesema sheria hiyo hakubaliani nayo na anadai ameibadilisha ili kutoa fursa kwa Kampuni zingine kuingiza sukari sasa cha kushangaza sheria inabadilishwa bungeni na mpina anadai hawakubadisha sheria hiyo.