Sakata la Mpina na Waziri Bashe, nilivyoelewa kwa Lugha Rahisi

Hujaelewa hapa angalia utaona vibali vilicheleweshwa maksudi kwa viwanda vinavyozalisha sukari,pia utaona Moja ya kampuni ilisajiliwa ndani ya mwezi mmoja huko mzenjibar na ikahamia apo Daslam na kupewa tenda
 
Inawezekana kulikuwa na nia njema Kwa kuwawezesha wananchi wapate sukari Kwa bei ya chini pia na kupata maokoto pia Kwa waziri tatizo liko wapi? Waziri kanufaika na sisi tumenufaika au wenzangu hamtaki sukari ya bei chini? Tukijifanya kutaka kulinda viwanda basi tutapigwa na hao wamiliki wa viwanda Kwa bei kubwa sana binafsi namuunga mkono bashe
 
Katusanua mkuu au wewe umelionaje hili swala Ni dogo kwamba tulipuuzie au wewe una maoni gani apo?

Binafsi na simama na mpina katusanua na kawaumbua vibaya Sanaa ccm.
Kwa upande wako ni sawa lakini kikanuni mpina amekosea Hivyo tupime kote je alipaswa kufanya Press Kweli?
 
Hayo makampuni ya Bashe Yana mtaji wa Tsh 1 Million lakini yameleta sukari na bei imeteremka. Sasa mnataka nini zaidi?
 
Kipindi cha bunhe huwa naona kama ni kipindi fulani cha Cheka Tu...
 
Nchi ianatumia Spika ya zamani kupiga Amapiano.
 
Mpina kaamua kujilipua basi asiishie kwenye sukari, atuletee pia nondo za ufisadi kwenye maliasili, nishati, utalii, madini na usafirishaji, huko sidhani kuna tofauti na dili la sukari, kushambulia sehemu moja kwenye system nzima isiyo na afya si vizuri sana, sasa awaumbue wote itapendeza
 
Bashe ni mjanja sana ukiona akiongea utasema mtu kweli ngoja tuone itakavyokuwa
 
Hayo makampuni ya Bashe Yana mtaji wa Tsh 1 Million lakini yameleta sukari na bei imeteremka. Sasa mnataka nini zaidi?
Ww ndio hata mke wako akipigwa miti chumbani kwako powa kisa amekuachia yule bwana 1 Mil fresh tu ww kweli huwezi na huna uliwazalo kwa faida kma inchi huoni taifa limeingia hasara kubwa Watanzania mnashida gani nyie mbona uzalendo hakuna ww ni mrafi unawaza kula tu kujaz tumbo lako ila maslahi ya Taifa kwa ujumla huwazi
 
Nyie ndiyo mnadhalilisha Watanzania, akili zinafikiria ngono tu. Nyambaff
 
Swali: je kampuni yenye mtaji wa 1milioni haiwezi kukopa 6.6bilioni kwa kutumia dhamana ya kibali?
Ukiweza kujibu hili swali kiuhasibu na kisheria (company law). Utakuwa umeelewa uhalisia wa hii issue.
 
Ukimsikiliza vizuri Spika point yake ni kwanini aende kwenye media wakati spika ndio ameitisha huo ushahidi, sasa kanuni za bunge zinamfunga mpina hata kama anaweza kuwa na Ushahidi sahihi dhidi Ya Bashe
Kuna siri gani anayoificha spika dhidi ya Ushahidi wa Luhaga Mpina?
Issue inahusu umma,bunge ni wananchi.

Usichojua ni kwamba spika hutumika na serikali kuchakachua ushahidi unaoletwa na wabunge,sasa safari hii kimeanikwa anachofanyaga siri,tuone ujinga wao dhidi ya kutetea wahalifu
 
Hasara gani ?! Serikali imetoa pesa kununua au ?! Hebu mtaalamu tuambie hiyo hasara ..
 
Itabidi nikariri jina: 'hardbody'; 'hardbody', 'hardbody'.

Unaongeza thamani sana kwenye hili Jukwaa, wakati ambapo tumeanza kuzoea michango ya ajabu ajabu.

bado sijaridhika. Itanilazimu nitafute michango yako mingine nipate uhondo.

Ni hivi: hata kama hiyo 'MY TAKE' ingekuwa inalalia upande wa Bashe na serikali; upande ambao sikubaliani nao; uwasilishaji ulioufanya ningeendelea kuuheshimu.
ASANTE SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…