Sakata la Mtoto wa Rose Nungu (MunaLove), Linaumiza Sana Moyo

Tuache kurembaremba maneno na kujiumauma huyu mtoto ameuwawa na mama yake mzazi fullstop

Mashetani kama Muna kwenye ukoo wetu anatengwa
We umemaliza kila kitu muna kaua mtoto .......eti alimwambia peter " mtoto yupo serious anaumwa lolote linaweza kutokea" ....
Mama gani ana akili za kijinga kama huyo
 
muna alikuwa anaishi maisha ya hovyo hovyo sana mbele ya mtoto.....mtoto anapokuona mama unalala na mababa tofauti tofauti anapata picha gani?
nimeona kalala jr naye anadai amemlea mtoto (aliwahi kuishi na muna).
Katika maisha usiruhusu mwanao amjue hawara yako labda mmeo
 
Mechi na auze kikubwa jamaa kagharamia kuzaa nini! Kulea bwana

Mkuu kuna maisha baada ya msiba, so pipo tunajua kua hata akiolewa atauza mechi, ulokole uzushi na heshima yake imeshuka...

Na wanaume sasa ndio watatumia hio nafasi kumGEGEDa kwa kigezo cha huruma
 
Yule kwani ni mtoto? Siyo hawara wa Muna kweli? Mimi ninachojua ni kuwa Muna kafiwa na kiben ten chake! haiwezekani mama mzazi umlee mwanao vile! Nasema haiwezekani!
 
Yule kwani ni mtoto? Siyo hawara wa Muna kweli? Mimi ninachojua ni kuwa Muna kafiwa na kiben ten chake! haiwezekani mama mzazi umlee mwanao vile! Nasema haiwezekani!
Miye nilijuwa yule ni kama Demonte au wale mbilikimo wa kinaigeria Aki na Ukwa.
 
Tusirembe hili limesababishwa na

Umalaya wake

Over
Haya yote yasingetokea kama angekua na mmoja tu
 
Mkuu,kumbe ukiachana na siasa za ccm wewe ni mtu mwenye akili nyingi namna hii!!!!!!
Sijawahi kufikiria hata siku moja kuwa kuwa wewe ni mtu Geneous namna hii,umeandika maneno yenye hekima kubwa sana kupindukia...kumbe taifa letu linayohazina kubwa ya vjana wenye akili isipokuwa wanaharibiwa tu na siasa za hovyo...nimeupenda sana ushaur wako Mkuu!
 
Hii kali ya mwaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…