Sakata la Mtoto wa Rose Nungu (MunaLove), Linaumiza Sana Moyo

Sakata la Mtoto wa Rose Nungu (MunaLove), Linaumiza Sana Moyo

Busara pekee ambayo anaweza tumia ni hii uliyo ipendekeza na itatulizA MIZUKA yote kinyume na hapo huyo mtoto atachelewa kuzikwa na hata akizikwa itakuwa chini ya ulinzi wa mabaunsa wa kukodi lakini lazima kwenye hili mahakama ndio pekee itatoa muongozo kabisa....
Huyu Zacharia ni mtu mzima kamwe hawezi kujisingizia anatoa huduma kama hizo wakati hakuwa anazitoa.....
Hii issue iko serious kuliko tunavyodhani yani hapo damu yaweza mwagika...nafikiri serikali lazima itaingilia hili swala mapema kuepusha machafuko....
Huyu Muna angelikuwa na akili angelikwenda kuelewana na baba za watoto hasa aliyekuwa anatoa matunzo....

hahahaha Kalala juniour naye anasema msiba uko Magomeni kwakwe...
Hahahahahaha ila kalala junior ni mpuuzi sana ....tumbo kubwa kama pipa akili hana mjinga yule....anaona wenzie wanarumbana ye anaongeza upuuzi wake
 
Busara pekee ambayo anaweza tumia ni hii uliyo ipendekeza na itatulizA MIZUKA yote kinyume na hapo huyo mtoto atachelewa kuzikwa na hata akizikwa itakuwa chini ya ulinzi wa mabaunsa wa kukodi lakini lazima kwenye hili mahakama ndio pekee itatoa muongozo kabisa....
Huyu Zacharia ni mtu mzima kamwe hawezi kujisingizia anatoa huduma kama hizo wakati hakuwa anazitoa.....
Hii issue iko serious kuliko tunavyodhani yani hapo damu yaweza mwagika...nafikiri serikali lazima itaingilia hili swala mapema kuepusha machafuko....
Huyu Muna angelikuwa na akili angelikwenda kuelewana na baba za watoto hasa aliyekuwa anatoa matunzo....

hahahaha Kalala juniour naye anasema msiba uko Magomeni kwakwe...
haa haa huyo kalala jr naye kaibukia wapi? sasa kila mwanaume aliyeishi na muna akiibuka kuweka misiba, tutakuwa na misiba mingapi jameni..... nasubiri petit man naye aseme kitu
 
Kama anasema mtoto ni wa casto mbona hela za matibabu alikuwa anachukua kwa zakaria,Mimi siwezi nkafanyiwa huu upumbavu hata siku moja,zacharia inaonekana ni mpole sana halafu huyo muna naye inaonekana ni Malaya Malaya,wanawake kama hawa ndo wakupiga ngumi na ikiwezekana kuvunja miguu kabisa
 
kuoa/kuzaa na malaya ama mtu asiye jiheshimu inaumiza sana.

huyu muna ni mkunduchi sana, wala sijaona haja ya kumpa pole ikiwa ni msengerema ivi.

yaani ana kiri akiwa kaolewa alikuwa anakazwa nje. akumbuke baada ya msiba kuna maisha (tena yatakuwa ya kisasi yanayoweza pelekea mauti ama ulemavu)
Wanawake kama hawa ndo huwa wanauawa halafu wanawake wenzie wantakuja kusema ooo wanaume wana roho mbaya sijui wasulihishe kwa maongezi
 
Naona Demu anatoa Evidence kuwa aliuza mchezo nje ya ndoa.
Kama aliuza kwa nini amlazimishe PETER kutoa fedha. Mimi tungegawana majumba ya Serikali! Kumbe Ndo maana mtoto alikuwa akikuita Baba Peter maana kulikuwa na biological father pembeni
 
36641122_729415777406392_4717434126209122304_n.jpg
 
Back
Top Bottom