Hashpower7113
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,353
- 2,142
- Thread starter
- #101
Anaweza asiwe biological father lakini akawa social au legal father!Good Question......!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaweza asiwe biological father lakini akawa social au legal father!Good Question......!!!!!
Misiba miwili ipi mkuu? Unamaanisha kufiwa na mtoto na kubambikiwa mtoto asiye wako?Mkuu,hapo sasa kuna misiba miwili,huo bado ni ukomavu?
Hahahahahaha ila kalala junior ni mpuuzi sana ....tumbo kubwa kama pipa akili hana mjinga yule....anaona wenzie wanarumbana ye anaongeza upuuzi wakeBusara pekee ambayo anaweza tumia ni hii uliyo ipendekeza na itatulizA MIZUKA yote kinyume na hapo huyo mtoto atachelewa kuzikwa na hata akizikwa itakuwa chini ya ulinzi wa mabaunsa wa kukodi lakini lazima kwenye hili mahakama ndio pekee itatoa muongozo kabisa....
Huyu Zacharia ni mtu mzima kamwe hawezi kujisingizia anatoa huduma kama hizo wakati hakuwa anazitoa.....
Hii issue iko serious kuliko tunavyodhani yani hapo damu yaweza mwagika...nafikiri serikali lazima itaingilia hili swala mapema kuepusha machafuko....
Huyu Muna angelikuwa na akili angelikwenda kuelewana na baba za watoto hasa aliyekuwa anatoa matunzo....
hahahaha Kalala juniour naye anasema msiba uko Magomeni kwakwe...
haa haa huyo kalala jr naye kaibukia wapi? sasa kila mwanaume aliyeishi na muna akiibuka kuweka misiba, tutakuwa na misiba mingapi jameni..... nasubiri petit man naye aseme kituBusara pekee ambayo anaweza tumia ni hii uliyo ipendekeza na itatulizA MIZUKA yote kinyume na hapo huyo mtoto atachelewa kuzikwa na hata akizikwa itakuwa chini ya ulinzi wa mabaunsa wa kukodi lakini lazima kwenye hili mahakama ndio pekee itatoa muongozo kabisa....
Huyu Zacharia ni mtu mzima kamwe hawezi kujisingizia anatoa huduma kama hizo wakati hakuwa anazitoa.....
Hii issue iko serious kuliko tunavyodhani yani hapo damu yaweza mwagika...nafikiri serikali lazima itaingilia hili swala mapema kuepusha machafuko....
Huyu Muna angelikuwa na akili angelikwenda kuelewana na baba za watoto hasa aliyekuwa anatoa matunzo....
hahahaha Kalala juniour naye anasema msiba uko Magomeni kwakwe...
Hapana,nimesikia mama kaweka msiba kwake na baba kaweka kwake.Misiba miwili ipi mkuu? Unamaanisha kufiwa na mtoto na kubambikiwa mtoto asiye wako?
Ni kweli mkuu lakini updates zinanonesha msiba mkubwa utakuwa kwa babaHapana,nimesikia mama kaweka msiba kwake na baba kaweka kwake.
Wanawake kama hawa ndo huwa wanauawa halafu wanawake wenzie wantakuja kusema ooo wanaume wana roho mbaya sijui wasulihishe kwa maongezikuoa/kuzaa na malaya ama mtu asiye jiheshimu inaumiza sana.
huyu muna ni mkunduchi sana, wala sijaona haja ya kumpa pole ikiwa ni msengerema ivi.
yaani ana kiri akiwa kaolewa alikuwa anakazwa nje. akumbuke baada ya msiba kuna maisha (tena yatakuwa ya kisasi yanayoweza pelekea mauti ama ulemavu)
Hivi anachura e!!! maana Mimi hata simjui.Tatizo tunaangalia chura sheikh wangu....kumbe ata ambiance chura wamejaa...wanaume tukiushinda mtihan wa chura tutakuwa na aman ya milelew
amesajiliwa na simba sc juziHuyu munalove ndio nani namsikia tu mitandaoni
Wengine hawajui wanafanya kubahatisha tuMama ndie hujua Baba wa mtoto ni nani
Siyo wote wanaojuaNani kakudanganya...mama ndo anajua mtoto ni wa nani...
Msiba mkubwa kwamaana gani mkuu?Ni kweli mkuu lakini updates zinanonesha msiba mkubwa utakuwa kwa baba
Msiba halisi Mkuu, kwa maana sehemu ambayo mwili utaagiwa! Achana na mikusanyiko mingine.Msiba mkubwa kwamaana gani mkuu?
Kama aliuza kwa nini amlazimishe PETER kutoa fedha. Mimi tungegawana majumba ya Serikali! Kumbe Ndo maana mtoto alikuwa akikuita Baba Peter maana kulikuwa na biological father pembeniNaona Demu anatoa Evidence kuwa aliuza mchezo nje ya ndoa.
Aiseee....... Muna kachukua ushauri wako kakubali msiba uwe kwa baba wa mtoto Peter Zacharia.....haa haa huyo kalala jr naye kaibukia wapi? sasa kila mwanaume aliyeishi na muna akiibuka kuweka misiba, tutakuwa na misiba mingapi jameni..... nasubiri petit man naye aseme kitu