Sakata la Mtoto wa Rose Nungu (MunaLove), Linaumiza Sana Moyo

Sakata la Mtoto wa Rose Nungu (MunaLove), Linaumiza Sana Moyo

Kama anasema mtoto ni wa casto mbona hela za matibabu alikuwa anachukua kwa zakaria,Mimi siwezi nkafanyiwa huu upumbavu hata siku moja,zacharia inaonekana ni mpole sana halafu huyo muna naye inaonekana ni Malaya Malaya,wanawake kama hawa ndo wakupiga ngumi na ikiwezekana kuvunja miguu kabisa
Kwa nini uharibu mawe ya kujengea nyumba.....!!!!
 
MKEMIA MKUU huwaga hakoseagi zile takwimu zake. Huyu mama ni muuaji, yaani jamaa kakukuruka kumtunza mtoto na mtoto amepatikana ndani ya ndoa, baadaye anambiwa sio wako tena kipindi kama hiki cha msiba, ujue mwingine anakuua hivi hivi kwa kumpotezea muda na gharama zake. Huyu mama bora angekaa kimya tu, iwe siri yake na mungu wake, kuliko kuwapa watu faida huko kwenye social networks na huyu mama naona kama msiba haujamgusa hivi umefiwa na mwanao hiyo nguvu ya kuandika instagram unaitoa wapi. Sasa angalia baada ya watu kumuombea marehemu apumzike kwa amani, watu sasa hivi huko Insta, fb, whatsup wanadiscuss kuhusu baba wa mtoto, yaani hizi social networks zimewafanya baadhi ya watu kuwa kama wehu.
hili jambo linanitokea mimi mpaka muda huu kwa mke niliyeishi nae kwa miaka kumi na sita,mmoja wa watoto wangu ana utata mkubwa sana.nimekaa kimya nasubiria kinuke ila kiukweli ni mtihani sana wakuu.usiombe yakukute.
 
kuoa/kuzaa na malaya ama mtu asiye jiheshimu inaumiza sana.

huyu muna ni mkunduchi sana, wala sijaona haja ya kumpa pole ikiwa ni msengerema ivi.

yaani ana kiri akiwa kaolewa alikuwa anakazwa nje. akumbuke baada ya msiba kuna maisha (tena yatakuwa ya kisasi yanayoweza pelekea mauti ama ulemavu)
na ulemavu huo wawezamgusa huyo hawara yake kwamba alikuwa anatoka na mke wa mtu.kisu cha shingo kinamhusu huyo casto sijui castro.
 
Halafu kumbe alipewa hela ya kukata tiketi ya ndege yeye akachukua bus hapo huoni kama amechangia mtoto kudhofika kiafya mpaka anafika kenya ujinga wake umeleta madhara
ni mama mwizi wakati mwingine tunamlaumu mungu kumbe amemchukua mapema mtoto kuepusha ambayo yangejiri baadae,hakuna litokealo pasi na sababu.
 
hili jambo linanitokea mimi mpaka muda huu kwa mke niliyeishi nae kwa miaka kumi na sita,mmoja wa watoto wangu ana utata mkubwa sana.nimekaa kimya nasubiria kinuke ila kiukweli ni mtihani sana wakuu.usiombe yakukute.
Si ukapime kwa siri...!!!DNA halafu hakuna utata mradi hajaja baba mwingine
 
Huyu jamaa labda aanze uanaume kwenye huu msiba alikua anagongewa na Kalala Jr mke wake huyo Muna na watu wote wanajua na anajiachia naye kila sehemu za starehe na Peter yupo kama Zombie hafanyi kitu
Mimi omera nijue nachapiwa.....
PI itanihusu....
 
Back
Top Bottom